Search results

  1. U

    Msaada wa ushauri, nimepata mtaji wa tsh. 1,500,000

    Habari wadau,narudi tena kwenu kuomba msaada wa ushauri namna ya kufanya biashara kwa mtaji wa kuanzia mil.1.5 NATANGULIZA SHUKRANI!
  2. U

    Kurudishwa payroll ya Serikali

    kazi ipo ila MUNGU ATAONYESHA NJIA.
  3. U

    Kurudishwa payroll ya Serikali

    Asante sana buso kwa ushauri,ila wana katisha sana tamaa kwa maana urasimu ni mwingi na wengi wetu hiyo pesa ya nauli ni ishu kuipata, MUNGU ATUONGOZE kwa maana kumwona katibu mkuu kiongozi pale ikulu ni ishu labda kutuma barua...
  4. U

    Kurudishwa payroll ya Serikali

    nimeenda mpaka nimechoka na ajira mpya inaonyesha wanakataa, wanadai tayari nimeshaajiriwa.
  5. U

    Kurudishwa payroll ya Serikali

    1. a/ Mwaka 2007 niliajiriwa wilaya ya kongwa kama mwalimu wa leseni,mwaka 2009 nikaomba kwenda kusoma diploma ya ualimu,ila mie nikaenda kusoma advanced diploma ya ugavi pale TIA. b/Nimelipwa mishahara yangu mpaka nilipomaliza masomo yangu na kurudi kazi na mkuu wangu wa shule akanipokea ila...
  6. U

    Kurudishwa payroll ya Serikali

    angalia kwenye first page.
  7. U

    Kurudishwa payroll ya Serikali

    mbona nimejibu mkuu.
  8. U

    Kurudishwa payroll ya Serikali

    1. a/ Niliajiriwa mwaka 2007 wilaya ya kongwa kama mwalimu wa leseni,mwaka 2009 nikaomba kwenda kusoma DIPLOMA ya ualimu ila mie nikaenda kusoma Advance diploma ya ugavi chuo cha TIA. b/Nimelipwa mshahara wangu mpaka nilipomaliza masomo na kurudi kazini mkuu wangu akanipokea ila afisa elimu na...
  9. U

    Kurudishwa payroll ya Serikali

    1. a/ Niliajiriwa mwaka 2007 wilaya ya kongwa kama mwalimu wa leseni,mwaka 2009 nikaomba kwenda kusoma DIPLOMA ya ualimu ila mie nikaenda kusoma Advance diploma ya ugavi chuo cha TIA. b/Nimelipwa mshahara wangu mpaka nilipomaliza masomo na kurudi kazini mkuu wangu akanipokea ila afisa elimu na...
  10. U

    Kurudishwa payroll ya Serikali

    ulifanyaje jomba tusaidiane kwa hilo..
  11. U

    Kurudishwa payroll ya Serikali

    kumbe wahanga hyo ki2 tupo wengi mie nimehangaika tokea mwaka 2012 afisa utumishi anazingua! kama kuna ajuae njia sahihi atujurishe wadau..
  12. U

    Investigation Officer PCCB

    Umejuaje kama chumba kizima kimejaa? au unaturusha tu.
  13. U

    Zaid ya Mil 46 chap chap

    balaaa! Mungu mkubwa lakini tuwe wapole tuu!.
  14. U

    Miaka mitatu sina kazi

    kweli kabisa,asitudanganye!.
  15. U

    Miaka mitatu sina kazi

    we kama mie tu,nina advanced diploma ya procurement & supply tangia 2011 no job up to now..
  16. U

    Degree/advanced Academic certificates

    kuwa mvumilivu,mie nimemaliza TIA 2011 june,na transcript nikapata 2012 january. CHETI kikatoka 2012 august!. c lazima uombe hzo kazi za pccb kwani zitatoka nyingine nyingi tu..
  17. U

    Msaada ndugu zangu japo ushauri nina certificate of procurement and logistics.

    pole dogo, mie pia nimemaliza hapo 2011 advance diploma ya procurement and supply bdo naganga ajira ngumu. jaribu kusoma bodi itakusaidia zaidi..
  18. U

    Tanroads mtwara!!!!

    kumbe walishatangaza nafasi za kazi? ilikua lini?
  19. U

    Mapenzi!

    Naona tena mnageuza mada..
Back
Top Bottom