Search results

  1. M

    Jeshi la polisi tanzania kujifunza mbinu mpya

    Swala sio kulinganisha nani anachukuwa Zaidi! Rushwa ni Rushwa, twambie kuwa Polisi unaokutana nao wewe ni Watakatifu.
  2. M

    Jeshi la polisi tanzania kujifunza mbinu mpya

    Aroooo.......... wewe ni mmoja wao nini?
  3. M

    Duh!!Bajeti yenye matumizi zaidi ya uzalishaji

    Mkuu unashangaa hii ya leo? zilizopita pia zilikuwa hivyo, mbali na misaada tunakwenda ki Mungu Mungu!!
  4. M

    Jeshi la polisi tanzania kujifunza mbinu mpya

    Si ndio zake hizo mnauliza jibu?
  5. M

    Jeshi la polisi tanzania kujifunza mbinu mpya

    Mbinu ya kwanza: Wakome kupokea RUSHWA hiyo haihitaji kwenda Shule tena!
  6. M

    Lema amvaa Mkapa, yeye (Mkapa) ajitetea...

    Jokakuu, "UBUNIFU" Mkuu 90% ya waajiriwa hasa wa Serekalini + Mawaziri na Makatibu wakuu wao hilo neno hawalijui wala hawajalisikia. Jamaa wanafanya kazi zao wakiwa ndani ya BOX hawaoni nje wala wajui kinachoendelea Duniani. Aliekalia kiti na meza anaona juu ya meza yake tu, hana tahadhari ya...
  7. M

    Wasiotaka Muungano wasikilizwe - Sheikh Mkuu

    Yaelekea wewe ni Muhindi si Mzaire Angalia kihindi ulichoandika ndani ya mistari yako. Kama unatarajia fadhila za kina Jusa na hao waarabu kina Azani umekula hasara sana. Na hapa hapataki Jazba Mkongo (kwanza unapiga chombo gani cha Muziki kama wewe Mzaire kweli?) Hapa ni mahali pa mjadala Hoja...
  8. M

    Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar

    Sangara anamainisha: Mnakariri Aya na Hadithi na Kuzitolea tafsiri kama KASUKU kwani Utekelezaji wa yale unayohubiri ndio unaohesabika. Kama tulivyoyaona Mashehe wetu AZAN na FARID na Wafuasi wao wameishia kwenye Mtego ule ule........................!!
  9. M

    Kauli ya Abeid Karume kuhusu muungano

    Lilipoanza kubana yeye alikuwa hai, Kwa nini ASILIVUE?? Yeye Ndie aliepima koti hilo Kwa saizi yake sasa nyie Mtalivuaje na koti si lenu? Lazima alimrithisha mwanae AMANI, hakuzikwa nalo yy ni Mwislamu. Na Amani alilivaa kwa miaka KUMI mkamateni yeye ndie mwenye Koti la babie, au bado mnaiogopa...
  10. M

    Wasiotaka Muungano wasikilizwe - Sheikh Mkuu

    Mufti Simba; Asalam Aleikukum Ninavyoelewa mimi hawa Ndugu wa UAMSHO & CO. wamepewa Sikio kubwa sana na Serekali ya Mapinduzi na ndio maana waliweza kuunda huo umoja na ukasajiliwa. Na wakaweza kuzishawishi jumuia nyingine zishiriki katika harakati zao. Kwa bahati Mbaya ya makusudi kabisa...
  11. M

    Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

    Ngongo: Hii misemo ya Kiswahili: Kipenda roho hula Nyama mbichi. na Ukipenda Chongo utaiita Kengeza. Kwavile jamaa wameipenda CDM basi isijadiliwe wala Isikosolewe! Hata pesa kama zatokana na Wanachama kuna kila sababu zitumike vizuri, hasa ukizingatia Umaskini na Udhaifu wa Wachangiaji...
  12. M

    Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar

    Katika moja ya mihadara ya UAMSHO 26/052012. Mada: Histori ya Zanzibar. Shk mtoa mada pomoja na kutia Chumvi na kupindisha Histori kwa anavyopenda yeye isomeke pia alinukuliwa akisema "Wazanzibari wote ni Waarabu". Najaribu kuangalia picha hizo za video na hizi za Matukio yaliyojitokeza jana na...
Back
Top Bottom