Search results

  1. ALLY RIYAMI

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njo Njoo ruvuma mbinga idara secondari(sayansi)aje popote
  2. ALLY RIYAMI

    Unakumbuka nini ukiwa 1st year kwa wiki ya kuripoti chuoni?

    hahah nilipochaguliwa udsm nikaambiwa ukitaka kwenda ktk lecture room lazima nipitie pale utawala.basi nilikuwa napiga ruti ndefu sanaaa natoka coet naenda utawala ndio naenda theate 1 hahaha
  3. ALLY RIYAMI

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    wale wanaotaka kurudi kwao njooni ruvuma mbinga mi niondoke nije kokote.idara ya sekondari......vigezo na mashart kuzingatiwa.nicheki fb...amoury riyami.
  4. ALLY RIYAMI

    Nahitaji Vitz in good condition, Nina 6m

    Tra ushuru upo juu sana hakuna gari yenye ushuru chuni ya mil 4.angalia.www.tra. then check calculator
  5. ALLY RIYAMI

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    nataka nianzi upugaji huo wa kuku ila cjafagamu aina ya banda zuri la kufugia
  6. ALLY RIYAMI

    Nimechoka kusubiri ajira za walimu

    aje south tupige dili za drugs
  7. ALLY RIYAMI

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo ruvuma mbinga mjini nije- kibaha njoo ruvuma mbinga mjini nije -morogoro njoo nije dsm. Wale wa mbinga Rudi kwenu plz call.0652740304
  8. ALLY RIYAMI

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo mbinga nije pwani,iringa(secondari
  9. ALLY RIYAMI

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Nini dawa ya kukuza uume
  10. ALLY RIYAMI

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    MIMI NI MWALIMU WA CHEMSTRY BIOLOGY NIPO HALMASHAURI YA WILAYA MJI MBINGA NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA NAE AJE HUKU MBINGA MJINI NIJE TANGA MORO AU KIBAHA. NINATSD NO. NA BARUA YA AJIRA.
  11. ALLY RIYAMI

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    KWA USHAURI MZIGO UPO DAR NOW .CHUNGUZA KWANZA ULIZA NA UWE MAKINI
  12. ALLY RIYAMI

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    TRIP YA KWANZA MZIGO UKUFIKA DAR UNACHEZA NA MADALALI WAKUTAFTIE BOSS, BUT MWANZO MGUMU.
  13. ALLY RIYAMI

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    KUKODI SEMI KUTOKA RUVUMA MBINGA HADI DAR NI MIL.1.8, UNANUNUA MBAO 2X6 PC 1000 @5000 NA 2X4 PC 500@4000 KIBALI NI LAKI 2.2O JUMLA.
  14. ALLY RIYAMI

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Fanya biashara ya mbao utapata faida fasta
  15. ALLY RIYAMI

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Kwa mwenye mtaji wa mil 8 hadi kumi unaweza kufanya biashara moja ambayo faida yake ni mil 2 kila wiki. Ila inahitaji ufatiliaji. Biashara hiyo ni kuchukua mbao huku Mbinga na kuleta Dsm. Mimi na my brother tunafanya share. Inalipa kwa kweli.
Back
Top Bottom