Search results

  1. N

    Je, Mbowe na Magufuli ni yupi kiongozi Bora na Mahiri

    Acha kumfananisha Mh. Magufuli na vitu vya hovyo hovyo bana, alaaaaa
  2. N

    Lowassa: Ujumbe wa Rais Magufuli ni kunitaka nirejee CCM, ila nilikataa

    Jibu lingekuja 'sikuwapa taarifa'... Swali jingine please
  3. N

    Morogoro Enzi Hizo: Hii ndio Morogoro bwana!

    Wapo wengi tu sema inahitaji utulivu kuwapata. Mi niko mikoani ila ukizungumzia Mo Town unanikumbusha mgegedo tu, nilishakamua sana.
  4. N

    Kigwangalla afanya ziara kliniki ya ForePlan, awapa Polisi masaa 24 kumkamata Tabibu Mwaka

    Hata mimi nashangaa....badala ya kwenda MOI kule kina dokta Nchimbi wanazingua kufanya oparesheni hadi utoe pesa ndefu wanakomaa na Mwaka Tuuu
  5. N

    Apigae Hodi ..............?

    Hodi humu ndani wajameni... Ni mimi ndugu yenu Nyama Choma naomba kwa heshima na taadhima mnikarishe ndani niweze kushiriki nanyi katika ujenzi wa taifa letu changa sijui litakuwa kubwa lini? Nikaribisheni jamaniiiii!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom