Search results

  1. Tuvako

    Mimi ni Mlokole nataka kuoa Mroma

    Endelea kujipa moyo hivyohivyo na Udhehebu unaoushabikia.. Aliyekudanganya kuwa YESU aliacha ukatoliki ni nani!!!! Poor you
  2. Tuvako

    Msaada please...Ninampenda dada yangu(Mtoto wa mama yangu mdogo)

    Wakuu...Naombeni msaada wenu wa mawazo... Nimetokea kumpenda sana mtoto wa mama yangu mdogo na nafikiri labda MUNGU akipenda,nafikiria kumuoa huko baadae..Ila bado sijamwambia kuhusu hisia zangu juu yake. Sasa je,Itakuwa sawa kama tukiamua kuoana? Hasa ukizingatia kuwa sisi ni ndugu..Je...
  3. Tuvako

    Magembe hatihati kutorudi Mwanga 2015...

    Mkuu Kileo,Nimefurahi sana kusikia habari hizi njema..Ebana wilayani kwetu mwanga kuna shida sana ya hamasa kwa vyama vya upinzani.2010 alisimama mgombea wa CDM Ila hakusikika kabisa na wala hakuweza kuleta upinzani wowote!! SO SAD.. Nikushauri kitu kimoja,HAKIKISHA UNAPITA TARAFA ZA...
  4. Tuvako

    Niko njia panda

    dunia kweli ina mambo...
  5. Tuvako

    Nisaidieni kimawazo nipo njia panda.

    hahaaaa hhaaaaaaaa
  6. Tuvako

    Mwalim mwenzangu njoo hapa tuliwazane

    Mkuu...Hivi mpaka Uje JF kutafuta Mchumba,Ina maana huko Mtaani hawapo au ndo Udomozege?..Samahani lakini
  7. Tuvako

    kusaidiwa!

    Hii kama hadithi ya Shigongo vile......
  8. Tuvako

    Girl Vs Woman

    Mkuu Uko sahihi kabisa.... I like this
  9. Tuvako

    Kuna ubaya kumpa penzi mama mkwe?

    Muulize Mkeo Hilo Swali atakupa Jibu zuri zaidi
  10. Tuvako

    TCU: Darasa la saba sasa kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja

    Wakuu.. Nimesoma hii habari kuwa Watu waliofika kuanzia darasa la saba na kuendelea ambao hawakuweza kujiendeleza lakini wana uzoefu kazini watapata Nafasi ya kusoma Digree katika Vyuo hapa TZ. Habari hii ni Nzuri lakini pia ni Mbaya. Ubaya ni kuwa sasa Digrii Itakuwa kitu cha Kawaida...
  11. Tuvako

    TCU: Darasa la saba sasa kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja

    Wakuu.. Nimesoma hii habari kuwa Watu waliofika kuanzia darasa la saba na kuendelea ambao hawakuweza kujiendeleza lakini wana uzoefu kazini watapata Nafasi ya kusoma Digree katika Vyuo hapa TZ. Habari hii ni Nzuri lakini pia ni Mbaya. Ubaya ni kuwa sasa Digrii Itakuwa kitu cha Kawaida...
  12. Tuvako

    Wife is pregnant and hates me?

    Natalia wa MUZUNGU...Shikamoo dada!
  13. Tuvako

    Kuna future hapa?

    Hapo Nakushauri chukua Hamsini zako Mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaa.. Achana naye hakuna kitu hapo,Ndoa bado anatoa makucha hivi,Mkioana itakuwaje??? RUN AWAY.
  14. Tuvako

    Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

    Kwenye RED haPO,Kweli Maji yamezidi Unga...Ndo Ratio gani hii?????
  15. Tuvako

    UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall

    ha ha ha.... Umenichekesha sana Mkuu...Aache Kiherehere au siyo!!!!
  16. Tuvako

    UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall

    Sio Lazima Kila Post Uchangie..Ukiona huna cha kuandika,Unapita tu kimyakimya. Unaonekana Unajua mahesabu kweli!!! Hebu Tuambie Umejuaje gharama za Posho ya Vikao..Na wewe Ulikuwepo nini??
Back
Top Bottom