Search results

  1. N

    Amos 5 17*E Imegoma?

    kwa ninavyofahamu mimi,kuna tatizo katika satellite husika ndugu
  2. N

    Etv feed channel on astra 4a

    wataalam msaada tafadhali,anayefahamu namna ya kufungua etv feed channel katika astra 4A @4.9E,natanguliza shukrani sana jumaatatu njema
  3. N

    Ses 4 @ 22w

    wataalam wenzangu jana nimebahatika kuipata ses 4 @ 22w kwa offset dish,na nkaona nilete kwenu wenzangu ili hata kwa muonekano tu tufahamu inavyokua,freq 11671 v 30000,
  4. N

    Nss 4 @ 22w cannalsat

    Jana nlifanikiwa kuipata nss 4 @ 22w kwa kutumia offset dish kama inavyoonekana pichani kwa kutumia 11671 v 30000
  5. N

    Nilesat, ses 5, amos 5 katika 6ft prime focus dish

    nilesat ni 7w,yaani nyezi saba magharibi
  6. N

    Nilesat, ses 5, amos 5 katika 6ft prime focus dish

    kaka mi nko dar na hiyo setup iko mwananyamala
  7. N

    Nilesat, ses 5, amos 5 katika 6ft prime focus dish

    xory kaka kwa kutokujibu toka jana,kwa bahati mbaya sina access ya whatsapp wala fb kwa sasa,account zangu katika mitandao hiyo ya kijamii mezifunga kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu kaka,kama msaada wa hapa hapa jf utapata kaka,mara nyingi nakua online asubuhi na mchana mara chache kutokana...
  8. N

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    yap kaka,waweza ku combine lnb zaidi ya moja na ni kama ifuatavyo,kwanza hakikisha ukisimama mbele ya dish,mikono ya dish imefungwa mmoja kushoto,mwingine kulia na wa mwisho umefungwa mbele yako yaani sehemu ya mbele ya dish,wakati huo lnb ya prksat iwe ndio prime focus,huo mkono wa kushoto wa...
  9. N

    Nilesat, ses 5, amos 5 katika 6ft prime focus dish

    main kaka kiburudisho ni nilesat ambayo ndo hiyo prime focus ku band ya rangi ya silver,hizo lnb pia zimefungwa kwenye aluminium kaka,alafu wataalam kimaoni yangu tu,mi naomba tuwe twaelekezana ndani ya uzi huu jamani,maana utakuta mtu anauliza kitu,lakini mtoa majibu anasema nicheki watsup...
  10. N

    Nilesat, ses 5, amos 5 katika 6ft prime focus dish

    pamoja sana kaka,kila mtu alifundishwa,tuliopewa uwezo wa kujifunza kabla ya wengine,tuwaelimishe na wenzetu jamani
  11. N

    Nilesat, ses 5, amos 5 katika 6ft prime focus dish

    kwa bahati ndugu zangu leo nimebahatika ku attach picha ya setup ya NILESAT,SES 5,AMOS 5,katika dish ya ft 6, hiyo lnb ya rangi ya silver ya prime focus ku band ndo nnayopatia channel za nilesat kama dubai one,mbc nk,hiyo lnb ya chini yake yenye rangi nyeupe na mfuniko mwekundu,ndiyo napatia...
  12. N

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    nkweli kaka,ahsante kwa ukumbusho,
  13. N

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    katika kuchangia mawazo mafundi wenzangu,uelekeo wa nilesat 7w kwa dish la ft 6 na hiyo nilesat ikiwa ni prime focus waeza ongeza lnb 3,sirius 4.8E,ukapata tv congo,france 24 etc,chini yake waongeza eutelsat w3 7E,ukapata rts,pia kwa chini zaidi waongeza amos 5 @ 17E ukapata local channels...
  14. N

    Nilesat eutelsat 7 w a eutelsat 8 wa

    katika watu wababaishaji japo unafahamu zaidi wewe ph ni mmojawapo kaka,wewe waiona taka taka sikatai ni maoni yako,lakini wenye busara zao na wanaojua maana ya kujifunza wanatoa ufafanuzi,muhimu kwako,kama unajiona unajua zaidi ya wengine,usikurupuke,tafakari kasha chukua hatua
  15. N

    Nilesat eutelsat 7 w a eutelsat 8 wa

    ahsante sana kaka kwa busara zako
  16. N

    Nilesat eutelsat 7 w a eutelsat 8 wa

    ph,hakuna alizaliwa anajua,hata huyo mwalimu wako alirudia na kukurekebisha ulipokosea mara nyingi ili uelewe,ila kuna kitu nimekigundua,kuna wataalam ambao wanajua ila wanakurupuka kujibu ktu,mbona wengine hawako hivyo,wangapi wanakosea katika kuuliza,lakini mwenye busara anamrekebisha na...
  17. N

    Nilesat eutelsat 7 w a eutelsat 8 wa

    na wewe ahsante kwa kugundua,acha papala,jibu kitu kitaalam,mtaalam yeyote huwa ana busara kaka,
  18. N

    Nilesat eutelsat 7 w a eutelsat 8 wa

    na we kaka ni wale wale,kama umeeelewa nilipokosea,umenirekebisha na kujibu swali langu?mimi cjui ndo mana nimeuliza kaka
  19. N

    Nilesat eutelsat 7 w a eutelsat 8 wa

    kaka tusichoke ahsante kwa busara zako,unajua walimu wako tofauti,hata wale ambao waliona nimekosea nao wao kwa uelewa wao ndo hawajui zaidi,maana kama nimekosea kuuliza,je wao wenye uelewa wamemerekebisha namna swali linavyotakiwa liwe na je wamelitolea majibu?hakuna hata mmoja kati ya hao...
Back
Top Bottom