Ukishiba kaa kimy
Watoto wanashinda njaa mashuleni sasa wanapewa japo upao wa wali tayari mshaanza gwe gwe gwe, hii misaada haijaanza leo, wakati wa mwalimu kuna meli wa msosi iliitwa dezo watu waligawiwa nchi nzima kupunguza utapiamlo, wakati wa mwinyi kuna uji uliitwa bulga, kwa kilimo chenu...
Kuna mshenzi mmoja alisema kujenga bwawa ni upuuzi kwani maji yakujaza bwawa hakuna kutokana na mabadiliko ya tabianchi, mie naona tujenge bwawa la pili liwe kubwa kuliko hilo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.