Mi naona ni wizi mtupu.Kama mafisadi walichota mabilion je wataweza kutumia njia hiyo hiyo (collusion with the banks) kubadilisha fmabilion hayo.Hiyo inaweza kuwa deal nyingine benki kuu.
Nchi sasa ni uozo mtupu hakuna hata cha kujivunia .Angalia hata tunashindwa kuendesha bandari kwa ufanisi na matokeo yake waagizaji mali toka nje ya nchi wanaamua kutumia bandari za nchi jirani.Nchi inakosa sio mapato hata sifa za kufanya biashara .Tunahitaji Rais na viongozi walio serious na...
there is a need to to put a clause in the constitution that those who cannot attend sessions as required should cease to be MPs.It is like admitting a ollege student who later on does not attend class sessions.He is likely to fail.Such MPs are failing their constituencies.
Serikali itoke usingizini wapo wafanyakazi wa serikali wakiwemo wa benki kuu wana miliki mali kuliko wafanyabiashara na mishahhara yao inajulikana.Je na hii tunasubiri uchunguzi wa makampuni ya nje?.
Huyo mhindi hayuko peke yako wote waliofacilitate wizi huo wote wakamatwe bila kujali nyazifa zao wapelekwe mahakamani na mali zao zote zifilisiwe .Hii itakuwa fundisho kwa wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.