Yeye kwa akili yake fupi anadhani agenda kubwa ni mshahara, aende hospitali yoyote anayoijua aone jinsi watu wanavyojifungulia chini. Aulize kama kuna X-ray na CT scan. Mungu amsamehe kwa kuwa ajui alitendalo
Wauwaji wakubwa nyie, mlimuua Zongo na watuumiwa wakaachiwa kwa ujanja ujanja, kama kweli hamhusiki kwanini msimkamate aliyempigia simu ulimboka daklika za mwisho? wakati Dr Ulimboka kamtaja kuwa mara ya mwisho aliwahi kufanya nae mazungumzo Ikulu? Kwa kifupi sisi wananchi hatuna usalama wa...
This time hatukubali, hii serikali imeshaona kuwa wafanyakazi ni mazezeta, nikiacha kazi kwenye NGO nikawa mfanyabiashara niache milioni mbili zangu huko hadi miaka 55? this is stupid
Ndugu waislam tuache kukosa shukrani, uikiangalia katika historia, mwarabu alilpoleta uislam alijenga msikiti basi. Lakini mzungu alipoleta ukristo Africa alijenga kanisa, hospitali na shule kwa pamoja, sasa iweje leo muanze kuhoji kuwa vyuo vikuu vingi ni vya kikristu? ni kweli kwa sababu ni...
Pamoja kuwa mimi ni mwislam lakini mwenzetu hapo umepotosha, ukifurahishwa na usemi kwenye kitabu cha dini waweza kuutumia. Ndo maana watu wengi hata si waislam inshallah nk. Hiyo akili chafu mnayoitumia CCM imepitwa na wakati, kila chama kinachokuja juu mnakizushia udini kama mlivyo izushia CUF...
Udini hausaidii, hapa siyo Nigeria. Kwani wakijua Idadi yenu inasaidia nini? Au kuna mahitaji special kwa ajili ya waislam? Au mkiomba kiwanja cha msikiti au shule za kiislam mmenyimwa?
Hii Serikali ya kimafya, imekosa aibu hata kidogo. Mafisadi wanaangaika kuhakikisha kuwa maslahi yao soku zote yanabaki palepale kwa kuua wanaharakati na wapinzani. Kitendo cha kudhani wamemuua Dr. Ulimboka kisha akatoka mzima kimewadharirisha. Kwa staili hii sidhani kama Watanzania tunatakiwa...
Mwaka wa ajira uliopita UDOM walituita kwenye interview. Hawakuchagua wenye sifa. Walituita watu wote tulioomba kazi. Matokeo yake kada moja ya nafasi 4 tulijikuta watu zaidi ya 5,000 tulienda kwenye interview. Pamoja na hayo, walitufanyisha interview ya kuandika kwa madai kuwa watakaofaulu...
Polisi waanze kujifunza kuwa hao CHADEMA wanaweza kuwa mabosi wao siku yoyote kuanzia 2015. Waanze kuwaheshimu. Haya ndio mambo watu wakisikia wabaya wao wamechukua dola wao wanaacha kazi.POLICE CHANGE NOW, START TO RESPECT OPPOSITION PARTIES.
Kuna usemi wa kiswahili usemao sikio la kufa halisikii dawa. Usemi huu hulenga matendo (ya watu/mtu/kitu) ambayo hujirudia rudia huku yakiwa hayana faida kwa mtu husika pia kwa walengwa wake.
Hii ni CCM na serikali yake hapa Tanzania. Pamoja na serikali kujinadi mahala pengi ikiwemo bungeni...
Tena tangazo lao hili hapa juu ya threads zetu, waongo na wezi wakubwa hao. Waziri husika kamata mwizi men, au mpaka msubiri bunge liunde kamati jamani. TCRA, TRA mpo? Hao wanaweza kukwepa kodi wakijidai walikuwa kwenye promotions kumbe wanauza bidhaa kama kawa. Wezi haoooooooooooooo, sijui...
1.Dhamira ya dhati ya kulikomboa taifa kuondokana na umasikini wa kipato na umasikini wa fikra
2. Sera nzuri zinazolenga kuboresha maisha ya watanzania. Kumbuka Mbowe ndiye aliyetoa wazo la kuufanya Dodoma kuwa mji wa vyuo vikuu ili kuharakisha ukuaji wake na hatimae kuwa makao makuu. Alisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.