Search results

  1. C

    Kwa wajasiriamali

    Mkuu tuwekee na namba zenu za simu vilevile mngeweka wazi kuwa Moshi mjini na Dar ofisi zenu zipo mtaa gani na katika jengo gani.
  2. C

    Kwa wajasiriamali

    Mkuu tuwekee na namba zenu za simu vilevile mngeweka wazi kuwa Moshi mjini na Dar ofisi zenu zipo wapi.
  3. C

    Dawa ya kutokwa na udenda

    Asante kwa ushauri nitawaona hawa kina mama wakubwa wanisaidie.
  4. C

    Mjadala: Ni ipi dawa ya kutibu maumivu ya jino bila kung'oa?

    Mpigie Dr Kifimbo 0713218600/0717728100
  5. C

    Jinsi ya kuachana na mwanamke bila ugomvi

    Kaa nae hadi utakapotaka kuanza chuo hamia Hostel huo utakuwa mwanzo wa kumuacha bila ugomvi.
  6. C

    Dawa ya kutokwa na udenda

    Habari za saa hizi wana JF. Naomba kwa yeyote anaejua dawa ya mtoto wa miezi kumi anatoa udenda. Kuna mtu aliniambia nichukue kitumbua nikipake ule udenda halafu nimpe aidha Shangazi au Mjomba wa mwanangu ale hicho kitumbua, tatizo litakuwa limekwisha. Nimefanya hivyo lakini tatizo bado...
  7. C

    Mjadala: Ni ipi dawa ya kutibu maumivu ya jino bila kung'oa?

    Muone Dr Kifimbo anatibu jino bila kung'oa mimi nilishatumia dawa yake ni kweli imenitibu.
Back
Top Bottom