Search results

  1. L

    Kubadili matokeo IV 2012: Prof. Mukandala aivimbia serikali!

    Mkuu, Prof.Mukandara mbali ya kuwa VC wa UDSM ni M/kiti wa NECTA pia.
  2. L

    Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

    Mtoa mada ni vizur ungezichambua hoja za waandamanaji badala ya kushutumu tu,inavyoonesha hata madai yao huyajui umesikia juujuu tu.
  3. L

    Nini Dawa ya Ushoga?

    Watu wengine bhana sasa hata kama yeye mwenyewe ndo mhusika si msaidie kwa vile ameomba msaada njia ya kuacha ushoga.Kama huna au hujui njia ya kusaidia si lazima uweke comment zisizo na msaada kaa kimya,kweli wewe cobra.
  4. L

    Tuliosoma duce mnamkumbuka lecturer wa history mr machangu

    Usinikumbushe Mselem ni noma,ukipata B Plain unajiona shujaa,nasikia bado anatesa watu hadi leo. Km utakua ni miongoni mwa wanafunzi waanzilishi utakumbuka first year tulimkataa tukaletewa Juma wa Open anaeleweka lkn Mkoloni balaa.
  5. L

    Vazi la waziri limeharibu kabisa siku yangu

    Aiseeee...e ! Waziri hadi bastola zimejichora.Mbaya zaidi Waziri huyu,Wizara yake ndiyo yenye DHAMANA YA KUSIMAMIA UTAMADUNI,sijui ni Utamaduni gani anasimamia huyu.
  6. L

    Tetesi:Hivi necta husahisha mitihani kwa mtindo huu?

    Hamna kumtafuta mchawi,Private Candidates wengi wao ni vilaza.Walishindwa wakati wako shuleni na walimu full time alaf unategemea wafanye maajabu mtaani kwa kujisomea vichochoroni na vichwa vimeshaingia moshi ? Alama wanazopata ndizo wanazostahili wewe kama ulifeli ni ubongolala wako tu.
  7. L

    Tetesi:Hivi necta husahisha mitihani kwa mtindo huu?

    Wewe ni Bongolala kama jina lako,acha kupotosha umma.
  8. L

    BCom ya UDOM mashaka matupu - Department Haina Majibu

    Wewe umeorodhesha maBcom mengi na unasema 1 ndiyo yenye matatizo alaf hauitaji ni ipi kati ya hizo,ni afadhali nimuamini mtoa uzi kuliko wewe maana unatoa habari nusu nusu,na hausemi kwa nini hiyo Bcom.1 ina matatizo.
  9. L

    My ex has stopped to be a man....nimfanyeje?

    Nenda polisi katoe taarifa na hizo meseji kama hujazifuta kazioneshe ili uwezi kulinda heshima yako,vinginevyo atakudhalilisha na utauza magazeti ya Shigongo.
  10. L

    Hatupaswi kuwalaumu Marehemu?

    Hoja hiyo ina mantiki na ukweli kwa vile hata ukimlaumu marehemu haisaidii kwa vile amekufa na hazisikii lawama hizo.Lawama ziende kwa aliye hai ili aweze kujirekebisha. NB:Watu wanaweza kujifunza kupitia makosa ya marehemu ili yasijirudie na kuleta athari kwa jamii.
  11. L

    Mkuu mpya shule ya sekondari Kahororo anashusha taaluma

    Acha majungu wewe,mbona huelezi anashusha vipi taaluma kazi kulialia tu.Uvivu wa kujisomea mnasingizia Mkuu wa shule.Shule ina walimu wangapi ? Kila somo lina mwalimu ? Kuna maabara na vifaa vya kutosha ? Kuna library na vitabu vya kutosha ? Acha kulialia.
  12. L

    chuo kinachotoa master's degree mkoani Mtwara

    Kwa sasa hamna chuo kinachotoa Masters zaidi ya Open University of Tanzania yenye tawi lake Mtwara,na hiyo MBA wanayo.
  13. L

    chuo kinachotoa master's degree mkoani Mtwara

    Kwani huko viliko vyuo vinavyotoa Masters vimetoka wapi ? Wewe mbona kama hamnazo !
  14. L

    Wanafunzi wa kike Saluni,UHUNI MTUPU!

    Hapo wakifeli lawama lukuki kwa walimu,tena wengine wanalaumu NECTA nakumbuka matokeo ya form 4,2010 kwa vile ulikua mwaka wa uchaguzi wakasema walimu waliosahihisha walikua CHADEMA nilicheka sana,yaani watu wanasingizia siasa kila sehemu.
  15. L

    Bilioni 8, na milioni 500 ya dhamana kwa Iddi simba

    Hizo bilioni 8 zinaweza zisiwe au zisiwe au mchanganyiko.Ujue yule ni mfanyabiasha mkubwa na ni wa siku nyingi.Na hiyo inawezekana ni sehemu tu ya utajiri wake.Nchi hii kuna watu wanaogelea kwenye utajiri bhana.
  16. L

    Marehemu achaguliwa uongozi wa tawi CCM!

    Magamba kweli wamekwama sasa,wanachagua hadi mizimu iwaongoze !? Duuu...uh ! 2015 nafikiri watamsimamisha Hayati Mwl.Nyerere agombee urais maana ndo anaheshimika hadi leo kwa watu wa vyama vyote.
  17. L

    Hodi....! Hodi...! Hodi..!

    Nipokeeni wanajf,mimi ni mdau wa siku nyingi wa jf,nilikua nasoma tu bila kuchangia sasa nimeingia kwa miguu yote.Napenda sana mada za kisiasa,mimi ni ANTI-MAGAMBA.Hodi tena !
Back
Top Bottom