Search results

  1. M

    Escrow Kimenuka: Uongo wa Taarifa ya Kamati ya PAC kuhusu sakata la ESCROW

    ukitumwa wakati mwikngine ni vema ukajua anayekutuma ana malengo gani na wewe #faizafox aliyekutuma alitaka kuona kiasi cha upumbavu ulichonacho kichwani. sihani kama umesoma hayo mataputapu uliyopost...................
  2. M

    Amos Makala akipiga kazi na bodaboda

    boya wa mvomero..........muulizeni huyo boya kama alishawahi kufika mongwe, yowe, omboza chowelo n a maeneo ya jirani na hayo..........matokeo owden is still aive makala tafuta chaka mapema chadema tunakuja
  3. M

    Mchungaji Oswald Mbaula wacha kuivuruga Mvomero

    katika hali isiyokuwa ya kawaida ndani ya chadema tayari amajitokeza mtia nia katika jimbo la mvomero kupitia chadema(mch oswald mbaula).akitumia approach ambayo tumeizoea kuiona upande wa pili kwa magamba. mbaula akimtumia katibu wa wilaya mvomero ndg Mrisho kuratibu zoezi la yeye kujipigia...
  4. M

    Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

    endeleeni kuiba mimi nanoa panga langu hiyo mikono yenu itakua halali yangu
  5. M

    Kutoka mahakama kuu Tabora Live

    More updates mkuu
  6. M

    Nategemea kupeleka hii Hoja yangu binafsi Bunge la August 2013 kuhusu Ajira kwa Vijana

    Mwigulu na upumbavu wake jamani aachwe nashkuru kuona namna ulivyofikiri. Ninachojua hata vyuoni mmeanza kuwaambia wale mazezeta wa ccm kuwa wajiandikishe na majina yanaletwa kwako ili wakimaliza shule wewe utawasaidia kupata ajira kwani tayari yatakua utumishi ulivyo kilaza. Na wale vilaza kwa...
  7. M

    CHADEMA wametumia zaidi ya Milioni 950 Arusha

    Naona mkaguzi wa ndani unajaribu kutuletea audit report with no figures. Ogopa sana kutegemea umbea kama ajira jitume ndugu lumumba wanakudhalilisha
  8. M

    Absalom Kibanda: Sasa sitaogopa kitu na sina cha kupoteza, nitafichua kila kitu

    Ngoja apigwe mwingine kwa unafki huu wa kibanda na ulimboka mptapigwa tu waandishi wa habari
  9. M

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Tulianza na mungu tunamaliza na mungu wao walianza na polisi wanamaliza na polisi duh kazi kweli kweli magamba
  10. M

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    kama kuna hila ndio hizi yaani hadi sasa matokeo bado hapa kaloleni tupo tunasubiri tu mpaka kieleweke
  11. M

    Aibu kwa Waandishi wa Habari na Udhalilishaji wa Taaluma yao

    Ukishangaa ya musa utastaajabu ya....:p si ndio hao hao walimkataa nchimbi pale jangwani wanafki hawa tukisema baadi ya makanjanja wanalamika taaluma za kuunga unga nalo ni tatizo
  12. M

    Magamba kwaherini

    Magamba mmetunyonya vya kutosha katika kila sekta kiakili tumeshakomaa. sasa endeleeni na propaganda nyanya tuone mwisho wenu mnajivunia hazina kubwa ya wajinga mnao wadanganya ila siku watakapo funguka akili mtakiona
  13. M

    Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Naskitika sana kuona administrator unaruhusu post ya huyu mbaguzi aneendelea kuigawa mikoa kwa misingi ya udini.
  14. M

    Matokeo form IV: Haya yalitamkwa na Prof Maghembe

    Watawala vichaa hutenda kadri ukichaa wao utakavyo waruhusu
  15. M

    Vitabu vya Nyambari Nyangwine ni Janga la Taifa kwa ELimu Yetu

    Ki ukweli vitabu vya nyambari ni rubbish vina lemaza watoto ila kwa sababu ya ten percent vipo
  16. M

    Mtela Mwampamba afunguka ndani ya Passion FM

    Mtela kama ndio mama mzazi wa dr slaa maana unakazana kama unamjua baba yake by the way imezaliwa juzi sasa umbea utakufikisha wapi fanya ya msingi
  17. M

    Juliana Shonza amlipua Mbowe

    Ukichaa ni pamoja na kukurupuka kisha ukaropoka dada ni useless angetumua hata maklio kufikiria labda angeongea lesspoint kuliko
  18. M

    Mwananchi: Anguko Elimu - 60% Wapata sifuri, shule za Serikali Chali

    Heshima kwenu wanajamvi. Kwa hali ilvyo nchini kwa sasa kila mty anachakuongea kuhusu matokeo ya kidato cha nne mengine ni kama tumeyaweka kapuni. Ki uhalisia taifa letu liko mahututi linateketea taratibu kama mshumaa huku watawala wakiendeleza propaganda zisizo na msingi. Leo waziri mwenye...
  19. M

    Nyerere day Mzumbe University

    Wana jamvi heshima kwenu. Kesho hapa chuoni kwetu ni siku ya mwl Nyerere, atakuwepo mgeni mama Migiro. Nini maoni ya wadau nipeni hoja za kuwawakilisha ni wapi pa kumbana huyu mama.
  20. M

    Katiba mpya na tanzania ya kusadikika

    Kwa mwendo huu wa tume na mambo ambayo watanzania wa kiu ya kuyasema kuhusu huu muungano tunatengeneza tanzania ingine ya kusadikika.
Back
Top Bottom