Sio ninavyofikiri, matendo yetu ndivyo yanavyotuonyesha. Mifano michache hapa chini.
01. Mtu kasombwa na lori kwenda kujaza uwanja ili akaongopewe, jioni akirudi anakuja kulalamika eti maisha magumu, wakati alikaa juani akiunga mkono sera mbovu.
02. Akiambiwa porojo na wanasiasa wa chama chake...
Tilapia wana kawaida ya kuzaliana sana, na kama chakula kipo kingi hutaona wakipungua, ingekuwa kwenye ponds za kujenga kwa zege ungeona pelege wakiwa wakubwa sana na cat fish nao wakiongezeka uzito kwa kasi.
Ndiyo Cat fish wanakulana/wanakula tilapia
Sasa ukifanya polycuture (sijui kama nimepatia) kwa ratio maalumu, utafurahi na roho yako. Lazima ujue cat fish wangapi kwa tilapia wangapi.
Good,
Kama miaka mitano nyuma nilifuga tilapia chotara na wale Mozambicus na cat fish. Ni kweli mbegu za asili zinatoweka kwa kasi ya ajabu, mimi nimeamua kutunza mbegu hizi za asili, mozambicus, tilapia na cat fish. Kwa sasa nakusanya cat fish jamii mbalimbali na kuwatunza vizuri.
Mimi naomba apone mzee wetu arudi kitaa, Mungu amjalie agonge karne na ushee. Pamoja na mapungufu ya kibinadamu, huyu mzee kaishi vizuri tu na jamii, apewe maua yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.