Search results

  1. N

    Jinsi ya kununua vitu eBay

    nasikia wengi hawaship to Tanzania je ni kweli? hebu nisaidie mkuu mi nataka nunua simu,perfumes na sunglasses,pia nguo. namba mwongozo mamii
  2. N

    Jinsi ya kununua vitu eBay

    Paulss,nipe mwongozo mkuu nataka nunua simu,sunglasses na perfume online,mwongozo plz
  3. N

    Jinsi ya kununua vitu eBay

    mwenye idea jinsi ya kununua vitu ebay anisaidie plz
  4. N

    Ofa murua ya kazi

    m-pesa amejaa huyo.
  5. N

    Ofa murua ya kazi

    ok,asante kwa ushauri
  6. N

    Ofa murua ya kazi

    naweza sana tu.
  7. N

    Ofa murua ya kazi

    haya jamani baada ya kusubiri sana ajira kwa njia halali sasa natangaza ofa ya pesa japo kiduchu tu kwa mtu atakayefanikisha kupata kazi. changamkieni fasta wadau. Nasubiria PM zenu
  8. N

    Human nutrition jobs

    Ndugu zangu natafuta kazi nina degree ya human nutrition pia nimesoma courses za food science and home economics, kwa yoyote anayeweza kunisaidia ani pm. shukrani.
  9. N

    Interview british high commission(bhc)

    mkuu samahani nilipotea kidogo. nilifanya intavyuu, then wakanitumia email kuwa sijafanikiwa. leo wamenigia simu tu na kuuliza kwa sasa ninafanya wapi kazi basi. sasa hapa nimechanganyikiwa sielewi wanataka nn tana.. aah kichwa inauma.
  10. N

    Interview british high commission(bhc)

    Good guys,nawashukuru sana kwa mchango wenu.
  11. N

    Interview british high commission(bhc)

    ilikuwa ni formal mkuu.
  12. N

    Interview british high commission(bhc)

    walituma email mkuu. Interview ilikuwa jana saa tano.
  13. N

    Nafasi za kazi british high commissio vipi?

    mbona wameshaita watu intavyuu jumatatu.
  14. N

    Interview british high commission(bhc)

    asante mkuu, ni chancery support officer
  15. N

    Interview british high commission(bhc)

    Habari wakuu, naombeni msaada. nimeitwa kwenye interview BHC wamesema itakua ni written na pia discussion ya roles za hiyo kazi. naombeni mnipe angalau mwanga kuwa huwa inakuaje. plz plz nifumbueni macho wakuu. i ril need that job. thank you.
  16. N

    Msaada kwenye kutuma maombi kwa njia ya barua pepe

    Mimi huwa naandika jina tu. na nimekuwa nikiitwa kwa interview japo kazi sijapata.
  17. N

    JAMANI WAPENDWA NA HIZI TUKOSE(KAZI ZAIDI YA 2000 SECREATERIETI YA AJIRA)tarehe 25 www.ajira.go.tz

    Shukrani mkuu,tunaomba mwenye uwezo aziweke hapa jamvini,wengine simu zetu haziwezi fungua pdf.
  18. N

    Nina nuksi au nini jamani? Mbona sielewi?!

    Kumbe sipo peke yangu. kwakweli aliye au ambaye amepitia kwenye kipindi hiki ndo anajua how it feels.
  19. N

    Natafuta kazi za nutrition

    Kwa mara ingine najitokeza hapa naombeni mnisaidie ni wapi naweza pata kazi,nina degree na nimefaulu vizuri tu ila sijafanikiwa kupata kazi. naomba mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie jamani,nimesoma kozi za uchumi pia nimeshawahi fanya kazi kwenye microfinance. mwenye kuguswa na tatizo...
Back
Top Bottom