Search results

  1. U

    Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

    JAMANI TAFADHALI MSIFANYE MZAHA. MUNGU HADHIHAKIWI...! NAMWOMBA MUNGU AJIDHIHIRISHE KWA KILA ANAYEMBEZA Kuna mfalme mmoja wa Babeli (NEBKADREZA) alikuwa anajiona mjanja sana na kumdharau MUNGU WA KWELI. MUNGU alipoamua kumwonyesha uwezo wake alikiri wazi kwamba hakuna mungu anayestahili...
  2. U

    Diwani wa kata ya Njombe mjini amefariki dunia ghafla

    Diwani wa kata ya Njombe Mjini, wilaya ya Njombe, mkoa wa Njombe Mh. LUPYANA FUTE a.k.a JACKY'S amefariki dunia ghafla jioni hii, baada ya kuanguka ofisini kwake majira ya saa 11 jioni, na kukimbizwa hospitali ya Kibena.
  3. U

    Mwalimu aibuka mshindi shindano la pombe

    Nimetafakari sana na kujikuta nakosa majibu ya moja kwa moja, pale nilipoona katika taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku huu; mwalimu mmoja ameibuka mshindi katika shindano la wanywaji wa bia ya SERENGETI. Waandaaji wamempongeza na kuwataka watu kuendelea kunywa zaidi... Nilichojiuliza...
  4. U

    TAMBWE HIZA: CUF ni chama cha mtu mmoja

    Alisema hata matukio ya mabomu Arusha yanasababishwa na magazeti ya Alhamisi na juma ngapi vile? (alitaja alhamisi na sikunyingine sikumbuki vizuri) Sasa nikawa najiuliza hapa kwenye kuua watu magazeti yamehusikaje? Huu nao si uchochezi kwa kuyatuhumu magazeti (waandishi)? Au wanataka magaeti...
  5. U

    TAMBWE HIZA: CUF ni chama cha mtu mmoja

    Muda huu RICHARD TAMBWE HIZA anaongea LIVE EATV katika kipindi cha HOT MIX. Anasema alihama CUF kwasababu ni chama cha mtu mmoja - MAALIM SEIF na Wazanzibar wanaelewa hivyo kwamba CUF ni Seif na Seif ni CUF. Na wanaotaka serikali tatu ni waroho wa madaraka... Anasema hata mtu yeyote aliyeko...
  6. U

    Huu ndiyo UTAWALA BORA wa SERIKALI ya CCM au ni KUWATAPELI WANANCHI?

    Wenyeji wengi hawatapata viwanja hivyo kwani wengi wao hawana kipato kikubwa. Kuna hatari ya viwanja kupewa wageni.
  7. U

    Huu ndiyo UTAWALA BORA wa SERIKALI ya CCM au ni KUWATAPELI WANANCHI?

    Nimesikitishwa sana na tangazo lililotolewa na Halmashauri ya wilaya ya Mufindi-Iringa linalohusu ugawaji wa viwanja eneo la IGOWOLE ,jambo ambalo binafsi nimeona ni mpango wakuwaibia wananchi. 1.Tangazo linamtaka kila anayehitaji kiwanja kulipia Tshs.80,000/- kama ada ya...
  8. U

    Hatari: Kijana anayesajili simu kwa kutumia majina/vitambulisho vya watu wengine

    Tena inaonekana fomu zilizosajiliwa hazipelekwi kunakohusika wanabaki nazo mawakala, ndiyo maana wengine wakijaribu kuhakiki usajili wao (*106#) wanaambiwa 'usajili haujakamilika, utakamilika fomu Yyako itakapotufikia"
  9. U

    Marekani yataja sababu nne za Obama kuja Tanzania

    UKICHEKA NA NYANI?................. Tusipokuwa makini tutachaguliwa viongozi watakaosema ndiyo mzee kwa kila watakachosema wazungu. Wa TZ tuwe makini sana kwa hili. Siku zote MAJUTO NI MJUKUU tutakuja kusema tungejua...! Watoto wetu watakuja kupiga viboko makaburi yetu.
  10. U

    Hatari: Kijana anayesajili simu kwa kutumia majina/vitambulisho vya watu wengine

    Kuna haja ya kuwapigia makampuni ya simu ili kujua kama kuna namba nyingine imesajiliwa kwa jina lako, mwisho wa siku ukajikuta unaingia matatani.
  11. U

    Hatari: Kijana anayesajili simu kwa kutumia majina/vitambulisho vya watu wengine

    Kijana mmoja ambaye sijafanikiwa kulipata jina lake mara moja ambaye anafanya kazi ya kusajili SIM CARD za VODACOM mjini Mafinga mkoa wa Iringa, amejikuta akiingia matatani baada ya kukutwa akitoa copy ya nakala ya mteja aliyekuwa amemsajilia siku za nyuma, na kuitumia kumfanyia usajili mtu...
  12. U

    Live: Baadhi ya mambo muhimu yaliyomo ndani ya rasimu ya katiba mpya

    ...mgombeabi nafsi ruksa kwa ngazi zote
  13. U

    Live: Baadhi ya mambo muhimu yaliyomo ndani ya rasimu ya katiba mpya

    Kati ya mambo mengi yaliyoelezwa ni pamoja na 1. IDADI YA MAWAZIRI WASIOZIDI 15. 2. TANZANIA BARA KUWA NAMAJIMBO YA UCHAGUZI 25 TU kila JIMBO WABUNGE (2)WAWLI. 3. BUNGE LA MUUNGANO LIWE NA WABUNGE 75 (Toka Zanzibar 20, bara 50, na wawakilishi wa makundi maalum watano )
  14. U

    Tutaikataa rasimu ya katiba mpya itakayozinduliwa hivi karibuni - maalim seif hamad

    Halafu CCM wanasema huo sio msimamo wa wazanzibar, wakati kauli imetolewa na kiongozi mkubwa kabisa wa wazanzibar. Yupi tumwamini?
  15. U

    Vodacom wawaombe radhi wateja wake

    Nakusamehe kwa kuwa hujui unachosema, utakapojua hutasema hivyo...
  16. U

    Vodacom wawaombe radhi wateja wake

    Hivi ni jukumula nani kufikisha fomu za usajili wa mteja?
  17. U

    Tutaikataa rasimu ya katiba mpya itakayozinduliwa hivi karibuni - maalim seif hamad

    Ngoja tumsikie rais wa ZNZ atatoa kauli gani juu ya hili.
  18. U

    Tutaikataa rasimu ya katiba mpya itakayozinduliwa hivi karibuni - maalim seif hamad

    Halafu anasema Zanzibar ni nchi ya kiislam... Nafika mahali naunganisha kaulihii na mauaji ya padre wa zanj.
Back
Top Bottom