Search results

  1. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Chenge: Nimezushiwa na Jane Kajoki, Bariadi MBUNGE wa Bariadi Magharibi aliyejiuzulu uwaziri hivi karibuni kwa kashfa ya kukutwa na fedha zinazohusishwa na ufisadi, Andrew Chenge amewataka wananchi wa jimbo lake kuendelea kumwamini kwa kuwa yeye ni mtu safi na asiye na hatia yoyote...
  2. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Kitu ambacho nimeki-note kwenye majibu ya Chenge siyo kwamba niyakibri, isipokuwa kule kwenye asili yake usukumani hasa maeneo anayotokea wanapenda mzaha sana! Lakini anakuwa hafikirii kuwa anazungumza na watu serious. Mfano. Cheyo wa UDP nitawajazeni "mapesa"...hanatofauti na "vijisenti" Kwa...
  3. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Mh! kweli dunia ni mduara, tuliyoyashuhudia miaka ya '84 ya watu kuzikana pesa zao yameanza tena kujitokeza! ama kweli mzimu wa Sokoine bado unafanyakazi. kweli mtu unatuma ujumbe kwenda kumbembeleza mtu iliakubali kutolea maelezo pesa ambazo ziko kwenye akaunti yako!!???. Naomba Mungu huyu...
  4. M

    Kibiti: Wanafunzi wateketeza Shule, Serikali yaifunga

    kaka Mgaya, punguza hasira, watu tunapishana uelewa kutokana na makuzi, elimu na taaluma.Mhandisi lugha yake ni tofauti na Doctor, pia Mchungaji/ Shekh lugha yake ni tofauti na Wanasiasa Inaonyesha wewe ulicheza Skauti ama Mgambo, Maana hukawii kumpa mtu adhabu! Isije ikawa jana ndiyo...
  5. M

    Kibiti: Wanafunzi wateketeza Shule, Serikali yaifunga

    “Yako matatizo ya msingi katika shule zetu na madai ya wanafunzi wa Kibiti yalikuwa ya msingi, lakini walikosa uvumilivu. Matatizo hayo hayakuanza leo, yanatatuliwa kwa njia ya majadiliano sio kuharibu mali za shule,” alisema Mahiza. Kumbe Serikali inakiri kuwa Matatizo yao ni ya muda...
  6. M

    Mwenye ubavu anishtaki! - Yona

    Waheshimiwa Wajumbe! Nimekaa kimya weee lakini mwishowe naona bora nami nijumuike ilikuongezea nguvu mapambano zidi ya mafisadi viburi! Kuna baadhi ya Waheshimiwa waliotangulia wanadai hawa mafisadi hawajui kusoma alama za nyakati..lakini mimi kwa mtizamo wangu, nafikiri ni watu waliosoma...
  7. M

    Utalii wetu: Tutahujumiwa hadi lini??????

    Naungana nwewe moja kwa moja; sina kipingamizi (Big Nike) Tena tungeanza na Pingamizi hili, ikiwezekana tuandame kabisa, maana ni tatizo ambalo linaanza kutuathiri sisi,zaidi kwa Vijana wetu wajao, bora sisi tutakuwa tumebahatika kuona uasilia wa Ziwa Natron;- UPDATE ON THE LAKE NATRON...
  8. M

    Tanzania is one of 10 poorest countries..Why??

    ...katika hili sina pingamizi kabisa.."Wanasiasa wanaendelea kuwa decision makers kwenye mambo ambayo ni too technical" Pia sisi wenyewe kama Wenyenchi tunakubali kupelekwa - na hao wanasiasa. Nikitoa mfano mmoja: kama siku 2 hivi nilisoma habari inasema "Save African's Flamingos -...
  9. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Haya Bwana...."Andrew John Chenge is Tanzanian politician and a Member of Parliament in the National Assembly of Tanzania. After serving as Attorney-General, he was appointed as Minister of East African Affairs in the Cabinet named on January 4, 2006. He was then appointed as Minister of...
  10. M

    The road towards 2010 Elections

    ...Kwa mtu aliyewahi kuumwa na nyoka, hata akiguswa na jani hudhani ni nyoka: Dr. Slaa alipoitoa ile orodha ya Mafisadi bora 11(First eleven)taarifa zake hakuna aliyeifuatilia: leo hii mchezaji mmoja katika wale 11 (Mh. Chenge) jina lake limesomwa na Wazungu, watu ndiyo tumeona...nikirejea...
Back
Top Bottom