Search results

  1. T

    Utumishi mtuangalie na sisi wa mikoani!

    Hivi post za compliance officer maswali yake yanakuaje mwenye kujua atusaidie
  2. T

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Mkuu huyo dogo wako kaambiwa tarehe 13 kwa post gani na interview yake itafanyika wapi?
  3. T

    Membe afanya kufuru Zanzibar, amwaga pesa kwa wajumbe wa NEC CCM

    Huyu Membe ndiyo tabia yake anahusudu Rushwa na mara kwa mara amekuwa akijivunia undugu wa familia ya rais kama wako pamoja nae na watahakikisha anakuwa rais.
  4. T

    Mapokezi ya Sophia Mwakagenda yatikisa Mbeya, Rungwe Magharibi

    Huyo mama anapoteza hela zake bure atajuuuta ngoja muda ufike ni kuhaibika kwenda mbele nafikiri anajua anachokifanya janja yake ni ubunge wa viti maalum kama ilivyokuwa kwa mama Kaihula ilala huyu mama anakaa upanga kampeni zake alizifanya upanga tu kwa kuzungumza na vijana kwenye vijiwe basi...
  5. T

    Urais 2015: Hatima ya KIFUNGO cha Akina Lowassa, Membe na Wengine Kujulikana Leo baad

    Posho hiyo imekutuma useme hivyo ila ukweli unaujua nafsini mwako kama hakuna chama bora kama CCM katika medani za kisiasa Tanzania ukitaka kuamini hilo subiri uone kitakachotokea UKAWA wakati wa kuchagua wagombea wao watakaoshiriki katika uchaguzi mkuu balaa lazima liwakuta kwa kuwa ubinafsi...
  6. T

    Updates: Yanayojiri CC ya CCM

    Wamchukue ukawa kama ilivyokuwa kwa John Shibuda
  7. T

    Lowassa ahusishwa na Utapeli wa Nyumba Tegeta

    Huyo bwana ni mwizi tokea enzi za Mwl. Nyerere
  8. T

    Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    Mfanya maamuzi kwa kukurupuka bila kufuata sheria,kanuni na taratibu.labda awe rais wa familia na ukoo wako kwa Tanzania hafahi najua ww umeonge hivyo kwa sababu ya Posho hiyo ndiyo tabia yenu vijana wengi wa sasa mmejawa na umimi badala ya utaifa.
  9. T

    Pinda akubalika na wananchi Mbeya na awapongeza

    Mizengo Pinda,akigombea urais nitampigania na kumchagua kwa sababu ni kiongozi mwaminifu,mwadilifu,maamuzi yake yametawaliwa na hekima na busara kwa kufuata sheria,kanuni na taratibu.Ni kiongozi anayefanya maamuzi makini kwa wakati sahihi.
  10. T

    Yaliyojiri uzinduzi wa uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa (BVR)

    Mkuu leta hoja acha kuongea kinafiki, analia kwa kipi. Tatizo nyinyi wachumia tumbo mnashindwa kuelewa kuwa hata Waziri Mkuu naye ana hisia kama binadamu mwingine. Lakini pia kitendo cha kulia ni involuntary actions ambazo mtu hajiamulii tu kulia isipokua pale anapoguswa na jambo fulani. Hata...
  11. T

    Yaliyojiri uzinduzi wa uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa (BVR)

    Mkuu nabiitz nakubaliana nawewe safari ni nyeupe kwa mtoto wa mkulima. Juzi tulijuwa na mkutano mkubwa na wakukima na wafugaji waishio kanda ya ziwa, wameonyesha kumuunga mkono mtoto wa Mkulima kwa kusema sasa ni dhamu ya Masikini, wakulima, wavuvi na wafugaji
  12. T

    Ukweli mchungu kuhusiana na Waziri Mkuu mh. Pinda

    Wewe mzee wako kaacha nini?haya yote yaliyofanyika kwenye serikali ya awamu ya nne Mizengo Pinda akiwa waziri mkuu na msaidizi mkuu wa rais hauyaoni?nafikiri tatizo posho unayopewa na hao mabwana wataka urais kwa Rushwa zinakusumbua Akili za kuambiwa changanya na za kwako usiwe kama mbayuwayu
  13. T

    Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    Magufuli hafahi kuongoza anafaa kuongozwa amekosa hekima,utu na busara anaweza kufanya maamuzi akaliingiza taifa kwenye vita huwa anakurupuka sana bila kufuata sheria
  14. T

    Wafuatao ni tishio kwa UKAWA iwapo watapewa nafasi ya Kugombea Urais 2015

    Nchi haiwezi kuongozwa na wapiga kelele huku ndani wakiwa mbwa mwitu Mmeona alichokifanya Sitta ATCL na bandari uozo wa Mwakyembe lakini pia mmeona maamuzi ya magufuli yanavyoigharimu serikali yetu kulipa mafidia kwa kufanya maamuzi hovyo yasiyo makini tumeshuhudia setikali ikishindwa kesi mara...
  15. T

    Waliokosa ukuu wa Wilaya waanza mkakati mpya kumchafua Waziri Mkuu

    Tutajie aliye msafi kwa upande wa ukawa unayemuona wewe anafaa tumjadili manake tumewachoka maandishi yenu yamejaa kiposho posho mnaandika vitu tofauti na vilivyomo kwenye fikra zenu mmejawa na fitina kisa posho.
  16. T

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Lowassa hakatwi jina

    CCM haichaguliwi mgombea kwa kelele za posho na vyombo vya habari kanjanja kama anajions anafaa zaidi kuliko wengine aende kugombea kupitia CHAUMA au chama kingine chochote cha upinzani alafu tutaona msifikiri wakina Sitta,Mwakyembe,Sendeka,Anna kilango na wenzao wamekaa kimya mkaona wajinga ipo...
  17. T

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Lowassa hakatwi jina

    Mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe.Nchi hii kamwe haiwezi kuja kuongozwa na Mafisadi
  18. T

    Waliokosa ukuu wa Wilaya waanza mkakati mpya kumchafua Waziri Mkuu

    Wivu na uroho wa madaraka vinawasumbua walitaka wateuliwe wao na ndugu zao.
  19. T

    Waliokosa ukuu wa Wilaya waanza mkakati mpya kumchafua Waziri Mkuu

    Ukawa ni vigumu kuingia ikulu ukawa ni kama wafu hawana dira wala mwelekeo mwaka huu mtaijua vixuri CCM kama ndiyo baba wa siasa hapa nchini na duniani kote.watanzania wa leo siyo wa jana wanajua mbivu na mbichi wanajua kama Ukawa ni Umoja wa Wahuni waliofilisika kisiasa umoja wa timu mbovu za...
  20. T

    Waliokosa ukuu wa Wilaya waanza mkakati mpya kumchafua Waziri Mkuu

    Tope la mavi ni Lowassa ambaye alikataliwa toka enzi za utawala wa Mwl Nyerere leo nyie vijana wasaka tonge na waandishi wa habari makanjaja mnaangaika kumsafisha kamwambieni watanzania hawako tayari kuongozwa nae ni fisadi aliyekubuhu watu wote wanajua hilo hasafishiki hata kwa tindikali wala...
Back
Top Bottom