Search results

  1. D

    Deo Mhela afukuzwa Miss Tanzania USA Agency kwa Ufisadi wa $55,980

    xxxx xxxxx xxxxxx xxxxxx
  2. D

    Rais Kikwete amjulia hali mama mzazi wa Zitto Kabwe leo

    MIGNON unamatitzo ya akili tunakufahamu ukiona thread yenye ujumbe chanya utalazimisha iwe hasi tu kwa namna yoyote. Sasa Mh. Pinda anasema utpigwa tu!
  3. D

    Mgombea Ubunge wa Chalinze Kupitia CCM Mama yake Mzazi yuko wapi?

    Wewe tunakujua mama yako yupo wapi? Ngoja niweke picha yake hapa, alikozaa watoto watano na wanaume tofauti. Halafu jilinganishe
  4. D

    Mgombea Ubunge wa Chalinze Kupitia CCM Mama yake Mzazi yuko wapi?

    Chopa za Chadema zimeenda Malaysia kusaka ndege iliyopotea. Ndio maana hazikuuonekana Chalinze.
  5. D

    Ufisadi wa kutisha wa Bernard Membe

    chishango: Nakusikitikia kuwa unaongea mambo ambayo huna unalolijua. Huna aibu unadanganya kweupe. Bandari ya Kigoma ni kampuni ya Burundi iliyopata kazi hiyo. Sasa ukweli wako upo wapi!
  6. D

    Ridhiwani Kikwete achukua fomu ya Ubunge Chalinze

    Ni dhahiri kuwa Ridhiwani Kikwete ataleta mabadiliko ya kweli Chalinze. Ataendeleza pale baba yake alipoishia na kuenzi yale mazuri ya hayati Bwanamdogo. Umahiri wake umeonyesha anavyolipenda Taifa hili na alivyo mtu wa watu. Ni msikivu asiye na kifani. Wengi watatadadisi Mtoto wa Mwenyekiti...
  7. D

    Ridhiwani Kikwete achukua fomu ya Ubunge Chalinze

    Ninaamini wewe kama ungekuwa rais wa Tanzania watoto wote wa Viongozi usingewaruhusu hata kwenda shule na hospitalini kwa kuwa watarithishwa. Hapa ni haki ya kikatiba anaefaa anapata nafasi yake. Angalia Marekani bush father was president na Bush son became president, wote wamechaguliwa. Acha...
  8. D

    Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

    Inasikitisha kuona CHADEMA chama kukuu cha upinzani kufanya vibaya katiaka chaguzi ndogo za madiwani. Tumeshinda viti 3 kati ya 27, baadhi ya viongozi wawajibishwe. Inaniumiza sana na kuona tatizo nini? Mpasuko ndani ya chama umeanza kuonekana. Magomvi yasio na tija yanaanza kutuumiza...
  9. D

    Mwigulu Nchemba ndani ya Emmanuel Tv kwa TB Joshua

    Kasuku huongea bila kufikiri ilimradi asikike sauti, usiongee kichove bila kufikiri. Unapo mtuhumu mtu kwa makosa ya jinai bila ushahidi ni sawa na mwenda wazimu kukojoa mbele za watu.
  10. D

    CHAMI: Sigombanii tena ubunge..

    Kama ni kweli, Big Up Dr. Chami. Kumbuka mwanasiasa mahiri ni yule ana mikakati miwili; Entry and exit strategy! Otherwise, you wil be like Mugabe, Museveni, Theodone Obiyang etc with no exit strategy end been dictators. Just little thoughts.
  11. D

    Yaliyojiri: Mkutano wa Tundu Lissu, Heche, Munishi na Ndesamburo mjini Moshi

    Chadema kutumia Tsh. 1 Bilioni kukodi Chopa kuzunguuka na "Operation Pamoja Daima" Chadema hawana busara na hawaitaki maendeleo ya Watanzania. Tunaamini Chadema hawana mkakati wowote wa kutokomeza umasikini na maneno yao hayaendani na vitendo. Tsh. 1 Bil inaweza kujenga Zahanati za kisasa zaidi...
  12. D

    Nani zaid kati ya Januari Makamba na Dr. John Nchimbi urais 2015!

    Katika Kinyang'anyiro cha Urais 2015 nani anafaa zaidi kati ya Januari Makamba na Dr. John Nchimbi?
  13. D

    Arsha Rose Migiro: The future PM in 2015 lakini tatizo lake ni....

    Tujadili mambo yenye tija. tija tija.... Migiro au Kapuya au yeyote yule ni haki ya kidemokrasia kujipanga kuweka nia au kugombea nafasi zilizopo ukiwemo wewe mtoa maada. Tunapenda tuwe na watu wengi katika kinyang'anyiro ili mchuano uwe mkali kusudi tupate kiongozi bora. Sasa tusifunge break za...
  14. D

    Tuhuma Hii: CHADEMA kendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa

    Anaelalamika sana kumbe kaficha yake. Yakifichuka ni janga la radi mwituni. Sasa hili jambo ni zaidi ya yote. Uitishwe mkutano wa dharura, Chadema taifa isimamishe shughuli zote ili suala hili lishughulikiwe kisheria.
  15. D

    Mwenzenu nimevurugwa sijielewi

    Dalili ya mvua mawingu!
  16. D

    NAPE: Ziara za Mwigulu Marekani na Uingereza sio za chama

    Mwanafalsafa Mkuu tupe maana ya Tundu Lisu na Mbowe!
  17. D

    Yahaya unaishi wapii, umeniachia mawazo.................

    Kamuulize lemutuz le baharia!
  18. D

    Mwigulu Nchemba achaguliwa kuwa m/kiti wa Vyama vya Ukombozi kusini mwa Afrika

    Akili ikisinyaa inatoa pumba zisizo na maana yoyote. Chali vipi tena kichwa choka sana, humu ni mambo yanayohusu maendeleo ya jamii kwa hiyo kama unamambo yasiyo na tija peleka kijiweni/maskani sio hapa babu umepotea njia. If you dont fit you have to quit
  19. D

    Mwigulu Nchemba achaguliwa kuwa m/kiti wa Vyama vya Ukombozi kusini mwa Afrika

    Hahahaa! Tatu umefuzu bro mpaka unajiita Tatu director powa tutakutana pale sehemi jioni hahaha, ukikosa busara za kuomgea basi azima
  20. D

    Mwigulu Nchemba achaguliwa kuwa m/kiti wa Vyama vya Ukombozi kusini mwa Afrika

    Inaonyesha wewe unaufinyu wa kuona au fikra finyu, nenda Iramba Magharibi leo na linganisha miaka mitano iliyopita sasa barabara zimeimarishwa, Maji safi na salama yapo, kilimo cha ufuta kina ongezeka, Elimu shule zote au zimekarabatiwa au Waalimu belelee. Sasa tuongee kwa data sio jazba au...
Back
Top Bottom