Search results

  1. P

    Afisa habari wa mkuu wa mkoa wa Arusha, auota utalishi

    Inavyosemekana mchizi baada ya kuona Yotam kapewa shavu lingine ,yeye akawa anautaka U-PRO,wakamtema kwa sababu ya elimu ya kuungaunga na pia uwezo mdogo,Azimio ni kwamba Yotam aendelee na vyeo vyote viwili,Kasheshe ndio ikaanzia hapoooooo!!!!Roho inamuuma akisikia jamaa leo yuko Ukerewe,kesho...
  2. P

    Afisa habari wa mkuu wa mkoa wa Arusha,Yotam Ndembeka, kimeo

    Ya ngoswe amwachie ngoswe,elimu:certificate naye alitaka u-PRO hahahahahaha!!!!yeye anafaa awe Kanjanja!!!!Atu hakuna alichowaza ni kumletea tabia za kike humu,kama yeye ni mfanyakazi wa Mkoani kwa nini asilifikishe suala hili kwa Mkuu wa Mkoa kama hajamvisha gauni na helen.He is more than a...
  3. P

    Afisa habari wa mkuu wa mkoa wa Arusha, auota utalishi

    Elimu:Certificate ya Habari,nawe unataka cheo cha Afisa Habari wa Mkoa,hahahahaha terrible!!!Afu kuthibitisha kuwa ni tikiti,Je mtu anaweza futa comments za mchangiaji mwingine kama yeye si mtoa mada?Tunakubali sawa elimu huna,lakini hata hii ya kujua nani mwenye authority ya kufuta comments...
  4. P

    Afisa habari wa mkuu wa mkoa wa Arusha, auota utalishi

    Don't be dog in the manger!!!Elimu huna afu unaitaka post ya Yotam,wamekutosa,aliyepata unampepetea majungu.Nenda shule kaka!!!Majungu kwenye JF hayajengi na wala hayawezi mwindolea nyadhfa yake.
  5. P

    Afisa habari wa mkuu wa mkoa wa Arusha,Yotam Ndembeka, kimeo

    Watu hawafanyi kazi kwa kuendekeza umbea wa Jamii Forum,Mbona hatujasikia hao waandishi wakisusia kuandika habari za mkoa?Au kwa vile kawanyima pesa kwa kutowaweka kwenye Paylist?Wakisusia kuandika habari za Mkoa,Mawe yataandika habari.Mnamwonea wivu nyie wajamaa
Back
Top Bottom