Search results

  1. DANNFORD

    Tabia nyingine za watoto mnaziendekeza sana

    Juzi kuna katoto ka kike miaka sita au saba kaninishika shika, nimekazibua mama ake akaja kuniamshia!!! Wa mama wa siku izi dustbins kabisa.
  2. DANNFORD

    Riwaya: Mzalendo Kizimbani (Mwalimu Makoba)

    Shusha mzigo boss!!!
  3. DANNFORD

    Album ya Rayvanny "Sound from Africa" uchambuzi, ratings!!, cons and pros, Karibu.

    Mama ft saida karoli ni wimbo poa sana
  4. DANNFORD

    Uchaguzi 2020 TBC ni pasua kichwa na wala hawaaminiki, Wamechakachua matangazo mbashara ya NCCR na CHAUMMA

    Hivi mzee Rungwe yupo serious kweli!!? Mbona kama anafanya utani .
  5. DANNFORD

    Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki (EAC) wafanya kikao kujadili Corona. Rais Magufuli na Nkurunziza hawakushiriki

    Wapinzani wanamlaumu mkuu kwanini kajificha, watawala wanawalaumu wapinzani kwa nini wamejificha! Haya mambo yananichanganya sana!
  6. DANNFORD

    Mazito yafichuka Mkuu wa shule Lyamungo aliyezuiwa kuhama na DC Sabaya

    Wakati mkigombania hizo bilion bilion kukarabati shule zenu kongwe! Huku kwetu st Kayumba tunaombeni msaada japo wa visenti vichache tununue vitabu na tuongeze japo jengo moja la darasa tuzuie msongamano darasani!
  7. DANNFORD

    Waafrika wawajia juu wanaopendekeza chanjo ya COVID-19 kufanyiwa majaribio Afrika

    chanjo anapewa mtu ambaye bado hajaathirika, na kwa kuwa virusi vya korona bado havijaathiri bara la Africa,nadhani Africa pamoja na sehemu zingine chache ambazo bado hazijaathiriwa na korona ndio mahara sahihi kwa kufanyia majaribio ya chanjo dhidi ya korona
  8. DANNFORD

    Zanzibar: Serikali yapeleka muswada kuzuia biashara ya pombe wala kiwanda. Sheria ikipitishwa, itadhibiti watu kunywa au kukaribia maeneo ya vileo

    Kwa nini tulazimishane kwenda mbinguni? Kama nakunywa pombe bila ya kusumbua wengine kuna shida gani?
  9. DANNFORD

    Stephen Masele: Spika Ndugai anatumika, sina kosa lolote

    Hela yako tu! Anytime!!
  10. DANNFORD

    Hoja Ishirini utekwaji wa MO

    Kile chumba na godoro lake kiliachwa vile vile bila hata kupanguliwa!!!
  11. DANNFORD

    Inaweza kuchukua karibu mwaka mzima kwa magari ya Jeshi kusafirisha hizo korosho

    Mbona hata vifaru vinaweza beba malumbesa ya mabibo
  12. DANNFORD

    DC Kilolo ashtushwa madarasa kuangushwa kwa mkono

    "Awamu hii sio awamu ya kipuuzi puuzi"
  13. DANNFORD

    Waziri Lugola: Aliyekuwa Mkurugenzi NIDA, Dickson Maimu na Jack Gotham wasipoitikia wito ‘watapata tabu sana’

    Ukitoa hapa ukajumlisha pale alafu ukaenda na moja kichwani! Hakuna fedha iliyo potea.
Back
Top Bottom