Search results

  1. P

    TANZIA Bob Makani afariki dunia

    Huyu mzee 1950s tayari alikuwa msomi wa Makerere University. Alitumia hela yake nyingi kuendesha kesi ya uchaguzi kigoma.Mungu alize roho yake pema peponi.
  2. P

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Tatizo kuna watu wanasoma kitu huku wakiwa wameshaamua kutokubali, kwanini usome kitu wakati umeshaamua kutokielewa. Nimesema kilichoandikwa kwenye magazeti hakikuwa cha ukweli, lakini unajibu kama vile nimesema kilichoandikwa kwenye magazeti ni ukweli. Na hili la Mbowe linakuja kwasababu moja...
  3. P

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Katika mpango wa kumuangamiza SHIBUDA kisiasa gazeti la mtanzania daima na vyombo vya habari vingine ambavyo vinawaandishi wanaopokea vibahasha vya pesa, wamekuwa na mpango madhubuti wa kupindisha kauli za SHIBUDA au kumuwekea maneno mdomoni ili aonekane ana nia ya kuiangamiaza CHADEMA. Kwanza...
  4. P

    Katu sitounga mkono CHADEMA

    CHA kushangaza kuhusu washabiki wa CHADEMA wanaokuja jamii forum ni kwamba uzushi wowote unaoandikwa na magazeti kuhusu SHIBUDA hata bila ya kuthibitishwa wanauamini haraka, mbona magazeti yalivyoandika MBOWE kadanganya kuhusu kurudisha gari; bado anatumia gari alilopewa kama kiongozi wa...
  5. P

    Ukanda wa CHADEMA upo wapi?

    Taasisi ya kutathmini utawala bora ilipokutana na CCM, Shibuda kama mwanachama wa hiyo taasisi, baada ya mazungumzo rasmi, alitaniana na Kikwete na akamwambia anataka kuwa mgombea binafsi na yeye kikwete amuunge mkono. Na ni kutokana na utani huo ndio maana kikwete kazungumzia mgombea binafsi...
  6. P

    CCM yapuuza tamko la Shibuda

    Taasisi yakutathmini utawala bora ilipokutana na CCM, Shibuda kama mwanachama wa hiyotaasisi, baada ya mazungumzo rasmi, alitaniana na Kikwete na akamwambia anatakakuwa mgombea binafsi na yeye kikwete amuunge mkono. Na ni kutokana na utani huondio maana kikwete kazungumzia mgombea binafsi. Watu...
  7. P

    CCM yapuuza tamko la Shibuda

    Taasisi yakutathmini utawala bora ilipokutana na CCM, Shibuda kama mwanachama wa hiyotaasisi, baada ya mazungumzo rasmi, alitaniana na Kikwete na akamwambia anatakakuwa mgombea binafsi na yeye Kikwete amuunge mkono. Na ni kutokana na utani huondio maana kikwete kazungumzia mgombea binafsi...
  8. P

    Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

    CHADEMA lazima muwe makini na uwezo wa kujuwa kwamba hii stori imetengenezwa na magazeti kutimiza matakwa ya ccm. Kwanza angalia magazeti (Jambo Leo, Uhuru) yenyewe yaliyoandika yanamilikiwa na nani. Je ni kweli kasema wapinzani hawawezi kuchukuwa nchi au kura za wanachama wa CHADEMA hazitoshi...
Back
Top Bottom