Search results

  1. Bado Kidogo 2015

    Ukweli uliojificha, Akina Mama Wailiza CCM Chaguzi ya Udiwani Arusha.

    Katika uchaguzi uliofanyika leo tarehe 14 July - 2013 wafuasi wa CCM walikuwa na uhakika wa kuibuka na ushindi hata kama ungekuwa membemba kwa sababu idadi kubwa ya waliojitokeza kupiga kura walikuwa akina mama. Tofauti na ilivyo zoeleka miaka nyuma akina mama au wanawake kwamba ni mtaji wa CCM...
  2. Bado Kidogo 2015

    On Channel 10: Mwigulu afunguka juu ya Uzalendo, Gesi Mtwara, Bomu Arusha...

    Michango kama hii ikiwa kuwa tu hapa inaweza kuitia nuksi JF hapa, tondolobeshi weweeee.
  3. Bado Kidogo 2015

    Mwigulu Nchemba yuko wapi tuhuma zote hizi zinakukabili??

    Clipp ingekuwa imetolewa na Nape Nnauye au Juliana Shonza na mwenzake Mwisho mwampamba ingekuwa imepigiwa upatu sana ili dunia nzima ujue. Nasi tupaze sauti kwa shutuma hizi kuona Mwigulu Nchemba anasemaje juu ya shutuma hizi? Vinginevyo ni kweli anahusika.
  4. Bado Kidogo 2015

    Hatimaye Jeshi la Polisi wamjibu Joyce Kiria kuhusu madai yake kwamba wamwambie alipo mume wake

    Sasa hapo ndiyo kamueleza mume wake yuko wapi? Ni mtiririko ule ule wa ubabaishaji.
  5. Bado Kidogo 2015

    Msigwa amuomba mzee Mtei akaongee na Kinana ili wayamalize!

    Nenda kachukue Buku saba yako Lumumba, unajitahidi sana.
  6. Bado Kidogo 2015

    Mwigulu Nchemba yuko wapi tuhuma zote hizi zinakukabili??

    Kama yupo busy kuandaa movie nyingine basi atakuwa hana akili kabisa maana hapo kawekwa uchi kabisa vinginevyo angeshitaki huyo jamaa aliyemwagia shutuma hizo.
  7. Bado Kidogo 2015

    Mwigulu Nchemba yuko wapi tuhuma zote hizi zinakukabili??

    Wadau nimesikiliza clipp hiyo na kuona Mwigulu Nchemba ametupiwa shutuma kede kede na sijasikia hata moja ikijibiwa. Kwa kuwa Mwigulu ni member humu naomba atazame clipp hiyo kwa makini sana nakujionea mwenyewe jinsi alivyowekwa uchi!! Nimeamini kabisa kwamba CDM ni walimu wazuri wa...
  8. Bado Kidogo 2015

    Police: CP Paul A. Chagonja hafai kuwa Msemaji Katika Matukio Makubwa.

    Yule matukio yake ni madogo madogo yasiyo ya kipropaganda mkuu.
  9. Bado Kidogo 2015

    Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

    Siku zote polisi ndiyo tatizo.
  10. Bado Kidogo 2015

    Police: CP Paul A. Chagonja hafai kuwa Msemaji Katika Matukio Makubwa.

    Yaani wanatumia kila mbinu kuwagonganisha na wananchi lakini mwishoni wanaonekana waongo wao. Safari hii wana hali mbaya sana.
  11. Bado Kidogo 2015

    Police: CP Paul A. Chagonja hafai kuwa Msemaji Katika Matukio Makubwa.

    Tupatupa unanipaga raha sana post zako mkuu. Kweli kabisa jamaa kajigeuza unga wa ngano kila kitu yeye.
  12. Bado Kidogo 2015

    Police: CP Paul A. Chagonja hafai kuwa Msemaji Katika Matukio Makubwa.

    Siyo kazi yangu kusema nani anafaa, tafuteni anayefaa.
  13. Bado Kidogo 2015

    Police: CP Paul A. Chagonja hafai kuwa Msemaji Katika Matukio Makubwa.

    Naona kaambiwa waandishi wa habari siyo mahabusu au unaongea nao kama unaamrisha parade, kapoa sana hata alichoongea kuhusu Mbowe sijakielewa zaidi ya kusikia viongozi wanafiki.
  14. Bado Kidogo 2015

    Wabunge Kesho Kumpongeza Sitta

    Tena ni unafiki wa hali ya juu
  15. Bado Kidogo 2015

    Police: CP Paul A. Chagonja hafai kuwa Msemaji Katika Matukio Makubwa.

    Kamishna wa Operation na Mafunzo Paul A. Chagonja ukweli hafai kupewa jukumu kubwa la kusemea Jeshi la Polisi katika matukio makubwa yoyote hasa ya kisiasa kwa sababu zifuatazo; 1.0 Ana jazba kubwa sana katika kuelezea mambo, kama anawaowaeleza hawana uelewa wa kuelewa chochote au ni kama...
  16. Bado Kidogo 2015

    Revealed!! CHADEMA ilitumia mitambo maalum ya DVR kurekodi mkutano wa tarehe 15/06/2013

    Mungi kama ni hivyo Magamba yamekwisha. Nilikuwa namuona Chagonja anatoka mapovu tu leo pale ITV kumbe 50 kwisha!!
  17. Bado Kidogo 2015

    Vita ya Propaganda itaposhindwa tegemeeni haya...

    Hoja hii nilipoileta ilikuwa hata ya Arusha hayatokea lakini naanza kuamini nilikuwa nipo sahihi sana. Hebu angalieni vyombo vya habari leo hii kama ITV nacho kilivyobadilika na kuwa cha kijinga kabisa. Ukiacha hayo hata matumizi ya nguvu ya Jeshi la Polisi nayo yameongezeka maradufu hasa...
  18. Bado Kidogo 2015

    Waziri mkuu Mizengo Pinda akana serikali haijamfunga mikono Dr.Hosea

    Sasa anakana nini wakti Dr. Hosea mwenyewe kasema serikali imemfunga mkono?
  19. Bado Kidogo 2015

    Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

    Kuna vitu ambavyo vinanishangaza sana hasaaa kwa mashabiki wa CCM, endelea na propaganda zenu.
  20. Bado Kidogo 2015

    Vita ya Propaganda itaposhindwa tegemeeni haya...

    Kweli mkuu hayo ndiyo niyaonayo kupitia halmashauri ya kichwa changu kwa kuangalia hali halisi ya sasa na kisha kufanya projection.
Back
Top Bottom