Search results

  1. Mwenyeminazi

    Prof Kabudi: Ufafanuzi kuhusu makubaliano kati ya Serikali na Barrick

    Prof. Kabudi ametueleza makubaliano lakini hajasema makubaliano hayo utekelezaji wake unaanza lini? Hadi Rais kasema hizo hela watulipe mapema lakini mapema ni lini na ni kwa nani...? Prof. Kabudi katuchanganya na hizo % .... Nampongeza Rais kwa Ujasiri wa Kuthubutu.... Ila naomba amuambie Prof...
  2. Mwenyeminazi

    Prof Kabudi: Ufafanuzi kuhusu makubaliano kati ya Serikali na Barrick

    Hata anayezieleza hizi hesabu naamini anajua kuwa tutapata taabu kuzielewa.... Maana yeye mwenyewe anapata tabu kutueleza
  3. Mwenyeminazi

    MAJADILIANO YA MAKINIKIA: Barrick yakubali kulipa Dola Milioni 300 na kugawana faida 50/50 na Serikali ya Tanzania

    Ingekuwa ni vyema serikali ikatuambia zile tuhuma za kuwa hawa ni wezi, madai yetu kwao, wameyazungumzaje na nini ukweli kabla hawajasema makubaliano ya kupeana hizo Dola 300m kama kidumisha ndoa (kitembea kwa magoti hadi South Africa baada ya kuchepuka) Je tumeshindwa ktk yale madai...
  4. Mwenyeminazi

    Chini ya Rais Magufuli tutapata usimamizi mzuri ila sio uongozi mzuri

    Utendaji Wa Serikali kwa sasa hauna Mawaziri na Kazi zao zinafanywa na Makatibu. Na hata mawaziri wakiwepo Makatibu ndio watendaji wakuu Wa Serikali. Alichokifanya ni sawa kabisa kukaa na Watendaji, kawaelekeza nini anataka, waandae mazingira Mawaziri wakija wakute nini cha kufanya kama Dhana...
  5. Mwenyeminazi

    Mbona Magufuli anaanza kama Kikwete Tena? Hii nayo Nguvu ya Soda...?

    Kikwete Alianza kwa kutumia Hela kule Ngurdoto, Magufuli Kanza Kwa ziara Ya Miguu, na Kikao Kazi ofisini na watendaji wakuu..... Kawaambia Serikali Yake Itakuwaje na Kawafafanulia Dhana ya HAPA KAZI TU Ili kila mmoja awajibike Hivyo. Kafuta Masafari ya Nje kwa watendaji Wakuu, JK alionesha...
  6. Mwenyeminazi

    Nimetembea na shemeji yangu

    Amelipiza kisasi kwa imani kuwa kaka yako ndie kamuambukiza HIV. Dah Mwanamke katili saaana huyo.
  7. Mwenyeminazi

    Rafiki wa Girlfriend Wangu

    Duh. Kufanyana!!!!? Neno la zamani. Umenipeleka zamani. Ahsante
  8. Mwenyeminazi

    For those who fall in love with someone here

    Mi ukivutiwa nami ujue kabisa maisha ni Kizanzibari
  9. Mwenyeminazi

    Rafiki wa Girlfriend Wangu

    Nilidhani utakemea pepo lishindwe!!!!!!!! Au ni kwa vile ni hadithi haina pepo?
  10. Mwenyeminazi

    Tamaa Itanimaliza Jamani

    Sio ujinga. Utakuwa unakaribia ku-bleed coz JF walisema ukikaribia kubleed unakuwa na hamu za ajabu saaana. Yaani unatamani mguu uwe katka kiatu chako muda woote.
  11. Mwenyeminazi

    Hili ni pepo au?

    Kuna wanaume wanatudhalilisha saaana. Inakuwaje mwanamke anasema mihamu inajikusanya kama chemchem msimu wa mvua? Au eti hafikishwi ghorofa ya mwisho!!!!!? we mahondaw!!!! Kuja huku kwetu zanzibar upewe vituu vya maana uishie kuota jua kila siku hadi ukituona wanaume unasema kazi ipo.....
  12. Mwenyeminazi

    Palizi la bustani

    Nini unaenda kukagua?
  13. Mwenyeminazi

    Palizi la bustani

    Jamani si umjaribishe ya kwako mara moja tu aone utofauti!!!
  14. Mwenyeminazi

    Shemeji yangu jamani

    Naomba tusimamishe uchangia wa hii topic ili part two ije
  15. Mwenyeminazi

    Palizi la bustani

    Ulimi unaanza kutamani the taste of salt. Jamani niacheni nichangie bunge la katiba. Mnataja uvinza hadi mate yangu yanadondokea mic. Mi mndojole (mlafi) wa hiyo kitu
  16. Mwenyeminazi

    Shemeji yangu jamani

    Hebu mdau alete part two ya hii story inawezekana kilichofuata ni fumanizi huko club au nyumbani. Kama mke wetu hakuliwa basi shemeji kaliwa. Na kama mke wetu kaliwa na kaka yetu nae kaliwa.
  17. Mwenyeminazi

    Palizi la bustani

    Kama hayana afya vile ukiyaangalia ila ndio yalivyo......
  18. Mwenyeminazi

    Shemeji yangu jamani

    Dah hii mada inanifanya nihisi kabisa kuna sehemu inaanza kuvimba taratibu na maumivu ya kichwa yanaanza pooole pole.......nasikia maumivu makali kupita kiasi
Back
Top Bottom