Search results

  1. Nkamu

    HOJA: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya

    Iko vizuri hiyo hoja, haina maana kuwa na kiongozi wa kuteuliwa.
  2. Nkamu

    Wazungu tunaogombania nao dalalada wamemkosea nini mwenyezi Mungu?

    Hata Ulaya kuna masikini kama sisi! Sio wote wana pesa ya kukodi gari ya kuzunguka mjini. Tofauti yetu na wao ni kwamba wanaweza kujiwekea mipango ya kufanya jambo fulani. Wanadunduliza kujiwekea akiba mpaka apate pesa ya kufanya jambo lake; kama vile kuja kutembea Africa. Akija anakuwa na...
  3. Nkamu

    Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024

    Nimesikia redioni kwamba Denmark inafunga Ubalozi wake wa Dar es Salaam, lakini hawajatoa maelezo ya kina kuhusu sababu za Kufunga ubalozi huo. Kuna yeyote mwenye taarifa za kutosha kuhusu ufungaji huo wa ubalozi? Maana nimeanza kufikiria jinsi Denmark ilivyo mshirika mkubwa wa maendeleo kwa...
  4. Nkamu

    Kurusha Jini Kumerudi?

    Wanajamii mbona kimya? Au hili tatizo haliwahusu?
  5. Nkamu

    Kurusha Jini Kumerudi?

    Salama wakuu? Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Mbeya kwenda Dar kwa gari ndogo. Tulipofika Mbuyuni wilaya ya Rujewa, tulisimamishwa na askari wa usalama barabarani. Baada ya kusimama askari akaomba leseni ya dereva. Baada ya kuchukua leseni dereva akaambiwa anaadhibiwa kwa kuendesha gari kwa spidi...
  6. Nkamu

    Kikao changu na makampuni ya simu kuhusu kesi ya kuibiwa vifurushi

    Hivi majuzi nimeumia sana; nilikuwa na bando ya wiki kutoka tigo 10GB na mtandao ulikuwa mbovu karibu wiki nzima. nikawa nimebakiwa na 7GB mara nikapata ujumbe kwamba kifurushi changu kimekwisha muda wake. Nilitamani nimtafune mdudu tigo kwa hasira!
  7. Nkamu

    Smart watch zinauzwa

    Unaparikana wapi ndugu? Nahitaji saa moja
  8. Nkamu

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Model ni HUAWEI MT7 - TL10. Ilianza tatizo hilo mwezi Disemba nikiwa Zanzibar. Mwanzoni nilidhani ni tatizo la network kule Zenji. Niliporudi Dar, mambo yakawa yaleyale hadi leo. Nimefanya factory restore, bado haisomeki.
  9. Nkamu

    Serikali yasimamisha leseni ya uchapishaji na usambazaji ya gazeti la 'The Citizen' kwa siku 7

    Naishukuru sana serikali kwa kulifungia gazeti hilo, maana bila hivyo nisingejua kuhusu hii habari ya kuporomoka kwa shilingi. Japokuwa moto wake naupata kwa sana tu!
  10. Nkamu

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Naombeni msaada jamani. Simu tangu Huawei Mate 7 imepoteza uwezo wa kushika 4G na 3G. Inashika EDGE peke take na wakati mwingine inabaki kama simu ya kitochi tu. Nifanue mini iweze kushika tena? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Nkamu

    Zitto ahoji hali ya uchumi kwa kurejea figure za BOT

    Kwa kiwango chako hiki cha kiingereza, nashindwa hata kuamini hiki ulichoandika kama kiko sahihi. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Nkamu

    Je; baba mlezi wa Yesu, Yosefu mfanyakazi hakuacha uzao?

    Hayo yote ni mapokeo ya wakatoliki. Ni mitizamo ya watu tofauti kulingana na mapokeo yao. Soma Biblia, inakupa majibu yote. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Nkamu

    Je; baba mlezi wa Yesu, Yosefu mfanyakazi hakuacha uzao?

    Lutu alikuwa mtoto wa ndugu yake Ibrahimu; hakuwa ndugu wa Ibrahimu (Mwanzo 12:5). Ndugu na umbu ilivyotumika katika Biblia ni watu waliozaliwa pamoja, sio ukoo. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Nkamu

    Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

    Tank 0 lina tundu kwa chini, hivyo maji yatakayo ingia yatatoka moja kwa moja. Tunachukulia kwamba mabomba yote yana kipenyo Sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Nkamu

    Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

    Maji yatajaa Kwanza tanki namba 7, sababu, maji kutoka 0 yanaingia kwa juu kwenye 1 na kuendelea 3. 2 itaanza kupata maji baada ya 1 kujaa. 3 inatoa maji kwa chini kwenda 7 na ikijaa ndipo inapeleka 4, 5, 6. 7 ikijaa ndipo inapeleka 10 na 11. Kwa hiyo 7 Ndiyo itajaa Kwanza. Sent using Jamii...
  16. Nkamu

    Kwanini NHC Hawajawekeza Miradi Mikubwa Mbeya?

    Habari zenu wanajf? Kwanza kabisa nitoe pongezi zangu kwa shirika letu la nyumba NHC. Tangu menejimenti mpya ya akina Mchechu na wenzake ianze kufanya kazi; tumeona mabadiliko makubwa katika utendaji wa shirika hilo, kitu ambacho hakijawahi tokea tangu kuanzishwa kwake. Kitu kinachnitatiza ni...
Back
Top Bottom