Search results

  1. farmersdesk

    Jinsi ya kufikisha kuku 1000 wa asili ndani ya muda mfupi

    Kwenye kila mradi changamoto hazikosi,uwepo wa changamoto haimaanishi kua jambo haliwezekani,la msingi ni kuwa tayari kupambana na changamoto
  2. farmersdesk

    Jinsi ya kufikisha kuku 1000 wa asili ndani ya muda mfupi

    Unaonaje ukijaribu halafu ikishindika na unaweza laumu
  3. farmersdesk

    Jinsi ya kufikisha kuku 1000 wa asili ndani ya muda mfupi

    Hii ndo hasa njia ya kusasa na ndani ya muda mfupi tu ukizingatia kanuni bora za ufugaji utakua mtu mwingine
  4. farmersdesk

    Jinsi ya kufikisha kuku 1000 wa asili ndani ya muda mfupi

    JINSI YA KUFIKISHA VIFARANGA 1000 WA KUKU WA ASILI Habari ndugu zangu wafugaji pole na majukumu ya kila siku katika harakatu za kutafuta mafanikio Leo nimeona ni vema kushare na nyinyi jinsi mfugaji unavyoweza kufanikiwa kufikisha vifaranga 1000 ndani ya mwaka mmoja na nusu kwa kuanza na kuku...
  5. farmersdesk

    Ukizingatia Kanuni hizi, basi ufugaji wa kuku utakunyanyua kiuchumi

    Walau like to ""thanks""kama ukipenda post hii
  6. farmersdesk

    Ukizingatia Kanuni hizi, basi ufugaji wa kuku utakunyanyua kiuchumi

    @farmersdesk_tanzania KABLA UJANZA KUFUGA KUKU TAMBUA MBEGU BORA YA KUFUGA🐓 MBEGU BORA YA KUKU KABLA hujaanzisha mradi wa ufugaji kuku, ni lazima utafute aina ya mbegu bora itakayo kuongezea kipato. Kumbuka kuna aina nyingi za kuku na ni aina zuri zote. Ila kila mfugaji huwa na malengo sasa hayo...
  7. farmersdesk

    Madhara ya kuchanganya kuku wasio lingana umri

    Sio sahihi kuchanganya kuku na kanga banda moja kuhusu chanjo kua na subira tutoa makala pekee kuhusu chanjo Pia nawakumbusha wadau msisahau kuungana na familia ya wafugaji kupitia 1.TELEGRAM tafuta neno "farmers desk" kisha jiunge 2.INSTAGRAM KAMA @farmersdesk_tanzania
  8. farmersdesk

    Madhara ya kuchanganya kuku wasio lingana umri

    Ungana na familia ya wafugaji kupitia 1.TELEGRAM tafuta neno "farmers desk" kisha jiunge 2.INSTAGRAM KAMA @farmersdesk_tanzania
  9. farmersdesk

    Madhara ya kuchanganya kuku wasio lingana umri

    MADHARA YA KUCHANGANYA KUKU WASIO LINGANA UMRI ............................................. Kuchanganya kuku wasio lingana umuri kuanzia siku 30 za mwanzo ni kudumaza kuku hao na kuwafanya wasikue vyema. Kinachotokea hapa ni kwamba. ✔️ watatofautiana ulaji kulingana na umuri pia itakuwa ngumu...
  10. farmersdesk

    Mambo ya kuzingati wakati wa kuweka Joto kwa vifaranga

    UTANGULIZI Kwanza tuanze kwa kujiuliza ni kwa nini vifaranga huwa wanahitaji kuwekewa joto katika wiki za mwanzo? Utaratibu bora wa ufugaji wa vifaranga unaelekeza kuwa katika wiki za mwanzo za ufugaji wa kuku wakiwa vifaranga inalazimu wawekewe vyanzo vya joto kwa kutumia taa za umeme au...
  11. farmersdesk

