Search results

  1. F

    Dhana ya USALITI ndani ya CHADEMA na Hatma ya Demokrasia ndani ya vyama vya Siasa

    Hoja ya msingi hapa ni usaliti aliouanda kupindua viongozi waandamizi wa chama na sio kadi ya dr slaa aliyokuwa ameilipia miaka kadha akiwa ccm kwa kuwa haina madhara yoyote km ambavyo inakwenda kutokea kwa zitto atajiunga na chama kingine na huku kadi yake ya cdm ameilipia miaka mingi.
  2. F

    Wananchi Pwani kuandamana kuipinga HLRC kwa kumshitaki PINDA na Werema!!

    CCM endeleeni kudanganya watu kwamba wananchi wanataka kuandamani kupinga wao kupigwa na kuuliwa kama wanyama badala ya kusema ccm imeandaa maandamano,pia nawashauri endeleeni kujitekenya wenyewe na kisha mnacheka kama mh mchemba mwigulu,u-mauti umewadia.
  3. F

    Kupeana vyeo kiundugu na kiswahiba; Hii ndio Demokrasia ya CHADEMA?

    Hatutamchagua mtu wala kumkataa mtu kwasababu ya mahusiano na viongozi wa kitaifa wa chadema bali tutamchagua mtu kulingana na sifa zake.
  4. F

    Bungeni kimenuka, Naibu Spika azomewa! Bunge lavunjika kabla ya muda...

    Unamaanisha nn? Usiwe butu kama fyekeo,hebu fikiria kwanza sababu na chanzo cha wao kuchukua hatua na uamuzi huo
  5. F

    Mwanza: Mangula azomewa kwa aibu

    Hajui atendalo
  6. F

    Mgombea UDIWANI kata ya mwawaza ni mwizi - BABA YAKE mzazi

    Huyu mzee kaandaliwa na ccm kuja kumchafua mgombea wa cdm kama angekuwa mwizi angelikuwa gerezani cku nyingi lakn mwanga na giza havikai pa1
  7. F

    Ushauri kwa Dr. Steven Ulimboka: Usifanye kosa la "Kukuingiza kaburini"

    Hakika umenena tena huenda sasa akagongwa na gari kama sio kujumiwa majambazi nyumbani kwake. Usalama kwake ni pale atakapoweka mambo hadhalani kwakuwa atajiweka ktk ulinzi zaidi wa umma na serikali .
  8. F

    Mgomo wa wafanyakazi wasitishwa kwa muda

    Tunahitaji fikra zako wewe mwenyewe kuchunguza madhaifa ya serikali inapokwama ktk kukusanya mapata na pale inapotumia vibaya rasilimali asili za nchi pamoja na mislocation of human resource,vandalism,theft,extravagantism na mengineyo. Tunaamini kama tutatumia vizuri mafungu haya uwezo wa...
  9. F

    Wabunge EALA kulamba shs 17 milioni kwa mwezi

    Its wonderful ,wakati walimu wanalamba wengine hadi laki moja na sitini kwa mwezi wengine wanapata mil 17 kwa mwezi,lakn pia polisi ambaye hajafanya wala kufaulu mtihani mgumu wa kiswahili anapata kiinua mgongo sio zaidi ya mil 10.
  10. F

    Madiwani wa CHADEMA kata ya Kitangiri na Igoma wanyang'anywa kadi za uanachama

    Mchukueni kama anawafaa maana mnavyovimeo vingi sana haya yanaweza kuwa mapandikizi ya ccm.
Back
Top Bottom