Search results

  1. M

    Membe: Wasiomtakia mema Rais Kikwete wananuna ujio wa Rais Obama!

    Ujio wa Obama wananchi wameandaliwa vipi kumpokea katika maandamano ili hali waziri mkuu amewataka polisi kuwapiga wananchi wanaokuka sheria, itakuwa vipi endapo watakiuka utaratibu ambao utawekwa na watu wa itifaki wakati wa kumpokea Obama?
  2. M

    Ndungulile kabweka lakini kaliwa

    Kaliwa Ndugai, subirini vita Serikali na jeshi la ziada, JWTZ ambao maisha yao wamewekeza Kigamboni, Ndugulile si kihiyo. Anajua anachokifanya, Kigamboni lazima kinuke. Mapinduzi ya kwanza kabla CDM, yatatoka Kigamboni , subirini muoneeeeeeee
  3. M

    Rose Kamili amemsafisha Dr. Wilbrod Slaa. Hongera Rose Kamili na wenzako mliofanikisha hilo

    Rose Kamili kachanganyikiwa, amemshindwa Mary Nagu sasa anarukia waume za watu, atulize makalio chini, kama anataka mabwana aende chama cha kijani , wako bwelele wameungua nyuso kwa ARV
  4. M

    Wito wa mapokezi ya kichama wa rais kutoka Uingereza

    aaaaaaah!!!! Nimekutana na ile TV ya Chama cha kijani (TBC), ikielekea kipawa uwanja wa ndege leo asubuhi
  5. M

    Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

    Kafanywajwe, wapendwa na yeye kaenda jimboni kwake Uingereza?
  6. M

    Dr. Ulimboka is safe and stable

    Tuendelee kumuombea dk, ukitafakari mateso aliyoteswa waweza kububujikwa na machozi usiku kucha, yakaribiana na mateso ya bwana wetu Yesu Kristu pale alipibebeshwa msalaba na kuambatanishwa na nao na misumali na kuanza kupigwa mijereji huku akitobolewa mbavuni. yalifanyika ili sisi tupone, hali...
  7. M

    Mhe. Nkamia umeidharilisha tasnia ya habari

    Juma Nkamia kilaza!!! ubunge wake ni upendeleo viti maalum
  8. M

    Mh. Mabumba, Mh. Manyanya & Mh. Mwigulu, Msituharibie CCM yetu!

    muulizeni,tayari amewasilisha taarifa zake za kibenki, na matamko ya mali Tume ya maadili, hamuwajui wabunge wetu kwa namna walivyoshabikia na kumponza Mwakyembe, hadi akapataa mateso peke yake, ili hao wote walistahili mateso kwa kumtenga dk nchini INDIA?
  9. M

    ACP Hemed Msangi...

    Unatafuta faraja, hizo propaganda zako zinafanana na zile za chama cha kijani. Watanzania wa leo wameelimika, wewe ndiyo wa kuwaambia, zilitengenezwa ama anahusika kama alivyotajwa na dk pale alipokwenda icu kumkejeli
  10. M

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Matukio ni mengi bali nitawasilisha machache. Tukio la kutelekezwa Dk Harrison Mwakyembe alipopata ajali mkoani Iringa, Polisi Usalama barabarani walidaiwa kususia kutoa msaada eti tu kwa kuwa amekuwa akitoa misimamo mikali kwa Serikali hususani Kamati aliyoisamamia kuchunguza Richmond...
  11. M

    Mbinu chafu za serikali kuficha ukweli juu ya Dr. Ulimboka

    Kwa mkakati huu, Mungu yu Mwema kwa Ulimboka. Lakini mpango huu utawafikisha wapi? Shetani ameshindwa!!!!!!!!!!!!!!! Jina la bwana liinuliwe, Watanzania Hhureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Mwema na Shemejiye wameumbuka sasa, wapange mkakati, De,level endelea kuipenda na kuipigania nchi yako. Taifa kwanza.
  12. M

    JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    Naungangana nawe mheshimiwa, nami naunga mkono kauli ya Mnyika asilimi 100%
  13. M

    Mnyika, La hasha rais Kikwete si dhaifu bali.....

    Napita lakini ukweli wengi wape
  14. M

    JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    Nani asiyejua udhaifu wa Serikali na bunge,swali aulize Ester Bulaya, jibu apewe Wassira kana kwamba ndiye aliyeuliza swali. Uchungu wa Wasira kwa Bulaya kukitetea Chama chake, tayari Bulaya kaonekana Mpinzani kwa kuwa tu kaenda tofauti na mataka ya wakubwa, tayari Bulaya ni Chadema, Pumbafu...
  15. M

    JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    Nduagai pia aliwahi kuitusi Serikali. Dharau zenu mkazifanye huko kwa Jairo, nani alimtoa nje Ndugai. Huo ndiyo udhaifu wa bunge letu
  16. M

    Edward Lowassa: Tatizo ni uwaziri mkuu (tafadhari isome hii)

    u mwehu kwa kumtabiria binadamu mwenzako, una macho huoni, una masikio unajifanya husikii. Mwakyembe "jembe"
  17. M

    CAG, ukaguzi wa fedha za kampeni lini?

    Kwa mujibu wa CAG, umekamilika bali ripoti anayo Tendwa, mbane Tendwa ndiye mwenye kufahamu kilichobainika katika ukaguzi wa fedha hizo
  18. M

    Mhe. Ezekiel Maige: "Mara nyingi watenda mema hufanyiwa hiyana"

    Inahitajika Maige apewe ushauri nasaha na si vinginevyo, atakuwa ameatirika kisaikolojia, si bure kwa aliyekuwa mtu makini kuendeleza mijadala ambayo hata iweje, haitamrudisha katika nafasi ya Uwaziri.
  19. M

    Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

    khee khee , zengwe kwelikweli, mtu mzima aaibishwa ,kumbe walikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  20. M

    Obama kama Karl Peters; Kikwete kama Mangungo wa Msovero

    Tujitafakari kabla ya kufanya maamuzi, kizazi kijacho kitarithi ardhi ipi ikiwa wageni watamilikishwa, ooh!maskini Watanzania ni maskini ndani ya nchi , nini kimewakumba watawala wetu? Au ni umbumbu, ni bora aliyekuwa chifu wa Iringa Chifu Mkwawa, alionyesha uanaume kwa kutaaa kuwa mateka ndani...
Back
Top Bottom