Search results

  1. M

    Pichani: NAPE ATINGA MOSHI

    Mimi nachojua mwisho wa hawa vijana ni miezi mitatu ijayo.Nape akiisha watumia sehemu mmbalimbali ya inchi hii kinachofuata ni msoto tu.
  2. M

    Ni ipi faida ya ubalozi wa Vatican nchini?

    Haya ni matatizo ya uwezo mdogo wa kufikiri.Elewa hili jukwaa la watu wenye uwezo wa kufikiri .Nenda ka google utapata faida nyingi lakini tatizo lako ni udini unaokusumbua.
  3. M

    KIBANDA: Nilisikia akimwambia Mwenzake AFANDE 'mshuti... mshuti'

    Utawala unapofika mwisho tegemea haya yote kutokea.Kadri unyanyasaji unavyozidi dhidi ya watu wake ni dalili tosha ya kuanguka kwa serikari iliyopo madarakani.
  4. M

    Polisi waanza kuwatetea masalia waliofukuzwa CHADEMA

    ninamashaka na uelewa wako
  5. M

    Mkakati wa kulifanya Mwananchi kuwa chombo cha propaganda cha CCM 2015...

    Sita poteza pesa yangu kwa magazeti kama haya.Ni kweli kuanzia mwishoni mwa mwaka jana hili gazeti limepoteza mwelekeo pia linaelekea shimoni.Sisi wadau wa magazeti tunajua kwa maana ni magazeti mengi tu tuliyatabilia na sasa wakiuza copy 1000 wanashukuru.
  6. M

    Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

    mbona unatoka nje ya topic lakini jamaa kaongea ukweli ndio maana povu linawatoka.
  7. M

    Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

    Naunga mkono hoja hata mimi nachukizwa sana na hii tabia ya dada zetu
  8. M

    John Mnyika: Sera ya Majimbo ya CHADEMA siri ya Maendeleo

    Tatizo lako ni uelewa naamini unachojua wewe ni tofauti ya maana halisi ya majimbo.Ndio maana unatoa tafsiri tofauti na maana halisi.Tatizo la nchi hii kila mtu ni msemaji tu hata kama haelewi.
  9. M

    Updates Kutoka Mkutano wa CCM wilaya ya Mbeya unaofanyika Mwanjelwa jijini Mbeya...

    Safi sana magamba kwisha habari yao.CCM hata ifanye nini watu wamechoka kabisaaa jina hilo
  10. M

    Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    Wacha uongo wewe Ritz unapesa ya kuingia Serena we nenda kale manzese mlikozoea msije mkatusumbua huku kwetu
  11. M

    Nisaidieni nikoe ndoa hii.

    Ukikosea jinsi ya kuingia hata kutoka huwa ivyo ivyo.Wote wanafiki tu kama wanampenda wangekubali kukaaa na mtoto mtu kwa muda wote huo hadi kupata watoto wawili.Nao wanawake wamezidi kujipeleka sana.Siku zote wanaume huwadhalau sana wanawake wanaojipeleka kuishi kabla ya ndoa.Mfano haya yapo...
  12. M

    nampenda sn lkn yy ni headache kila cku

    Soma kwanza mapenzi utayakuta
  13. M

    Wanafunzi VIZIWI wapeana mimba

    Ngono ni hisia haina cha uremavu.chakusikitisha ni umri mdogo sana jambo ambalo ni mzigo
  14. M

    Nimeumizwa sana naomba faraja yenu

    Tatitizo mnaingia kwenye ndoa kabla ya ndoa.Hawo wote ni wazinzi tu harafu munafarijiana nini?Amuombe Mungu nini?Binti yeyote alijitunza na mwenye hofu ya Mungu huwa achezewi.ni hao tu wazinzi wanaojipereka kwa wanaume mwisho wanalia.Sina ushauri
  15. M

    Kama Tanzania inataka kusaidia Congo, isifanye kwa siri

    Mimi binafsi nasikitishwa sana na hili jambo ambalo halina faida kwa taifa bali ni asala tu.wakati inchi zenye uchumi mkubwa afrika kama south africa na botswana hawataki kabisa kujiusisha na vita sisi tunajiona wajanja sana.mfano mlm nyerere alijiusisha sana na ukombozi wa africa wakati wenzao...
  16. M

    Mpaka wa Malawi na Tanganyika uko hapa!!!!

    RAMANI GANI HAINA HATA uFUNGUO?Tatizo hujui kusoma ramani kwa mtazamo wako hayo maeneo yapo Tanzania .Geographia ya darasa la 5 inatosha.
Back
Top Bottom