Search results

  1. Tangopori

    Tangazo gani la biashara redioni au kwenye runinga uliwahi kulipenda sana?

    Kanunue gazeti ujipepee... Ndoroobo wewe!
  2. Tangopori

    Nimekunywa Mo Extra moyo unapiga sana

    Ukwaju, Mkuu tofautisha: - High heart rate Moyo kwenda mbio) na High blood pressure (Shinikizo la damu). - High heart rate ni kama moyo unadunda zaidi ya mara 100 kwa dakika moja mtu akiwa ametulia (Japo akiwa anafanya kazi au mazoezi ni kawaida kuzidi 100) - High blood pressure (Shinikizo la...
  3. Tangopori

    Hongereni Simba na Gomahia Tanzania secured 4 team in 2020/2021 CAF COMPETITION

    Gormahia 0 - 2 Berkane Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Tangopori

    Hesabu ya timu 4 Tanzania bado kidogo

    Good news Gormahia akiwa nyumbani kapigwa 2 bila Gor mahia 0- 2 Berkane Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Tangopori

    Hesabu ya timu 4 Tanzania bado kidogo

    Hazifanani, Gormahia wameingia robo Confederation Kenya wakapewa point 2 wakati Simba imeingia robo Champions league Tanzania tukapewa point 3 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Tangopori

    Ndege mpya ya Ethiopian Airlines - Boeing 737 - 8 MAX yaanguka na kuua watu 157 ikielekea Nairobi, Kenya

    Kwa nini wasiwepo wenye uwezo mkuu? Hiyo ndege ilikuwa inatoka Addis kwenda Nairobi, tafuta Ethiopian airline iliyotoka Addis kuja Dar es Salaam au Kilimanjaro uone kama haina watanzania Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Tangopori

    Umewahi kuugua tumbo la kuhara ukiwa unasafiri safari ndefu??

    Noma sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Tangopori

    Vodacom, Tigo na Tala ifike wakati tuheshimiane

    Ukiambiwa ulipie kila app unayotumia including Jf ili hayo matangazo yasiwepo utakubali? Kadri Tangazo linavyojitokeza mara nyingi ndivyo wenye tangazo nao wamewalipa google hela nyingi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Tangopori

    Tangu umejiunga JamiiForums ni thread gani kwako ni bora kwa muda wote hapa Jamiiforums?

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi? - JamiiForums Hii hapa huwa inapotea lakini shetani anairudisha
  10. Tangopori

    Electronic Passport hupatikana kwa muda gani?

    Kwa sasa hivi anayerenew ni sawa tu na anayeomba kwa mara ya kwanza
  11. Tangopori

    Electronic Passport hupatikana kwa muda gani?

    Mwambie baba au mama aende kwa mwanasheria/hakimu akaape then atapewa affirdavit.
  12. Tangopori

    Electronic Passport hupatikana kwa muda gani?

    Hakikisha una 1. Kitambulisho cha taifa 2. Cheti cha kuzaliwa 3. Affirdavit ya mzazi mmoja 4. Barua ya mwaliko au uthibitisho wowote wa safari 5. Application form ambayo utakuwa umeapply online(utalipia 20,000) 6. Barua ya mtendaji wa kijiji/kata kama sio mwajiriwa. 7. Uthibitisho wa shughuli...
  13. Tangopori

    Simu zangu zinasikilizwa na mtu wa tatu asiyehusika na simu nazopiga. Sababu sijajua mpaka sasa.

    Mkuu mawasiliano ya Whatsapp ni end to end encrypted sidhani kama hapa Tanzania wanaweza wakayadukua. Hao waliokamatwa ni kwamba walitukana kwenye magroup sasa mmoja wa member mwenzao wa group akscreenshot au hata kama alichati na mtu private basi huyo mtu alipeleka ushahidi.
  14. Tangopori

    Jibu la swali la Money Penny: Ndiyo mabikira tunapata hamu ya mapenzi

    Ukiwa muongo usiwe msahaulifu Ushauri wenu jamani, mume wangu hajafanyiwa tohara
  15. Tangopori

    Nashauri Sumatra wamulike misemo kwenye bajaji na dalala

    DEREVA AMEOA, KONDA ANATAFUTA...
  16. Tangopori

    Utafiti: Uwezekano(Probability) wa mtu kuoa au kuolewa

    Baada ya kufanya utafiti na kuridhika nao sasa tumeamua kuutoa mbele ya watanzania! Kama hujui hesabu hasa probability sasa iko hivi, probability ni uwezekano wa kitu fulani kutokea sasa leo tunaenda kuzungumzia uwezekano wa mtu kuolewa au kuoa: WANAWAKE 1. Ukiwa una tabia nzuri ila shape na...
  17. Tangopori

    Msambwanda, sura na shepu kumbe siyo kigezo cha kuolewa

    Asilimia kubwa ya wanawake wazuri sana kuwaoa ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi, utatatumia nguvu nyingi kuhakikisha wanabaki kuwa wa kwako siku zote maana kila mtu anawatolea macho. Ila kwa kuwa nao kwa muda mfupi tu, hapo haina tabu kabisa.
  18. Tangopori

    Hili ni tatizo au ni kawaida kwa binadamu wengine

    Naombeni ushauri wanaume wenzangu
Back
Top Bottom