Search results

  1. M

    Raila Amolo Odinga: The road towards Presidential elections 2013

    I wish I were a kenyan, angepata kura yangu bila shaka!!!
  2. M

    Tutaendelea kutayarisha Bajeti Mbadala, Ndio Upinzani Makini

    I wish CCM wangejifunza kwenu angalau hili la kukiri mapungufu hadharani!! Huku ndiyo kukomaa tunakotaka na wala siyo kufanya ushabiki kwa kila kitu!!!!!
  3. M

    Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

    Mi nitakuunga mkona iwapo utaniambia kuwa shule hiyo ya kufikirika wanasoma watoto tu wa Mbowe au Viongozi wa CHADEMA. Nitakubaliana na wewe iwapo utanithibitishia kuwa Wanachama na Wafuasi wa CCM wanafuatilia matumizi ya RUZUKU kubwa ambayo wamekuwa wakipata tangu wakitawala bunge kwa wingi...
  4. M

    Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

    Hivi kwenye hiyo shule anasoma mtoto wa Mbowe tu?? Aliyeleta taarifa hizi (Mwigulu) atumwagie na majina ya wazazi wengine ili tuone na kuwajadili wamepataje mamilioni hayo ya kuwalipia watoto wao!
  5. M

    Mahakama na kesi za UHUJUMU UCHUMI (UFISADI)!

    Hivi haya mawazo hujapewa na Makamanda mlipokutana juzi kwenye msiba wa Bob Makani?????
  6. M

    Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

    sema siasa za CCM ni za kupakaziana na kupigana madongo!! Kwa maneno ya namna hiyo siko pamoja na CCM
  7. M

    CHADEMA na usafiri

    Gamba liko kazini siku zote kueneza hofu kwa watanzania!
  8. M

    Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

    Kuna tatizo la utawala Zanzibar!! nchi ile inakuwa maskini kila siku kwa sababu Viongozi wao wanatoa kipaumbele cha kujiimarisha madarakani zaidi ya kuondoa umaskini lakini lililobaya ni kuwaaminisha Wananchi wao kuwa matatizo yao ni MUUNGANO!! Let Zanzibar go ili wajifunze na kujua matatizo yao...
  9. M

    Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

    Nafikiri tatizo kubwa letu Watanganyika si kudai Tanganyika!! Hata Tanganyika ikirudi tutaendelea kusota tu kama uongozi wa Taifa letu utaendelea kuona kuwa vipaumbele vya nchi yetu ni kuendeleza uongozi wao!! Nyinyi Wazanzibar mnasumbuliwa na umaskini uliokithiri ambao hamtaki kuuona na...
  10. M

    Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

    Kwa nini Kikwete aitishe kura ya maoni kwa Wanzibar? Rais wao aitishe! Amiri jeshi wao Mkuu asimamie mchakato huo mpaka wapate wanachotaka. Aliyeanzisha Thread hii, ameomba Polisi isijihusishe tena na Vurugu za kundi la UAMSHO ambalo limeandikishwa kwa sheria za Zanzibar ili waweze...
  11. M

    Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

    Hivi unajua kuwa Wazanzibar mna matatizo makubwa?? aliyeanzisha thread hii amekuwa ni mtetezi mkubwa wa Muungano lakini inaonyesha hatimaye amekubaliana na nyinyi na kuwashauri njia rahisi za kufanya ili mfanikiwe haraka na mnachokitaka bila kuendelea kutupigia kelele! Hayo yote uliyobwabwaja...
  12. M

    Let Zanzibar Go! - Kwanini Zanzibar hawahitaji kuwashawishi Watanganyika ili watoke kwenye Muungano

    Tuliwapenda sana kwa miaka 46 lakini naona hawapendeki! potelea mbali, hakuna anayekataa kuwapatia talaka wanayoitaka!!! Wanachotakiwa kufanya ni kuomba talaka yao, waende! Let them go. Tumechoka na kelele zao kila siku.
  13. M

    Let Zanzibar Go! - Kwanini Zanzibar hawahitaji kuwashawishi Watanganyika ili watoke kwenye Muungano

    Let Zanzibar go!! Asante Mzee Mwanakijiji kwa darasa lako, let them decide their destiny kuliko wanavyotuandama wakati uamuzi uko mikononi mwao! Let them go. Waliamua kuvunja katiba ya Jamhuri ya Muungano kwa kujitangazia kuwa wao ni nchi ndani ya nchi na hakuna aliyewauliza, Walivunja katiba ya...
  14. M

    Mlimcheka Kikwete; wengine hawa...sijui tutasingizia nini !!

    "and" kwenye hundi inamaanisha sifuri. Kwa mfano kama ukiataka kuandika Tshs 208,000/= utasema Two hundred and Eight thousand, pia ukitaka kuandika 305, utasema three hundred and five only.
Back
Top Bottom