Search results

  1. NASUBIRI

    Bodi ya Mikopo (HESLB) tunaomba kujua kuna ubaya gani retation fee kwa wadaiwa ikasemehewa?

    BODI YA MIKOPO NA SHERIA MPYA NI UPATU KWA MWAMVULI WA SERIKALI Bodi ya Mikopo imewanufaisha watanzania wengi sana ikiwa ni pamoja na kuwajengea watanzania misingi ya kielimu kwa ajili ya future katika maisha yao. Aidha, Asilimia 80 ya wanufaika wa mikopo ya bodi ni wale kina KAYUMBA Yaani...
  2. NASUBIRI

    Rais Magufuli: Utawala wangu sitaki kulimbikizia watu vyeo. Mbunge hawezi kuwa RC au DC

    Fatma Toufiq mteule wa JPM wilaya ya Rombo ni mbunge viti maalum Dodoma
  3. NASUBIRI

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Kwani dirisha la usajili bado naona wachezaji wa zamani wanaweweseka. Wanaomba warudi uwanjani as if hawaioni kasi ya waliopo
  4. NASUBIRI

    Aliyempiga risasi Sheikh Ponda abainika

    Jina: Inspekta Benedikti George kabila: Mkurya kituo cha kazi: Morogoro mjini. Fichua uovu na waovu pinga dhulma na uonevu kwa wananchi
  5. NASUBIRI

    CHADEMA yajitosa kwa kupigwa risasi Sheikh Ponda

    :disapointed:Mfahamu askari polisi aliyetaka kumuua shekhe ponda kwa kumpiga risasi huko morogoro: jina: Inspekta benedikti george kabila: Mkurya kituo cha kazi: Morogoro mjini fichua uovu na waovu, kataa dhulma kwa maendeleo ya wananchi na si viongozi
  6. NASUBIRI

    Kwa nini waislamu wanakusudia kususia sensa 2012?

    KWA NINI WAISLAMU WANAKUSUDIA KUSUSIA SENSA 2012? Ni nini kilichotokea? Ni jazba au wana hoja?Katika gazeti la Tanzania Daima la 16 Juni 2012, mwandishi mmoja aiitwaye Ratifa Baranyikwa aliandika na ninanukuu “Mfano mwingine ni huu wa juzi, ambako Waislamu wametangaza...
  7. NASUBIRI

    Madaktari huu ni ubinafsi, wekeni uzalendo mbele acheni maslai binafsi

    salaam ndugu wapendwa! ni kweli inauma na kusikitisha unapofika na mgonjwa kisha madaktari wanakuangalia kama vile umekwenda kuuza sura. mgonjwa analia huna lakufanya. huruma imewatoka, mafunzo wameyasahau ubinadamu hawana tena. wamesahau muda wote wapo masomoni ni fedha za watanzania hawahawa...
Back
Top Bottom