Search results

  1. N

    Tanzania Postal Bank (TPB) - Relationship Officers

    Hawa TPB walitangaza kazi 28 February, 2014 za Relationship Officers, Walisha ita watu kwa Interview au Ndo tayari watu wako kazini? Mwenye Updates jamani atujuze, Nawasilisha
  2. N

    Tanzania postal bank - relationship officer

    Wapendwa, naomba kujuzwa kwa mwenye any updates kwa post walizotangaza (12th February, 2014) hawa jamaa wa TPB walisha ita watu kwa ajili ya interview au tayari people zipo kazini? kwa anaejua. nawasilisha
  3. N

    Access Bank Mwanza Interview Accomodation Cost

    buku 5 na 3?, unamdanganya mwenzio wewe, maisha ya sasa kwa Guest ya bei hiyo hata kwetu KASULU- KIGOMA ALL STARZ hupati
  4. N

    Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    tarehe 20 si tayari? hayo majina yamewekwa kwenye hayo magazeti au bado jamani, tarehe tayari
  5. N

    Mwanza Community Bank

    walisema wataandika majina kwenye gazeti la mwananchi au daily news la kuanzia tarehe 20 hadi rarehe 1 may, atakae weza ona majina hayo kwenye hayo magazeti atujuze
  6. N

    Assistant Research Officers/ Interviewers - 20 Posts

    Ukijaribu kutuma tu kwa kutumia real and valid contacts, utakiona cha mtema na kuni, wezi haoooooooo, kimbia ndugu, NGO gani inatangaza kazi kishamba ivi
  7. N

    Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    mtu akipata gazeti lenye info izo atutonye jamani, these people are serious on dat
  8. N

    Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    walisema majina watayaweka kwenye Magazeti ya MWANANCHI AND OR DAILY NEWS kuanzaia tarehe 20 April - 1 may, ivyo kama tarehe hizo zimefika, ni jukumu lako/lenu/letu kuyasoma kwa hizo siku zote tajwa ili usipitwe
  9. N

    Interview Tanzania Postal Bank

    Ngoja tusubiri mana hata mimi niliomba naona kimya kimezidi wakati nafasi zenyewe ni 12 tu, isije ikawa kama ya MWANZA COMMUNITY BANK yule aliejifanya Agent anataka hela!!!!!!!!
  10. N

    Kazi : Distance learning support network (dlsn)

    DISTANCE LEARNING SUPPORT NETWORK walitoaga tangazo la kazi na walikuwa wanatafuta ADMISSION COORDINATORS, ivi mchakato wa kuwapata hawa macoornators ulishia wapi kwa anaejua au kuwa ta taarifa mana walidai wanaendelea na mchakato na january na february au march watu wange itwa, mwenye...
  11. N

    msaada kiwango cha mshahara wa field officer

    field officer wa wapi?
  12. N

    Unhcr internal/external vacancy post

    kaka sasa hao unao wasema walioitwa ni kwa kazi ipi, ya kasulu kigoma au dar ulyankhulu?
  13. N

    Natafuta dereva wa pikipiki yaani bodaboda

    dada mshahara sh ngapi nimwambie/nimruhusu mdogo wangu?
  14. N

    Unhcr internal/external vacancy post

    mbona mfumo km wamebadili vile, UN walikuwa wanawafanyisha written na oral zikiwa zinafata na wanajumlisha markx zote ndo wanampa m2 job, sasa leo written inasubiliwa mwezi mzima?
  15. N

    Unhcr internal/external vacancy post

    Wana wa janvi, napenda kuhulizia hawa UNHCR walitangaza kazi mbalimabli Km ASSISTANT FIELD OFFICER - ulyankulu, PROTECTION ASSOCIATE- KIGOMA KASULU, & RESETTLEMENT ASSISTANT - KASULU, je kuna mdau mwenye info yoyote kuhusu km walisha pata watu wao ili tusahau kuhusu izo post mana niliomba na uko...
  16. N

    Msaada kuhusu Distance Learning Support Network!!!!

    ANDERNORMANS umesema kuwa uliongea na muhusika na kusema kuwa mchakato utahanza tena january, kaka mimi hapo sijakupata vzr, inamaana kuwa watatanga upya izo nafasi na sisi ndo tumepigwa chini au ndo watazi review kwa wale ambao tulikuwa tuisha fikia hatua ya ya kupeleka certified copy?
  17. N

    Tujiunge tufuge kuku wa mayai

    mi ninamayai ila sina eneo la kuyaweka
  18. N

    AJIRA Kama una sifa

    ammmh!!
  19. N

    Urgent:job opportunities world vision tanzania:

    ivi ni kwani mkuu m2 akisha fanya kazi na ninyi na kuachana na ninyi kwa amani ampendi kumpa kazi tena akirudi hata km anafiti iyo post na certificates of service zenu mlimpa? Au sera zenu ni rotation, only new membez, ukisha imba pambio na sharom asubuhi hutakiwi tena?
  20. N

    Wadau naombeni taarifa za hawa jamaa wa utumishi kwa zile posts za may 2012

    mbona huwezi kujielezea wewe? Wala husomeki nini unataka kujua na kuhusu nini
Back
Top Bottom