Search results

  1. A

    Mahojiano ya Ridhiwani Kikwete na Gazeti La Jamhuri

    Hakuna jambo jepesi kama kufundisha chuki,ni jambo jepesi sana kuchemsha watu wawachukie wenzao ama wachukiane wao kwa wao.
  2. A

    Sasa nimemwelewa Kikwete kwanini alisema hajui umasikini wetu unatokana na nini

    usijadanganye kua kura zilichakachuliwa hebu piga hesabu 320-24=? then ndo utajua ukweli! au wewe ulipiga kura ngapi? mbona sehemu mlizoshinda hamjasema mmechakachua?
  3. A

    ONYO: mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kwa mtindo huu vijana wa Arusha tutakufukuza kwetu...........!!!!!!!

    hivi hawa chdm ni nani hasa ktk hii nchi? mbona cwaelewi? yan cjui niwaweke ktk kundi lipi yan wanajiita na wapenda mabadiliko then wakifanyiwa hayo mabadiliko wanakataa wanakua wapinga mabadiliko!!!! yani kwa jinsi ilivyo cjui kwa vichwa vya hao viongozi wao wakipewa hii nchi wataongoza vip yan...
  4. A

    Mugabe: CCM will never call him a "Dictator"

    Ushindi ni mbinu na kupanga ni kuchagua sio kila mwenye macho anona wengine ni urembo tu ila hawaoni kabisa, Mbona watu hawajiulizi pamoja na yote yaliokua yakiendelea Arumeru lakini cdm walikuja kuchukua Jimbo? Ushindi ni mbinu tu.
  5. A

    M4c na chopa 4 huku makatibu na wenyeviti wa wilaya na mikoa njaa kali

    Wadau hebu tuwe na akili timamu hivi ni lini tumewahi kupewa mahesabu ya mapato na matumizi ya chama? tusikurupuke kumshutumu tu mtoa mada kwani kuna jambo analijua, sisi tunataka watu wenye kua wa kweli lakin kwa namna hii napata picha kua siasa ni unafiki kwani nimejaribu kujiuliza kua ni pesa...
  6. A

    Kifo cha RPC Mwanza: Maswali ya Bei Mbaya...

    Kifo hakina taarifa ila wadau hebu tujiulize hizi coment zetu za kishabiki hasa kisiasa zinamjenga nani ama kumbomoa nani? leo unacoment kufirahishwa na kifo cha RPC Barlow then the next day unacoment kuhusu chama fulan kua ni bora kuliko kingine je? unataka ionekane ni upande flan wamehusika...
  7. A

    CHADEMA waipigia kura CCM

    Kazi ipo hapa ni mwendo wa kubadilisha mapigo ila noma bado ni ileile lazima ucheze.
  8. A

    Dr.W.Slaa asipopitishwa na (CHADEMA) KURA YANGU WAMEIKOSA

    Tusubiri tuone ila tukumbuke nchi kubwa hii wakati mwingine tunajipiga wenyewe, kumbukeni hakuna aijuae kesho hata mtunzi wa kalenda na kila aitazamae kesho yampasa................
  9. A

    Dr.W.Slaa asipopitishwa na (CHADEMA) KURA YANGU WAMEIKOSA

    tusianze malumbano bila sababu za msingi kwani asiejua kua zito ni mmoja kati ya wale walioiinua zaidi cdm? hapa kwanza ni watu wajue kua hatumchagui mtu kwa uongeaji wake bali kwa uwezo wake kwani wakati mwingine watz wanao uwezo mkubwa wa kuongea kuliko kutenda taifa limekosa maadili hebu...
  10. A

    TANZANIA PEKEE: Basi linachukua abiria 95!

    dah, ni mungu tu ndo alisimamia safari ila dnt try it next tym coz bahati haiji mara mbili.
  11. A

    TANZANIA PEKEE: Basi linachukua abiria 95!

    hii ni hatari kama tusipobadilika sisi wenyewe basi hali itakua mbaya sana kwani ukiona gari imejaa huwezi kusubiri nyingine? tukubali kua wakati mwingine huwa tunajitafutia matatizo sisi wenyewe. mbona wenzetu jirani kenya na uganda wameamua kufanya utaratibu wa kutokupanda gari isiyokua na...
  12. A

    Kufungiwa MwanaHALISI na kuachwa Radio Imaan...

    kama ilivyo kwa mwanachama wa chadema ama mfuasi wa chadema lazima eidha uwe mvuta bangi ama mlevi wa viroba ulokata tamaa na maisha.
  13. A

    Deo Filikunjombe: Serikali ni sawa na saa mbovu iliyosimama

    si dhambi mtu kushauri kwani atasaidia sio kupuuza na kusanifu.yuko sawa kabisa we need that kind ya viongozi.salut kwake.
  14. A

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    ni mbaya sana kua unaongozwa na ushabiki na si uwezo wa kufikiri mi nadhani most of u hanjui mnachotaka udhaifu bwa kikwete ni chimbuko lenu wenyewe maana hakuna msafi bila uchafu, fikirieni sana maana kama mnadhani kikwete ni dhaifu nani c dhaifu mbele yenu maana hao mnaowaona c dhaifu mpaka...
  15. A

    Nani alimpa uchungaji Msigwa? Kwa nidhamu mbovu anayoionyesha bungen!

    tatizo ushabiki unawamaliza wengi hivi topic inauliza nani kampa msigwa uchungaji ama nani kafanya nini wa chama gani!
Back
Top Bottom