Search results

  1. Mats

    Mwenye ukweli kuhusu ust Jafari Siraji wa MUM anijuze tafadhali

    Jafari alikuwa si tu class-mate wangu Mzumbe High School, bali alikuwa rafiki yangu mkuu. Tulipotezana kwa muda mrefu. Taarifa za kifo chake zimenihuzunisha sana. He was intellectually fantastic, mstaarabu and above all altruistic! R.I.P comrade Jafari Siraji.
  2. Mats

    Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

    Kama imethibitishwa kuwa ni sumu basi kazi ipo!
  3. Mats

    Video: Tukio la uvamizi Igunga

    Sasa hivi tutaanza kuwa kama Kandahar na Kunduz kwa hizi siasa zetu!
  4. Mats

    Mwenyekiti January Makamba amemkuna kamanda Mbowe kwa mchango wa kamati yake

    Mheshimiwa FJM, January Makamba hakuwa mshauri wa Rais Kikwete, yeye alikuwa ni Personal Assistant to the President – Special Duties (PAP-SD) na kama presidential aide, kazi yake pia ilikuwa kukaa na kuchukua notes wakati Rais anaongea/kukutana na dignitaries
  5. Mats

    Aliko mgombea mwenza wa Dr Slaa 2010

    Mkuu anaitwa Said Mzee Mwinshehe
  6. Mats

    Tamko la Rostam Aziz dhidi ya Reginald Mengi na yatokanayo. Amuita fisadi Nyangumi

    Sarakasi za zamani katika uwanja mpya!tumeshazizoea, uwanja hauongezi chachu yoyote!
  7. Mats

    April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

    Mbona dhahama hii tena jamani! Ingawa si kipindi cha kulaumu mamlaka husika, lakini tujiulize, ni sawa kusema hili tukio lilikuwa bahati mbaya? Ni sawa kweli jamani? Kwanini hatuna namna ya kuchukua tahadhari na majanga kama haya? Ufisadi utumalize, hata moto wa mabomu nao??!
  8. Mats

    TOURIST HUNTING INDUSTRY: Revealed: Mzindakaya`s `hidden` business interests

    You can not change the system while you are part and parcel of it! Hakuna cha mtaalamu wa kulipua mabomu wala nini hapa!Viini macho vya siasa za bongo!dawa ni moja tu, kuunganisha nguvu na kuwaeleze wananchi wajue adui yao wa kweli ni yupi! Umasikini ni kitu kinacholetelezwa tu na hii mifumo ya...
  9. Mats

    Serikali yaamua kufunga uwanja mpya wa Taifa

    Yale yale tu tuliyoyazoea bongo!Mtu anasema eti watu wanafurika lakini mapato ni kidogo, sasa watazamaji wanakuwa wameingia kwa kuruka ukuta?Ni wazi kuna kitu tu hapo, na si kingine, wanaowekwa mlangoni na wanaouza tiketi wanacheza michezo ya kifisadi! watanzania tutafika kweli kwa hali hii...
  10. Mats

    Lwekatare wa CUF kuhamia CHADEMA

    Kama ni kweli...kwani ni lazima uwe na cheo kwenye chama cha siasa kucontribute for transformation????!Hainiingii akilini!!
  11. Mats

    Deus Mallya apigwa mvua 3

    Bongo Daslamu!
  12. Mats

    Obama village now a national heritage

    Politics of profit maximization in the name of tourism, teh!Jamaa wanajua kucheza na opportunities!Wabongo ufisadi ndo hautuachii!!
Back
Top Bottom