Search results

  1. Emashilla

    Mikakati dhidi ya Dr. Slaa: UKAWA mnaona hii ni sawa?

    Nadhani haupo makini maana mccm alisema jana kuwa rais wa Libya alikuwa Saddam Husseim washabiki dole gumba wakamshangaa. Alipoteza dira na kujikanusha kisha akatoa jibu sahihi kuwa Saddam Hussein ni rais wa Kuwait. JE NAYE MAFUNGUO ALIPOTEZA MAKUFULI?
  2. Emashilla

    Nimezinduka naenda UKAWA

    Kama ni uongo au ukweli picha ya nini? Tazama picha za anguko la CCM kuanzia leo hadi siku ya maziko yake 25 Oktoba
  3. Emashilla

    Nimezinduka naenda UKAWA

    Waambie wanaCCM wote nimezinduka nimeenda CHADEMA/UKAWA na sitarudi tena CCM nabaki UKAWA. Tuonane Oktoba 25
  4. Emashilla

    Nchi yangu imepata Uhuru!

    Maswali:(1)Tanzania ilipata uhuru lini? (2)Tanganyika ilipata uhuru lini? (3)Mashariki Tanzania inapakana na Nchi gani?
  5. Emashilla

    Je katiba mpya Tanzania imesahau haki za wanaume?

    Nimepitia rasimu ya katiba mpya 2013 sijaona ibara yenye kutamka HAKI ZA WANAUME wala WAGANE. Haki za binadamu zimetaja makundi mengi kama haki ya mtoto, haki za vijana, haki za wazee, haki za wanawake(na wajane) na makundi mengine. Lakini wanaume naona kama wamebaguliwa au ndio tuseme katiba...
  6. Emashilla

    Tanzia: Kada wa CHADEMA ndugu Privatus Mahabusi afariki dunia

    MAZISHI: Marehemu amezikwa leo, Alhamisi 15/08/2013 nyumbani kwao. Tunawapa pole wazazi, familia, majirani, ndugu, jamaa na marafiki wote kwa msiba huu mkubwa wa mpendwa wetu. Mungu atupe maisha ya wokovu na amani sisi sote tulio hai. Marafiki kutoka kanda ya kaskazini mliotuwakilisha huko...
  7. Emashilla

    Tanzia: Kada wa CHADEMA ndugu Privatus Mahabusi afariki dunia

    Mwili wa marehemu umesafirishwa jana saa tatu na robo usiku kwenda Mahenge, Morogoro. Taarifa za muda huu ni bado hawajafika na safari inaendelea. Update: Hatimaye mwili wa marehemu umewasili majira ya saa nne na dk 45 usiku...
  8. Emashilla

    Poleni CHADEMA Meru kwa msiba

    Mauti ni adui.Mwili wa marehemu Privatus umewasili Mahenge kwa maziko. Maisha ya mwanadamu ni mafupi na huenda wewe umebaki na masaa au miezi au miaka michache tu.
  9. Emashilla

    Mahudhurio rasmi mkutano wa Mwigulu Nchemba jijini Dar es salaam

    Tumefikia hatua ya kuiua CCM na kijana mwigulu kutelekeza jimbo lake.
  10. Emashilla

    Naipenda Sana Tanganyika Huru

    Sawa kabisa. Ila Tanganyika iko huru ndani ya mioyo ya Watanganyika. Tanzania ni huru tangu lini?
  11. Emashilla

    Naipenda Sana Tanganyika Huru

    Mzee kuishi ni kazi na kufa ni cha wote.Hivi Nape ni nani? Tanzania ni nchi iliyopata uhuru lini?Nipe jibu,au......
  12. Emashilla

    Naipenda Sana Tanganyika Huru

    Uhuru wa Serikali ya Tanganyika na Mapinduzi Zanzibar,najua!Lakini Tanzania ilipata uhuru mwaka gani?
  13. Emashilla

