Search results

  1. R

    Atakaeguswa Msaada Tafadhali

    Ndugu Wanajamvi, Poleni Na Majukumu Ya Kila Siku, Nakuja Jukwaani Kuomba Msaada Wa Kupata Kazi! Nitaandika Kwa Ufupi Kuokoa Muda, Mwaka 2008 Nilichaguliwa Kusomea Ualimu Chuo Kukuu Cha Dodoma, Sikumaliza Kulitokea Mgomo Tukafukuzwa, Hatukurudishwa Chuo Toka Tufukuzwe Mpaka Sasa, Baada Ya...
  2. R

    UKAWA hamna hoja, nipo hapa kujibu hoja zenu

    Faizafoxy Kama Mabosi Wako Wameshindwa Kujibu Hoja Za Ukawa Wewe Utaweza? Hoja Ya Kwanza, Kwanini Mliondoa Kifungu Kinachohusu Uwazi, Uwajibikaji, Kuzuia Viongozi Kufungua Account Nje, Kuondoa Kifungu Kinachohusu Viongozi Kupewa Zawadi Na Kuzileta Ziwe Mali Ya Serikali, Kwanini Mmeondoa Kifungu...
  3. R

    Kibaso njoo Rorya uchukue jimbo

    Rorya Sio Wajaluo Tu Ndio Wakaazi Kuna Wasimbiti,wasweta Wakurya, Na Ni Wengi Sana, So Tunmpango Wa Kuligawa Jimbo Hili Wait
  4. R

    Mawaziri Wa Wizara Hizi Wapo Ofisini Wanafanya Nini?

    Kwa Muda Mrefu Kuna Malalamiko Juu Ya Wahitimu Wa Vyuo Vya Maendeleo Ya Jamii Wamekuwa Yatima Hawana Wa Kuwasemea Kuhusu Ajira, Kila Mwaka Idadi Ya Wahitimu Inaongezeka Ajira Hakuna! Najiuliza Tunasoma Kozi Hii Ili Iweje? Nchi Yetu Ni Masikini Inahitaji Wataalam Hawa Ili Wasaidie Kusukuma Jukumu...
  5. R

    Wananchi Jimbo La Rorya Washinda Porini Kisa Michango Aliyoagiza Kikwete Ya Maabara

    Hii Sio Tetesi Ni Habari Ya Kweli! Yaani Watu Wako Porini Wanaogopa Kukamatwa Na Polisi! Yaani Ni Msako Nyumba Kwa Nyumba, Hapa Natumia Ka Mchina Kupost So Mods Naomba Warekebishe! Yaani Huku Ni Shida Mapongo Kila Kona. Source Wakaazi Wa Kijiji Cha Kuruya Jimbo La Rorya
  6. R

    Wananchi Jimbo La Rorya Washinda Porini Kisa Michango Aliyoagiza Kikwete Ya Maabara

    Inasikitisha Ccm Inatumia Vyombo Vya Dola Kulazimisha Uharamia Huu, Kodi Tulipe Kwa Kila Bidhaa Inayonunuliwa Dukani! Huduma Muhimu Kama Afya Tulipie, Kila Mwaka Bunge Linatenga Bajeti Ya Maendeleo, Kuna Mfuko Wa Jimbo! Pesa Zote Zinakwenda Wapi? Leo Hawa Maharamia Wametanda Kijiji Cha Kuruya...
  7. R

    Wananchi Jimbo La Rorya Washinda Porini Kisa Michango Aliyoagiza Kikwete Ya Maabara

    Wewe Wasema Kwasababu Uko Mjini Kuna Huduma Zote! Maisha Huku Kijijini Mtu Kupata 25000 Ni Kazi Kweli, Mvua Hazinyeshi, Maisha Yako Juu, Njaa, Tafadhali Bwana Waambie Ccm Wenzako Wawaonee Huruma Wananchi! Wezi Ni Wengi Sana Serikalini, Nchi Kila Siku Inakopa Mikopo Mikubwa Mikubwa, Pesa...
  8. R

    Wananchi Jimbo La Rorya Washinda Porini Kisa Michango Aliyoagiza Kikwete Ya Maabara

    Ni Jambo La Kusikitisha Kuona Viongozi Tunao Wategemea Watulinde Na Kuweka Mazingira Mazuri Ya Kuendelea Ndio Wanatumia Mamlaka Yao Kutuangamiza, Mtu Analala Na Mke Wake Wanajadili Na Kutoa Matamko Yanayoleta Usumbufu Mkubwa. Wiki Nzima Wananchi Wanashinda Porini Kukimbia Mchango Wa Maabara...
  9. R

