Search results

  1. Mangaline

    Tuombe Mdahalo kati ya Zitto na Mbowe ili tuweze kujua nani Mkweli

    "Akili ndogo kuongoza akili kubwa" Wenye ufahamu tumeshtuka!!! Waachie wabaki huko wenye akili kama za "Li****ssu"
  2. Mangaline

    Tundu Lissu: Hata gari linafanyiwa service

    "Akili ndogo kuongoza akili kubwa" Acha wabakie wenye akili zinazofanana.
  3. Mangaline

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Acheni wapate mahakama yao kwani itaendeshwa na bakwata ambayo ilianzishwa na hao hao wanaowaita makafiri, na wala haina madhara kwa kuwa bakwata ni jumuiya ya chama chetu, sawa na uwt. Haina madhara hiyo.
  4. Mangaline

    Wananchi 50 wa Kata ya Bwembwera wafikishwa mahakamani kwa kupinga michango ya maabara

    Shtaka lao si kugoma kuchangia, bali ni "kutokutii amri halali"
  5. Mangaline

    Hoja yangu Tony Gwanco; Nimeamua kukubali serikali tatu

    "..........kama lengo lenu ni bora lizame tugawane mbao, bora mzigawane baada ya ......
  6. Mangaline

    Tupia Kabila Lako

    Hongera kwa ubunifu "Chukua LIKE kubwaaaaa"
  7. Mangaline

    CHADEMA Mnaogopa nini kuweka Hotuba ya Wenje kwenye Mtandao wenu?

    Nilidhani jeshi la Tanzania ni "Tanzania Peoples' Defensive force" (TPDF), kama ndivyo, nje ya nchi tunatafuta nini???? basi, kama tunataka kutoka nje ya nchi, tuweke kitengo cha "Tanganyika Peoples' Offensive Force" "TPOF"
  8. Mangaline

    Mama Maria Nyerere avunja Ukimya, aungana na Vijana wazalendo kulaani kutukanwa Mwalimu

    Poleni mnaoishi kwa kuamini ndoto!!! TBJoshua wako wengi!!!!
  9. Mangaline

    Umoja trust fund (utt)

    Hawa ni wezi wakubwa. Wakati wanaanza, walikuwa na lugha laini, kiasi cha kushawishi wengi wetu tukajiunga kwa ahadi nzuri kuwa tutakuwa tunapata gawio. Kinyume chake wamekusanya mamilioni ya Watanzania na kuishia mitini, hakuna cha gawio, na hata ukitaka kuuza hisa zako, wao hawaruhusu, kinyume...
  10. Mangaline

    Mke wa x wangu

    Poleni wa Mjini, mwombe huyo dada ahamie huku bush maana town "kwa mtu mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani"
  11. Mangaline

    Mpenzi wangu anamsifia sana Diamond, hadi nakereka

    "Ukisaajabu ya Mussa utayaona ya fillauni" Hata wakati wa kifo cha Kanumba, wapo waliomlilia Kanumba kuliko hata walivyowalilia wazazi wao, hadi waume zao wakaona kero. Imagine mke wa mtu anamlilia mwanaume baki hadi kuzimia, Hii nayo inakaaje???????????????????
  12. Mangaline

    Mlipuko wa mabomu Mombasa

    Presidaa alikurupuka kudai mapambano na ugaidi akidhani atyaweza, akomae nao tu.
  13. Mangaline

    Tundu Lissu akataa kununuliwa ili awasaliti UKAWA na CHADEMA

    Ipo siku atazikumbuka. Kwa uzalendo gani unaweza acha mapesa kama hayo????????????????????
  14. Mangaline

    Uwezo wa kuongea na nafsi ya marehemu au mtu aliye mbali bila uchawi

    Si kila mtu ana jicho la tatu. Ni wachache sana wenye jicho la tatu. Jicho la tatu lina uwezo wa kuona mengi. Ni rahisi sana kulipata, ila gharama zake ni kukubari kuua mmoja kati ya watu wako wakaribu sana, kati ya baba, mama, mke/mme/mtoto wa kwanza.
  15. Mangaline

    Warioba Anataka Nini Hasa?

    Tume ya Warioba ni tume ya tatu. Tume ya kwanza ilitoa mapendekezo ya wananchi kuwa ni serikali tatu, Chama tukakataa, tukaunda tume ya Pili, nayo pia ikaja na maoni yaleyale ya serikali tatu, chama tukasema HAPANA. tumeunda tume ya tatu, nayo pia inasema maoni ya wananchi ni serikali tatu...
  16. Mangaline

    Uwezo wa kuongea na nafsi ya marehemu au mtu aliye mbali bila uchawi

    ni kawaida kwa wale wenye jicho la tatu.
  17. Mangaline

    Matiti nje

    "Nyumbani kuna msichana, na njiani utaona wengi wasichana, ila si kila unachokiona ukadhani kupata inawezekana" - "Tuliza moyo wako"
  18. Mangaline

    Fahamu kuhusu Mwl Julius Kambarage Nyerere Baba wa Taifa la Tanzania

    Ni mtu wa kwanza kusaidiwa na Kambona mwaka 1964, akamlipa maovu 1967.
  19. Mangaline

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    Mawazo ya wajumbe wa bunge la katiba, mengi hayana tafiti, na hivyo siyo lazima yawe sahihi. Nimesikiliza hoja za ZZK, hoja zenye mashiko, nasikitika CDM kutomtumia katika kuwajengea hoja, ila mawazo kuwa zanzibar haiwezi kujiendesha ni fikra mgando za baadhi ya wajumbe, na nadhani, wazanzibar...
Back
Top Bottom