    Jifunze umuhimu wa chanjo kwa kuku

    * MATUMIZI YA CHANJO KWA KUKU* 👉Kwanza Kabisa ifahamike chanjo Kwa kuku sio chaguo ni lazima kwa usalama wa KUKU wako 👉Pia kuchanja kuku sio Kwa vile unavojiskia Ila Kwa Ratiba maalumu inayowekwa kutokana na umri wa kuku HATUA ZA KUFUATA ZA KUTUMIA CHANJO IPASAVYO 👉Nunua chanjo, kama...
  12. farmersdesk

    Tatizo la kuku kudonoana

    Habari wafugaji!!watu wengi wameuliza kuhusu tatizo la kuku kukudoana.kuku kudonoana husababishwa na vitu vingi sana kwa uchache kwa kuvitaja ni hivi. 1. Kuku kubanana au banda kua dogo ukilinganisha na idadi ya kuku. 2. Kuchanganya kuku wa umri tofauti 3. Upungufu wa madini 4. Vyombo vya...
  13. farmersdesk

    Jifunze namna gani uongeze utagaji kwa kuku wako

    SULUHISHO LA KUKU KUPUNGUZA KUTAGA 1. Wakague kuku wako na ukiwakuta wana utitiri au viroboto waogeshe kwa FIPROFARM AU TUMIA AKHERI POWDER 2. waongezee GLP katika chakula chao na Tumia LAYVITA (vitamin mahususi kwa kuku wanaotaga) kwa ajili ya kuzuia tatizo la upungufu wa virutubisho 3...
  14. farmersdesk

    Sababu za kwa kwanini kuku hushusha utagaji

    Sababu 10 Za Kuku Kupunguza Utagaji Mayai Na Nini Ufanye Kuongeza Uzalishaji Wa Mayai | Mshindo media. Kupungua kwa mayai yanayo zalishwa kwa siku katika shamba lako la kuku watagao mayai ni dalili moja wapo inayo onesha kwamba kunatatizo katika kundi lako la kuku. Kulingana na utafiti ulio...
  15. farmersdesk

    Hatua za kufuata ili kuanzisha mradi wa kuku kwa faida zaidi

    HATUA ZA KUFUATA ILI KUANZISHA MRADI WA KUKU: 👆Kutokana na wengi sana kunitafuta kuomba ushauri, hasa wafugaji wageni au wapya wanao anza kwamba waanzaje mradi wa kuku 👇Zifuatazo ni hatua sahihi za kufuata ili kuwa na mradi endelevu wa kuku 1.Moja Jenga banda la kufugia kuku wako, Kabla ya...
  16. farmersdesk

    Je, unajua tatizo la kuku kula mayai, kudondoana na kunyonyoka manyoya?

    TATIZO la kuku kuwa na TABIA zisizo faa/cannibalism limekua shida kubwa kwa WAFUGAJI wengi wa kuku aina zote, ilaa limekua likijitokeza sana hasa kwa KUKU wa MAYAI. Tatizo hili pia limekua likijitokeza kwa kuku wa rika tofauti tofauti..ilaa linazidi pale kuku wanapo anza kutaga mayai CHANZO...
  17. farmersdesk

    Ufunguzi wa kiwanda cha kutengeneza chakula cha kuku

    Nakushauri tembelea FARMERS CENTRE WAPO ILALA DARESSLAM wapo kwenye field hii muda sasa utapata ushauri mzuri sana na hawana choyo kwenye maswala ya kutoa elimu .muhimu sana kuwatembelea wanao jishughurisha na the same field. Mawasiliano 0752367114
  18. farmersdesk

    Jipatie booster kwa ajili ya kuku wa nyama

    MATUNZO KWA KUKU WA NYAMA (BROILER) kuku hawa kiasili ni kuku ambao wana uwezo wa kukua haraka ndani ya wiki 3.5 mpaka 4 kutegemea na aina ya chakula unachowapa na matunzo. Kuku hawa hukua na kujaza nyama mapema na huweza kufikia kilo 2 mpaka 2.5 ndani ya wiki 6 ukiamua kuendelea kuwatuzanza...
Back
Top Bottom