    John Shibuda kuanzisha chama chake cha siasa au kuhamia TADEA

    Kwa Muda Mrefu Mtu Huyu Amekua Akiwakandia Wenzake Sehemu Mbalimbali Na Hata Kufikia Kuhudhuria Na Kuwasifia Waliomtema Mwaka 2010, Ccm! Imefika Sehemu Anajidhalilisha Kwa Kukata Mauno Mbele Ya Akina Kinana Na Nnape, Sijui Huwa Anafaidika Na Posho Kiasi Gani Huyu Yalama Wa Kisiasa! Anayafanya...
  10. R

    Haya ndio yaliyomkuta Sitta, alikutana na Nguvu ya ajabu ndani ya Chama

    nchi ya Tanzania haina tofauti na nchi ya syria, wazalendo wanaanzisha mada za kuliokoa taifa hili lakini kuna watu wanatumia muda mwingi sana kuwadhihaki na kuwatetea wala rushwa na ccm yao! wapinzani wamejaribu kuwaamsha wananchi kwa kuwataja hadharani mfisadi akiwemo rais wa nchi, lakini...
  11. R

    Samuel Sitta aunda Kamati ya maridhiano ya kuwasikiliza waliopiga kura za HAPANA

    :llama::flame:samweli sitta atakikimbia kivuli chake pindi watanzania watakapomhukumu! wamebaki watetezi wake wakubwa kama paulo makonda na dokta harrison mwakyembe maana mwasisi mwenzao wa ccj anasulubiwa kazi kwelikweli!
  12. R

    DCI atujibu, Mbowe akitanguliza familia yake maandamano ni halali?

    Zilog We Ni Mmoja Wa Maaskari Wapumbavu Wanaofaidika Na Mfumo Ndio Maana Unatangaza Ujinga Hapa, Ua Leo Kisha Upelekwe The Hague, Kumbuka Damu Ya Mtu Haiendi Bure! Tunaishi Na Nanyi Huku Mtaani Tutaanza Na Nyie, Viaskari Vinamaisha Magumu Lakini Vina Viherehere Sana Kama Haka Kanakojiita Zilog.
  13. R

    Ben Saanane mwisho wake umefika rasmi

    Wewe Una Sababu Zako, Huna Hoja, Sisi Tunataka Viongozi Kama BEN SAANANE Na Sio Viongozi Wanaoshawishiwa Kupewa Vipesa Tshs.kumi Chali Ccm Kisha Oooo Tunaomba Mtusamehe Tulipotoka, Mimi Naamini Mtu Huyu Ni Muhimu Hasa Muda Huu Wa Wasaliti.ozingatiwa tu.Kiongozi ambaye kazi yake ni kufikiria...
  14. R

    BUNGE LA BAJETI: Kuna baadhi ya Wabunge hawajachangia chochote mpaka leo....

    Mkuu umeshawahi kufika moshi uone mji ulivyochangamka na unavyoendelea kwa kasi, Ndesa hasemi ila vitendo unaviona, hakuna mkoa wenye maendeleo tanzania kuzidi mkoa wa kilimanjaro!, mi nafikiri ungewaasa wabunge wa ccm kama akina filikunjombe, anna makinda, willium lukuvi,na wengine,ndio...
  15. R

    Mme wangu kanizalisha mitoto myeusi

    aje nimpe mtoto mweupe, ani PM. tena anabeba mimba siku hiyohiyo!
  16. R

    ACT-Tanzania (Alliance for Change and Transparency): Taarifa kwa Umma

    hakuna kitu hapo hamjanishawishi, mnaimba kama malaika lakini mnacheza kama mashetani.
  17. R

    Salamu za ACT-Tanzania kwa Wananchi wote

    mbona wewe ndio unajibu kila linaloulizwa? tunataka hiyo idara ya habari na uenezi itujibu maswali yetu na sio wewe Chabruma! nafikiri umeelewa!
  18. R

    Maamuzi yangu binafsi juu ya tatizo la ajira, ila si lazima uyafate

    Mimi Nimeamua Kama Ulivyoamua, Mimi Ninashahada Ya Uchumi Lkn Naona Ajira Ni Ngumu Nimeamua Kwenfa Kusoma Bachelor Nyingine Ya Ualimu, Mungu Yupo Atanisaidia Nimalize Salama, Inshaalah Vijana Watafuta Ajira Nitakuja Kutoa Feedback Siku Nitakapomaliza Na Kupata Ajira Yangu Ya Ualimu!
  19. R

    Nimemaliza Degree ya Ualimu nataka niunge, je ni kozi gani nzuri niombe?

    kaka naomba tubadilishane mimi nikupe vyeti vyangu vyote,yaani cheti changu cha kuzaliwa,cheti changu cha form four, cheti changu cha form six na cheti changu cha degree, mimi nimesomea uchumi wa maendeleo ya jamii BACHELOR OF ARTS IN COMMUNITY ECONOMIC DEVELOPMENT(BA-CED),Napenda sana kuwa...
  20. R

    Tafadhali acha kila unachofanya na soma hii, ni muhimu sana

    kwa mapenzi yake maulana atamsaidia ajifunge salama!
Back
Top Bottom