Search results

  1. M

    Dkt. Hastings Kamuzu Banda: Haya ni kweli kumhusu?

    kazi kwenu kutafuta mambo ya watu yenu yanakushindeni na umbea wenu.
  2. M

    Siku za Shibuda ndani ya CHADEMA zahesabika

    tatizo chadema hamjui nini kilichowasibu lakini iko siku mtamuelewa shibuda yeye ni mkomavu wa demokrasia na anawapo mufgunzo ila sio kila mtu atafuata ugomvi na ukosefu wa busara ambao viongozi waliowengi wa chadema wanaprectice.
  3. M

    Nape si mwanachama wa CCM

    ndio mana juzi nikaandika makala ya kua nape ni kiongozi shujaa kwani vijana mnakurupuk. kimsingi huwwezi kugombea nafasi yoyote katika cham bila ya kujaza fomu ambamo ndani yake humo lazima mtatakiwa taarifa za uanachama na kulipia GRR. jee nape hajawahi kugombea na kuchukua fomu jee yeye hajui...
  4. M

    Hali ya hatari kwa maeneo ya vyuo vikuu vyote vilivyopo Dodoma

    Makanisa yanakuwezesheni kuwa na vyuo vikuu vingi ambavyo ni biashara tu wala hakuna kompitance huku bongo ila zanzibar heshima kwenu na elimu iko juu kwani wazanzibar hasa kutoka pemba munaongoza kla mnapokua katika elimu ya juu huku dar ni fijing na usanii mtupu hongereni zanzibar kwa...
  5. M

    Taarifa ithibati

    THE ASSOCIATION FOR ISLAMIC MOBILISATION AND PROPAGATION P. O. BOX: 1266 -Tel: +255-777-419473 / 434145- FAX +255-024-2250022 E-Mail: jumiki@hotmail.com MKUNAZINI ZANZIBAR Tarehe 27MAY2012 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kila sifa njema anastahiki ALLAH (S.W) na Rehma na Amani zimuendee...
  6. M

    Loans board

    King sisi hatuwezi kumsikiliza zito kwani yeye ni mpinzani wa serekali hivyo tutaona anpinzana ila ushahidi halisi utajulikana katika bajeti kuu ya serekali kwa kipindi kijacho cha fedha.
  7. M

    Rais Kikwete ruhusu mjadala wa Muungano kunusuru amani

    Mambo yote yanakwenda kwa utaratibu ili kila mtu aepuke lawama mwisho wa siku ;kwa sasa kumeundwa tume ya kuriview katiba. Naomba tuiachie kazi na tuipe ushirikiano ili kutupati akatiba bora.n atuwaachie viongozi wetu wafanye kazi nyengine.hao wazanzibar wanahitaji maelekezo tu ya nini kazi ya...
  8. M

    Kama kukasirika kasirika tu

    Uislamu ndio ndio inayokwenda sambamba na mazingira ya mwanaadamu
  9. M

    Nchi yetu inaitwa Tanganyika

    Zione wewe ndio umelaanika kwani watu wako huru keleza maoni yao pia refer human behavior kila mtu analia mamaangu waislmu haki yako.
  10. M

    Nape ni kiongozi shujaa

    power unaonaje ukampa mama ako ili mh:nape apate mtumzima wa kumpa busara zaidi na mawazo ya kukiendeleza chama chake? Na nchi yetu kwa ujumla.
  11. M

    Nape ni kiongozi shujaa

    Kiv sisi hatufanyii kazi waswasi wakopengine huna akili au ubongo wako ni mbovu ndio mana unapata wasiwasi sisi tunakavitu vya uhakika. Think in advance before writer to public lete hoja
  12. M

    Nchi yetu inaitwa Tanganyika

    Hii ndi hoja ya chadema na mnatupa wasiwasi kama hizi fujo zilizotokea zanzibar ya kua ....... Watu sasa wanunganisha nchi ili kupata fursa zaidi na maendeleeo nyinyi mnazungumzia tanganyika nini mazuri ya tanganyika wakati sisis tangu tunazaliwa tunaiona tanganyika na mazuri yake kwa ujumla.
  13. M

    Hali Zanzibar: Ni upi msimamo wa CHADEMA?

    Ndi mana mkaambiwa vijana wa chadema mmekosa busara na hii itawaharibia baadae kwa uhuni wanu wa maeno mabovu na mnavyozijibu hoja za watu wenye akili na wanao penekeza masuala ya maendeleo.amakweli ufadhili mbaya. Zito na mnyika ni watu wanaoongea sana kutokana kutoka na matatatizo mbali mbali...
  14. M

    Nape ni kiongozi shujaa

    Ndio nikakwambia vijana tumekosa busara busara sisi tunazungumzia hoja za kujenga nchi yetu kwa kuwahakiki viongozi wetu vipi nyi mnanitukana katika faragha yangu na kama na mnanihusisha na mambo ya kimapenzi bado ufadhili ni tatizo ila kama hamjanipa hoja madhubuti nitaendelea kumuona nape ni...
  15. M

    Nape ni kiongozi shujaa

    sisi tunazungumza vitu vinavyoonekana wewe unatakiwa unipe udhaifu wa nape na sio kutovitu visivyo na ushahidi wowote acha kukurupuka badonasema nape ni shujaa mpaka uniweshe kwanini si shujaaa. ufadhili wa chama cha fujo t,bara usikufanye uitumie vibaya JF.
  16. M

    taarifa ithibati

    THE ASSOCIATION FOR ISLAMIC MOBILISATION AND PROPAGATION P. O. BOX: 1266 -Tel: +255-777-419473 / 434145- FAX +255-024-2250022 E-Mail: jumiki@hotmail.com MKUNAZINI ZANZIBAR Tarehe 27MAY2012 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kila sifa njema anastahiki ALLAH (S.W) na Rehma na Amani zimuendee...
  17. M

    Nape ni kiongozi shujaa

    ndio mana sisi vijana tuambiwa tuna jazba unasema makaratsi. kuwa adabu huyu ni kiongozi na unatakiwa umtendee haki kutofautiana itikadi sio kumtovokea mwenzako refer political tolerence in orriented na mutapoteza wanachama kama hii ndio behaviour yenu katika chama chenu na watu watakudharaulini...
  18. M

    Nape ni kiongozi shujaa

    ND. NAPE tukiachia mbali ushabiki wa kisiasa ambao mtu humvutia na kumjaza masifa kiongozi wa chama chake. mimi si mfuasi wa chama chako bwana NAPE ila nimeku anikikufuatilia harakati zako tofauti na mchango wako katika chama mukiwa nynyi ndio mlieshika dola. hivi karibuni ulikua nadhiara ya...
  19. M

    SMZ kulipa garama zote za uharibifu wa makanisa

    Tuacheni maneno ya kiuchochezi serekali imetoa ulinzi wa kutosha na tamko pia na si kweli kama kumendeelea kuchomwa kwa makanisa. Tuwe tusizarau serekali iliowekwa na wanchi ni difirmition katika sheria.
  20. M

    Nini kilitokea zanzibar

    nini kilitokea zanzibar? kwa ujumla kumekua na haliya amani tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu ambo uliweka serekali y ashirikishi madarakani ukiachia changamoto ndogo ndogo za hapa na pale. kwa naman moja au nyengine MUUNGANO umekua na changamoto nyingi ambazo ni sawa na donda ndugu. tatizo ni...
Back
Top Bottom