Search results

  1. mbalu

    Top 10 Airliners for 2016 - Hongera ATC!

    Tutaendelea kusindikiza na kusafisha nyota ya EA...!!!
  2. mbalu

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Bado hamjanisaidia, kwa ufaulu huo atapata hata kama ni huko romani mf bugando. Na je TCU atapata mkopo?
  3. mbalu

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Wakuu nami naomba msaada kwa ajili ya dogo anataka kusoma pharmacy Bungando, Muhimbili au KCMC je kwa ufaulu huu atapenya? BIO - C CHEM - B PHY - E G/STUDIES - D B.A.M - D
  4. mbalu

    Biashara ya maji

    Zanzibar nashukuru sana wacha nijaribu
  5. mbalu

    Biashara ya maji

    Asante tajiri nimeelewa.
  6. mbalu

    Biashara ya maji

    Niko seriuos lakini siwezi kukimbilia kuingia ubia ambao sielewi nitagharika kiasi gani pesa & muda na nitazalisha nini ndiyo sababu nataka anijibu kwanza kwa kuwa anauzoefu au yoyote anaweza nijibu nitashukuru.
  7. mbalu

    Biashara ya maji

    Hallooo@sangas ma wadau wote wenye ufahamu juu ya hii kitu msaada tafadhali.
  8. mbalu

    Biashara ya maji

    Asante Mkuu. Kwa sasa bado najaribu kuona itagharimu sh ngapi na vitu gani vitahitajika, hivyo kama unao uzoefu ni vema ukaniwekea hapa. Je nitahitaji kuwa na nini na nini na kwa gharama kiasi gani ili niweze kuzalisha japo chupa ya lita moja kwa mfano.
  9. mbalu

    Biashara ya maji

    Salaam jamaa wote. Naomba mwenye kujua gharama za kuandaa chupa ya maji ya 1Lt toka usafishaji wake mpaka packing ikiwa na lebo na vibali vyote husika. Natanguliza shukrani zangu.
  10. mbalu

    Vifurushi vya Makampuni ya Simu ni Wizi Mtupu

    Mimi sioni sababu ya mtu kujiunga na hizo sijui cheka, jirushe na nyingine ya tgo sijui nini vile, ikiwa sh 1000/= naweza itumia kwa masaa 24 kwanini isiwe hivyo mpaka nijiunge? huu ni wizi tu.
  11. mbalu

    Mgomo mkubwa wanukia Ijumaa

    Abiria wa Mwanza - Dar itakuwa ni siku mbili.
  12. mbalu

    Jimama mtaa wa pili ( 01 )

    Kumbe tangazo la biashara? sina wasapu.
  13. mbalu

    Siku walipokwenda kwa mara ya kwanza gesti

    Ama kweli mchepuko sio dili. Big up Daudi1
  14. mbalu

    Siku walipokwenda kwa mara ya kwanza gesti

    Ama kweli mchepuko sio dili. Big up Daudi1
  15. mbalu

    Riwaya: Hatia

    Casuist........twende kazi.
  16. mbalu

    Riwaya: Hatia

    Hii Hatia ni sawa na kokoro.
  17. mbalu

    Siku walipokwenda kwa mara ya kwanza gesti

    DAUDI 1 leta uamuzi wa Julie....duh! patamu hapo.
  18. mbalu

    Riwaya: Hatia

    Casuist asandu asandu Mkuu.
  19. mbalu

    Riwaya: Hatia

    Casuist.......Twende kazi mkuu.
  20. mbalu

    Siku walipokwenda kwa mara ya kwanza gesti

    Wapi neema nyingine ya kwenda guest kwa mara ya kwanza.
Back
Top Bottom