Search results

  1. Z

    Advans bank!!

    thanx. ni kweli tena nilikuwa na miezi miwili tu kazini. sija-settle, sijajua hata ujanja wa kuomba ruksa. ila nilivyoona wametangaza na ukizingatia nimesomea finance na kazi ninayofanya haitumii sana knowledge ya finance, nikaona nijaribu. pia nirudi jijini ambapo nina network ya marafiki pia...
  2. Z

    Je Tutapona wenye wapenzi UDSM & Mzumbe?

    ni mtazamo wake tu. wanafunzi wengi hawachukuani. utashangaa mwanachuo anamchukua mama lishe nk au anachukuliwa na mjasiriamali. so kila sehemu ni hatari tupu.
  3. Z

    Advans bank!!

    hao advans ni wahuni. kuna ka-dada flani pale ni hr, simwelewi kabisa. mwaka jana nilifanya interview ya market assistant; tulikuwa watu 5. wanaume watatu na wanawake wawili kwa nafasi 2. tuliitwa interview watu nane tukaja watano. wale washkaj tukapeana no za cm, then wk inayofuata wakanipigia...
Back
Top Bottom