Search results

  1. Godlisten shoo

    Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma

    Naona wewe ni part ya ruge na hujui ni jinsi gani ruge anatumia nguvu ya ziada kumpotexa mutu ambaye anakunda kinyume naye/ ni bora tu awe fatuma maana nayy anakuwa kama hana kichwa usomi kazi bure;:banghead:
  2. Godlisten shoo

    Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

    nadhani ujumbe umefika na umeeleweka wanachotakiwa kufanya ni kuendana na dunia inavyo taka wanachotakiwa kufanya ni kuhakikisha wanaweza kuendesha aisha yao bila kuwa tegemezi kea wanaume na hilo tazizo litaondikA
  3. Godlisten shoo

    CHADEMA mkitaka jifunzeni katika mambo haya

    na haitatawalika kweli kweli maana wana nchi wameshachoshwa na mambo ya ccm sasa kama wakileta ufisadi wao kwenye uchaguzi wakashinda kimagumashi hakuna mtu atawaelewa...
  4. Godlisten shoo

    Nyumba ya Mh. Mariam Kassembe sh. 400mil

    Wacha na yeye afeel pain kama tunayofeel maskin ambao hatuna nyumba bora za kuishi labda atajifunza ki2l Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  5. Godlisten shoo

    Dem wangu ana k kubwa anadai ye ni bikira

    Jaribu kutia kono labda utaivunja Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  6. Godlisten shoo

    Mwanzo wa mwisho wa PROFESSOR JAY..wa MITULINGA the HEAVYWEIGHT MC..!!??

    Hawezi kabisa kuthubutu kufata nyayo za sugu maana anayaamini sana mawwazo ya ruge ndo maana hata siku moja hawezi kuwa kama alivyokuwa wakati akiwa mwana harakati wa kweli!!!!!!!!!!! Sent from my hart
  7. Godlisten shoo

    Mwanzo wa mwisho wa PROFESSOR JAY..wa MITULINGA the HEAVYWEIGHT MC..!!??

    Matunda ya ruge katika jitiada zake za kuitokomeza HIP HOP lakini vijana wapo tutasimama daima HIP HOP 4ever! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  8. Godlisten shoo

    Hivi pccb wanafanyaje kazi zao?

    Hawa jamaa kama huna pesa hawakufanyii kazi ila kama hauna kitu lazima mkutane cortini maana kuna jamaa yangu huko singida aliomba rushwa ya buku4 amekula miaka3 au fayn laki5 ila kuna jamaa yangu mwingine alipigaga vijicent mpaka leo anapeta, Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  9. Godlisten shoo

    PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C

    Na hiyo ndo kweli achana na hao wanasema mara wameongwa na shoga. Cjui kaambiwa nanani sisi hatujali ata angekuwa nani tunachojali ni kupata chopper ili tuzidi kuwakandamiza magamba! Via Bubu hutaka kusema mambo yanapomzidia
  10. Godlisten shoo

    Mabalozi wa jumuia za ulaya wajiandaa kutoa tamko kuhusu kufungiwa mwanahalisi

    Nawaonea huruma sana maana watakapazimika kulifungulia Mwanahalisi sijui watatoa sababu gani!
  11. Godlisten shoo

    bakokaya mlehoo!!? wasukuma tu

    Toleho gokho! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  12. Godlisten shoo

    Job Ndugai: Sijui nina watoto wangapi!

    Wale makahaba wa dodoma huwezi kutumia kinga!! ing JamiiForums
  13. Godlisten shoo

    Mbunge wa Chadema Kaishia Darasa la Saba-CV Hii hapa

    Elimu haiongozi watu wewe zezeta fikiri kabla utaachama domo lako tupo wenye std 7 lakini nchi inatuogopa kwa uwezo tulionao wa kupambanua!! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  14. Godlisten shoo

    Mjadala wa Katiba Mpya

    kuna na ss wengine wa migodini tuna tatizo kama hilo unapo pata matatizo ya kiafya yanayotokana na kazi unayo fanya unatibiwa kidogo tu ikishindikana kupona ndani ya miezi 6 basi kazi ndo hakuna na unaendelea kujitibisha mwenyewe sasa ebu chukulia labda mtu umeufua mgongo na matibabu ya mgongo...
  15. Godlisten shoo

    catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

    Kugandana ni zama za kale! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  16. Godlisten shoo

    Inakuhusu sana uwe kwenye ndoa au unaelekea, soma

    Kumbe mambo ya ndoa ni magumu sana kama huzingatii lakin ni kinyume kama unazingatia. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  17. Godlisten shoo

    used blackberry torch 9800 inatakiwa

    Lete pesa yako hapa kwangu Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  18. Godlisten shoo

    Blackberry torch 9800 for sale lak 5

    Ni yakichina nn au imechoka sana? Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  19. Godlisten shoo

    Unatamani gari gani ambalo unaweza kulinunua miaka 2 ijayo

    Ka hiace katanitosha maana hizo 50,000 za kila siku nazitamani sana! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Back
Top Bottom