Search results

  1. dindaiphilly

    Kwanini Kila Anapohusika Mwigulu Watu Wanauawa?

    "Wahenga walisema mfa maji hakosi kutapatapa"na ukweli uko hivi "huwezi kushindana na wakati,wakati ukifika umefika tu huwezi kuugeuza wala kuubadilisha" Biblia inasema. Kila jambo chini ya jua liko kwa wakati.NI VEMA CCM IKAJUA KWAMBA WAKATI WAKE WA KUENDELEA KUKANDAMIZA NA KUDANGANYA...
  2. dindaiphilly

    Mauaji ya albino, vikongwe, serikali inao mkono

    :A S 20: Tanzania imeendelea kufanya mambo ya aibu ilihali dunia inatuchangaa.Hivi karibuni yameripotiwa mauaji ya kijana albino mwenye umri wa kati ya miaka 25 na 30 waliyodai yamefanyika kwa imani za kishirikina kutokana na wauaji kumkata mikono yote miwili, sehemu za siri, na kuondoka...
  3. dindaiphilly

    Tanzania tuitakayo itakuja lini?

    Imekuwa ni hamu na ndoto za muda mrefu kwa watanzania kuipata TANZANIA waitakayo. Tanzania inayojali usawa,Tanzania ambayo watu wake wanapata huduma bora za afya, elimu,miundo mbinu bora, Barabara, reli, viwanja vya ndege na ustawi bora kwa watanzania wote, Viongozi bora wa kisiasa wanaojali...
  4. dindaiphilly

    Tanzania tuitakayo itakuja lini?

    Imekuwa ni hamu na ndoto za muda mrefu kwa watanzania kuipata TANZANIA waitakayo. Tanzania inayojali usawa,Tanzania ambayo watu wake wanapata huduma bora za afya, elimu, miundo mbinu bora, Barabara, reli, viwanja vya ndege na ustawi bora kwa watanzania wote, Viongozi bora wa kisiasa wanaojali...
  5. dindaiphilly

    "NAPE is the top of the week politician"

    Jamani tuache kudanganyana na kuwapa watu majina ya sifa na kuwasifu wakati ni upuuzi mtupu,! kilichofanywa jana na wanaCCM jangwani ni kukumbuka shuka wakati kumekucha au ni kama msemo usemao "mfa maji hakosi kutapatapa".Miaka 50 walikuwa wapi?
  6. dindaiphilly

    PICHA: Vurugu Zanzibar: Mabaki Ya Kanisa Lililochomwa Moto kama ingekuwa Msikiti ingekuwaje?

    Hali hii inatisha,inasikitisha tena inahuzunisha sana,Nadhani kama ingekuwa ndo msikiti umechomwa hali ingekuwa mbaya sana, pangekuwa hapatoshi Tanzania na wengi wakristo wangekuwa wakimbizi kwa sababu hakuna wa kuwatetea ila MUNGU wao tu!
Back
Top Bottom