    Siwaelewi CCM kuhusu Amani Tanzania

    Kweli Siwaelewi CCM. Juzi juzi kama vile walisema AMANI inaharibiwa na baadhi ya vyama vya upinzani. Lakini sasa nasikia kuwa watu kutoka nje ya nchi wanaharibu amani yetu! Suala la udini na kauli tata zinaimaliza na kuizika CCM? Tuikubali CHADEMA Nguvu ya Umma na Amani Tanzania. Chagua CHADEMA...
  14. Emashilla

    CHADEMA na Sakata la Gas Mtwara

    Ni kweli hakuna jambo pasipo mwanzo wake. Mimi napenda kusema wazi kuwa wanasiasa wa vyama vya upinzani hasa CHADEMA ni watu makini sana kiasi cha kuamsha watanzania kudai haki zao kwa nguvu ya umma. Kinachotakiwa ni watanzania kuiamini Chadema nchi nzima ili kukomesha dhuluma ya CCM kwa...
  15. Emashilla

    Kwa nini TCRA, wasishinikize TV station za nchini zote ziingie pia kwenye mfumo wa SATELITE pia?

    Acha kuchokoza biashara za watu! Unataka kufahamu nini katika hayo mambo ya king'amuzi? Je!hujui kuna issue za simu zao na speed governor? Watanzania hamtakiwi kupata habari muhimu maana mtaanza kuandamana kama watu wa mtwara. Hakuna cha satiliati lazma mtanunua vinq'amuzi tena nasisitiza vile...
  16. Emashilla

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Sipendi kuhukumu ila leo natoa hukumu yangu kuwa Mamuya na Ben ni watu hatari katika nchi hii. Wanafaa kujiunga na kikundi maarufu cha wasanii wa maigizo kama ya Marehemu Kanumba. Natamani angekuwa hai. Leo hii angeweza kuongeza bei yake katika sanaa kwa kisa hiki cha watu wasiojali hoja za...
  17. Emashilla

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    "Kuliko nifanye siasa za aina hii, ni bora niache siasa kaka." Nadhani mna shida mbaya sana.Mmesikia chaguzi ziko karibu sasa mnaanza kuleta maneno yenu. Mimi nawashanga sana kwa sababu mnataka jamii iamini mambo yenu yasiyokuwa bayana. Nini maana ya kusema nitasema kwenye vikao na unaamini...
  18. Emashilla

    Upepo wa Kisiasa Wageuka; CCM Juu, CHADEMA Hakieleweki

    Mleta mada hii na wapambe wake akumbuke kuwa CCM ni Kichekesho mbele ya Watanzania wapenda haki na maendeleo endelevu? CCM ilisikika ikilia na bado inalia kwa maovu mengi. Kweli! umeleta hoja kwa kujifurahisha tu au pengine unataka tuwajulishe tena yafuatayo kuhusu CCM? Tafakari! 1...
  19. Emashilla

    Upepo wa Kisiasa Wageuka; CCM Juu, CHADEMA Hakieleweki

    Maneno yako ni yale ya kawaida yenu wana CCM maana siku zote mmepofuka na mnabaki na propaganda zenu dhaifu. Ni kweli rushwa imewapofusha macho hata hili la mabilioni ya Uswisi hamlioni. Mnapotezea kwa majungu yenuna kuanza kudai Chadema kinakufa! Tunataka viongozi wenu mafisadi na magamba yao...
  20. Emashilla

    Wanawake CCM sasa wasakamana

    Aibu tupu! Naona hapa ugomvi ni nani anaungwa mkono na kambi ipi! Ninyi wanawake hamjui ni aibu ya hata waume na wazazi wenu kugombana hadharani kwa ajili ya nani ni wanani ndani ya CCM? Ninyi masikini wenzetu mmepata wapi hayo mamilioni ya eti kuwasaidia watu wasio na uwezo. Acheni kuita...
Back
Top Bottom