Search results

  1. K

    Msaada FUNDI Maarufu SUBWOOFER za Gari DAR

    0765261333 yupo lumumba anaitwa Sam
  2. K

    Nauza nyumba-Mbagalla

    ukifika kituo cha shule ya saint anthony mbagala unaingia upande wa kulia kuelekea kiburugwa, kwa nyoka kwa IQ yangu ndogo ni majina tu kama kwa madenge, kwa komba, kwa remmy...... ni uswailini kiasi
  3. K

    Nauza nyumba-Mbagalla

    umeona ee! ni bei pia mkuu laini hailipi hata kidogo
  4. K

    Nauza nyumba-Mbagalla

    urefu ni futi 47/40 upana futi 35
  5. K

    Nauza nyumba-Mbagalla

    nitajitahidi ndani ya siku mbili niweke mkuu coz sipo maeneo ya huko ndo mana itaniwia vigumu kuweka picha
  6. K

    Nauza nyumba-Mbagalla

    10million
  7. K

    Nauza nyumba-Mbagalla

    ok nauza banda
  8. K

    Nauza nyumba-Mbagalla

    Ipo Mbagalla kwa Nyoka, jirani kabisa na shule ya msingi Juhudi ujenzi umefika chini ya lenta, ina vyumba 3, sebule, public toilet, shimo la choo lililojengewa tayari, ina hati miliki ya wizara ya ardhi. Mawasiliano 0777 570 570
  9. K

    Obama atakuja na zawadi

    Ni kweli ataleta zawadi za kumwaga mbungu limbukeni huyo anatetemekea zawadi ya chandarua, dawa za kupunguza makali ya ukimwi, condom, wakati wazungu wanachota almasi, dhahabu, uranium, na umeme kwao haukatiki ovyo kwa kutumia rasilimali zetu kwani hivi vitu cc tunashindwa kuagiza? yani Mungu...
  10. K

    ARUSHA: Kinara biashara meno ya tembo anaswa

    Hiyo ya TWIGA ilikua upepo tu, huoni ulipita?Kumbe safari ya kwenda kuwapa pole wahanga wa bomu la Ola City ilikua ya mafanikio makubwa, naombeni mnikumbushe viongozi gani walikwenda Ar last week
  11. K

    Bwana harusi amuua baba yake kwa risasi

    Ok nimekupata BigBro mi bado nipo shule ya kata topic hiyo hatujaifikia
  12. K

    Bwana harusi amuua baba yake kwa risasi

    Mtu mmoja wa miaka 47 aliyejulikana kwa jina la Shirima mkazi wa Kibaha, amemuua baba yake mzazi anayekadiriwa kuwa na miaka 70 kwa kumpigarisasi iliyotoka kwenye SMG yake. Inasemekana baba huyo alikua amelala nyumbani kwa mwanae na alitokea Moshi kwa mualiko wa harusi ya bwana Shirima ambayo...
  13. K

    Ujio wa Dr.Slaa Uyole- Mbeya; CHADEMA waomba michango kugharamia ujio wa Dr.Slaa

    DR.SWALI HIU ndio kiongozi gani tena au ni mgeni kutoka China?
  14. K

    Natanguliza kuomba radhi kwa hili; maono ya viongozi wakuu wa serikali ya tz yanatia shaka;

    mkuu kujenga reli hapo mororgoro roa nadhani ingekua cheap kuliko hiyo barabara walojenga coz kila kitu tunazalisha hapa nchini labda tunge import xpert tu coz hawa wetu hawawaamini, ukiangalia reli zilizotumika kujenga hivyo vituo vya morogoro road ni nyingi balaa, kwamtazamo tu ukizicheki ni...
  15. K

    JWTZ washatua Congo - M23 wanapiga kampeni kuwajengea chuki kwa wananchi

    Diana Sempebwa Katabarwa shared Kazarama Vianney's status.SaturdayWa Tanzania na South afrika ambao wako nafika Goma ni wazee saana, na wako na tumbu kubwakubwa hatujuwi kama wata weza panda milima ama kuvumiliya barindi ya usiku. Habari tunazo ni kwamba woga imeanza kuwashika. Apa juzi waliona...
  16. K

    Kuhusu Mlipuko Arusha linganisha matukio haya, je yanawiana?

    4real kama polisisiem wangepiga cm haraka kujua ni gari gani limetoka eneo la tukio na wakasambaa kwa wingi kama walivyokua wakimlinda Mh Lema nyumbani kwake am sure wangewapata hao magaidi, otherwise wameshiriki ndo maana wameweka nguvu ndogo kwenye kuwahi kutake reaction
  17. K

    Dar: Majambazi yapora na kuua

    kama habari sio ya jana basi hii jiji imeingiliwa, ni kweli CRDB new lumumba next [HAPA NDIPO ILIPOZALWA TANU] wanafanya kazi jumapili lakini sina uhakika kama ni mpaka jioni
  18. K

    Majangili wa Tembo watuma salamu kwa Kambi ya Upinzani

    mi nina mbinu mbadala jamani ya kuwaokoa hao wanyama pori coz hata hiyo miaka saba watu wanayosema kwamba watakua wamekwisha haitafika nadhani only 1year tembo wote tanzania watakua wamekwisha coz kasi ni kubwa kuliko maelezo. nimeangalia National Geographic channel wanaonyesha makaburu wa mbuga...
  19. K

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    polisi wangefanya juhudi kuzingira mitaa na barabara za tukio kama walivyofanya nyumbani kw aMh Lema last week. poor policcm
Back
Top Bottom