Search results

  1. M

    JK: Amkaba koo Waziri Ghasia

    Kweli, huu ndio USANII.
  2. M

    Watumishi wa umma 125,000/-; wanafunzi 300,000/= per month!

    ndio maana Tanzania tuna hali mbaya kwa sababu ya mawazo ya watu kama wewe. Unazungumzia marupurupu na ufisadi wa wachache kuwa kigezo cha kujumuisha watumishi wote wa umma. Je unaweza kutuambia ni asili mia ngapi ya hao watumishi wa umma walio na hayo marupurupu (semina, vikao, warsha...
  3. M

    GOING TO THE SOURCE...Nundu warns bus owners

    Nundu warns bus owners By Dominic Nkolimwa 17th January 2011 Email Print Comments Says they are victimising passengers to protect touts Transport minister Omari Nundu leaves Ubungo Bus Terminal in Dar es Salaam after an impromptu visit yesterday to follow up on his directive that touts...
  4. M

    Kikwete and harper to co-chair un commission

    PM Harper to Co-Chair New UN Commission December 16, 2010 -- Prime Minister Stephen Harper issued the following statement following the announcement by Ban Ki-moon, United Nations Secretary General, that a new UN Commission on Information and Accountability for Women and Children’s Health has...
  5. M

    Waziri aeleza alivyolambwa na FATAKI akiwa shule

    huyu mama ni aibu kwa wanawake na aibu kwa huyo aliyempa uwaziri....ndiyo maana nchi yetu iko hapo ilipo, tunaongozwa na watu wenye mtazamo finyu...
  6. M

    Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

    hapo Maggid umechemsha, yaani tungojee mpaka lini? si ungepost habari baada ya kupumzika ?
  7. M

    Elections 2010 Ni kweli Anna Makinda anaandaliwa kuwa rais?

    Jamani hebu nielewesheni, kwani ni vitu gani vinavyotakiwa avifanye au awe ameshavifanya so far ili aweze kutambulika kuwa anaweza kuwa rais. Tuviweke hivyo vigezo ili asipotimiza sote tutasema kweli hafai au anafaa. Mimi sidhani kuwa jinsia ndiyo tatizo au kikwazo cha mtu kuweza kuwa Rais wa...
  8. M

    i like this picture

    I hope you meant '' distracted"
  9. M

    Ewe Njiwa, Ewe Njiwa - Peleka Salamu

    Njiwa peleka salamuu, oh kwa yule wangu muhibu, x2 Umweleze afahamu, kwamba nnapata taabu x2 hali yangu mahamumu, oh maradhi yamenisibu, x2 Ewe njiwa x2 peleka salamu kwa yule x2 wangu muhibu Usiku kucha nakeshaa, oh na yeye ndiye sababu x2 Iwapo hadi maisha itamffika aibu x2 pendo...
  10. M

    Elections 2010 JK alidanganya kuhusu Obama UN General Assembly?

    Re: JK alidanganya kuhusu Obama UN General Assembly? HAPANA HAKUDANGANYA
  11. M

    Nimefiwa na BABA Yangu Mzazi

    pole sana. Mungu awape faraja nyinyi mliobaki.
  12. M

    Elections 2010 Hawa ndio top 10 ya mawaziri walioichakachua sana serikali ya awamu ya nne

    nami nasubiri kwa hamu maana ya kichwa cha habari ili niweze kujua kama naafiki au la.
  13. M

    Mmepoteza Ubunge kwanini bado ninyi mawaziri?

    Je! kama uwaziri unaisha baada ya bunge kuvunjwa, na kuna kama miezi miwili mitatu kabla ya uchaguzi mpya, ina maana kwa kipindi hicho nchi haitakuwa na mawaziri , in other words nchi inaweza kuendelea bila matatizo bila ya mawaziri, kwa hiyo hakuna sababu ya kuwa na mawaziri in the first...
  14. M

    Je rais Kikwete na Dr Slaa ni yupi anafanana na Mwl. Nyerere?

    Nionavyo mimi Rais Kikwete anafaa kuendelea kuongoza nchi na Dr. Slaa anafaa kuwa kiongozi wa chama cha Upinzani ili aendelee kufumua maovu yanayotendeka nchini na kuwapa nafasi wananchi japo kujua ni nini kinaendelea hata kama mabadiliko ni madogo au hayapo. Nchi yangu ilishanikatisha tamaa...
  15. M

    Bunge lijalo ni full skendo za ngono...

    yaelekea vijana wanawake kupata ubunge = ngono, as if hakuna mwanaume mwenye kuhusika . Nijuavyo mimi, asilimia kubwa ya wanaume wa bongo wanahusika kwa namna moja au nyingine ya uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa aka ngono. Huko bungeni hakuna tofauti na sehemu nyingine yoyote. Ndugu zangu...
  16. M

    Wazanzibari wanajua mapenzi kuzidi wa bara??????????

    as far as I am concerned kila mtu anajua mapenzi mazito. kitu muhimu ni "chemistry" ikiwepo ufundi utajitokeza wala huhitaji kufundishwa na mtu. na raha nayo utaiona hata pale ambapo mtu mwingine haelewi kwa nini unaona raha. kemia ikiwepo, basi hata ukimwona huyo umpendae mwili wote unakuwa...
  17. M

    "I don't care if you cheat on me as long as...."

    To me this is very clear, if she doesn't find out about your cheating ways, how will she know you are cheating, and why would she care? as far as she should be concerned you are not cheating. It is not a matter of not caring or having a low self-esteem. A woman who says that is being...
  18. M

    MP sheds tears over women's agonies

    I am really lost on the message of this post. The writer is so incoherent that I am left wondering what is this article about. Did the honourable MP shed tears because the women said "......depend on light from cell phones at night when required to buy medicine.." and what has that got to do...
  19. M

    Another Joke from Kikwete: Every student to have computer in five years time

    This is so so sad. No wonder Tanzania is where it is, and to make matters worse, there are so many people in Tanzania who think the same way. I shudder each time I see Vodacom or whatever those companies are called, handing some computers to schools. I ask myself , " what are those computers...
  20. M

    Kisa cha Waziri Ngeleja na Mlinzi kwenye ATM

    nimesoma hii taarifa na ninadhani naelewa MATATIZO makubwa ni haya: 1. Mlinzi ana makosa makubwa ya kutomfahamu Mheshimiwa waziri, pengine ni kwa sababu huwa hanunui magazeti yenye picha za mawaziri au haangalii TV ambapo hao mawaziri huwa wanaonekana nyakati mbali mbali - Solution mlinzi na...
Back
Top Bottom