Search results

  1. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Treni haiwezi tembea 300km/h kwenye reli ambayo haijachomelewa bila kuacha njia (mtetemo aureverberation itakuwa kubwa sana). kajisomee kwanza kitu kinaitwa natural frequency na resonance, ukishaelewa "kuja" tena hapa tuongee.
  2. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    NairobiWalker ona hii "makagari ikifinywa".
  3. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Historia ya miaka zaidi ya miaka 500 inapingana na we, kuhusu kutawaliwa kwa Afrika na Urusi. Sasa kama wewe ni mwerevu kuliko 'time tested' tabia ya warusi, basi utakuwa sawa na Dr. Fauci analiyetudanganya kuwa covid vaccine ni bora kuliko 'time tested' (million of yrs) natural immunity.
  4. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Line ya Arusha ilikuwa ikiungana na ile ya Mombasa kupitia Voi, ila kwa roho mbaya wakina Njonjo wakaing'oa.
  5. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    You're asking the wrong person, who is not well informed on matters concerning the border dispute between Kenya and Somalia.
  6. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nyerere alimwambia kamuzu Banda kuwa, kama ziwa ni la Malawi basi wanatakiwa kulipia kila wimbi la maji linalo gusa pwani yetu.
  7. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    https://twitter.com/trpresidency/status/823498252972675073
  8. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    https://www.youtube.com/watch?v=tkyP2nZQTFE
  9. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Unaona vinaelea unafikiri viliokotwa, ni nani aliyemleta Erdoğan Tanzania na kufanya makubaliano, bila kusahau Yapi Merkezi?
  10. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tanzania kuna potential sana, tena uchumi wetu unajibeba wenyewe, mi hata ndege nne za mizigo naona sawa tuu. Serikali ikijibana na kuacha kununua vikofia na t-shirt za vikao, sijui nini, tutaweza kununua ndege nyingi.
  11. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sikuongelea matumizi ya ndani, haya hayajabadilika sana.Ila niliongelea export ambayo ilisababishwa na zile mashine za machinjio za kisasa, unakumbuka ile shtukiza ya vingunguti?. Zamani ilikuwa vigumu kuexport nyama zetu kwakuwa hatukuwa na machinjio ya kisasa, pamoja na uwezo wa kusafirisha...
  12. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Yule mzee kwa kweli, acheni tuu, maoni yake hayakuwa ya kizazi hichi. Yaani tumewazidi hata Ethiopia walio na wanyama na ndege nyingi barani Afrika.
  13. Chamoto

    Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

    Miaka ya 80 na 90 mwanzoni, tulikuwa na askofu Dar alikuwa anaitwa Watanabe. Alikuwa pale kurasini kama sikosei.
  14. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    It was a joke, I just admitted I have many tabs too.
  15. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Man, it was a joke, chill out, I probably have 1000 tabs on one of my computer right now. The only thing that makes them run smoothly is because I'm powered by linux
  16. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    You seem triggered, I wonder why?
  17. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Chill out, all this you write here is unnecessary. What you're doing now I did 20 yrs ago, and I wasn't freelancing, I owned a company, incorporated in Nevada, made my own digital products and services. I used to game g@@gl$ with techniques like ip cloaking to gain traffic and all sot of...
  18. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Having many tabs open at once is a sign of add or adhd.
  19. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    It's a financial institution, wana pesa ndefu sana. Wanazidiwa na China na US tuu kama ingekuwa nchi https://www.youtube.com/watch?v=LjNEkxlg0iw
  20. Chamoto

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ujuwaji mwingi wakati vilaza.
Back
Top Bottom