Search results

  1. M

    ACP Hemed Msangi...

    Hapana kwenye red jamaa aliandika Ulimboka aliyepotosha ni Kaka kiiza
  2. M

    Nakerwa na tabia ya serikali kuingilia bunge na mahakama - angalia hii

    Serikali legelege huogopa wananchi wake kwa kuwanyima taarifa but time will tell,wajiulize yuko wapi Mubaraka na Gadafi
  3. M

    200billion kukodi madaktri ni sahihi

    Serikali dhaifu huishia kucheza madili tu,hizo viongozi wana 10% yao
  4. M

    Mkasa wa Dr. Ulimboka: Inawezekana Kabisa Sio "Inside Job"!, bali ni "Smear Campaign?!.

    Acheni upumbavu wenu asiye na Huruma ni serikali yenu ya ccm inanayoacha wakina mama wanajifungua wakiwa wamesimama ambacho kinawafanya madakitari wagome nendeni hospitali za Temeke na mwananyamala mkaone
  5. M

    Dkt. Ulimboka amuumbua mmoja wa wahusika wa utekaji wake!

    Aisee hata mimi nilikuwa ubungo nikasikia jamaa mmoja anaeleza kuwa moja ya waliompiga alikwenda kumwona na Dr Ulimboka akamtambua please wenye taarifa yote tupeni
  6. M

    Inawezekana kweli Kikwete ni chaguo la Mungu

    Hii ni laana yaani wajawazito wanazalia sakafuni ampe mimba mkewe aone uchungu wa kumweka sakafuni mwanamke umpendae,yaani imeniudhi na kuniuma sana.
  7. M

    Kwanini Nyerere hakuendeleza kusini kwa miaka mingi?

    Acha kumlaumu marehemu kwa hoja nyepesi za kibaguzi;kwani kwao mpaka anakufa mbona hakukuwa na barabara za lami?Nyerere hakuwa baguzi kama wengine waliofuata hebu fikiria hata nyumba alijengewa na JKT.He was truely a patriotic leader
  8. M

    Rais Kikwete, Watanzania wana imani na wewe achana na hoja dhaifu za Chadema

    Kusema ukweli kabisa mimi simpendi kabisa Rais legelege,umeniudhi sana na kunipa hasira jioni hii kumtetea mtu kama huyu asiyejua kwanini nchi yetu ni masikini
  9. M

    Nataka kuachana nae ingawa bado nampenda

    Kaka kabila langu la nini kwani tunataka kutambika au kazi ya Nyerere bado tumeisahau?
  10. M

    Nataka kuachana nae ingawa bado nampenda

    Ni mwanamke wangu wa kwanza sijawahi kuwa na mwingine kabla kiasi cha kujiona mgeni wa mapenzi
  11. M

    Nataka kuachana nae ingawa bado nampenda

    Helo mimi ni mwanaume wa miaka 28 nina mchumba wa miaka 21 ambaye nimedumu nae kwa miaka miwili,juzi alinieleza kuwa baba yake hapendi aolewe na mtu wa kabila langu.Nilipotaka kujua msimamo wake hakutaka kusema chochote na mpaka sasa hayuko tayari kuzungumzia chochote kuhusu jambo hili akidai...
  12. M

    Mgomo wa madaktari rasmi kuanzia kesho!!!

    Serikali haina uwezo wa kutatua mambo magumu kama haya,utasemaje watafute njia nyingine na wasigome wakati hata walichonacho walikipata kwa kugoma
Back
Top Bottom