Search results

  1. M

    Magari ya Rizwan

    Nimewahoji madereva Kama Sita hivi, wanasema ni za Rizwan, na watu wa custom, nimehoji mbona Haya magari yanapita tu? Nikajibiwa ni za wakubwa. Sasa ushahidi gani unataka?
  2. M

    FACT CHECK: Lowassa SIYO owner wa Integrated Property Investment (Tanzania) Limited...

    Habari za ndani kabisa zinasema kuwa Barare limited wamekopa asilimia 60 ya kukamilisha hii project toka shelter afrique iliopo jijini Nairobi Kenya. Ina maana Barare inatakiwa watoe 40% sawa na $250million ndio wafanikiwe kupata hiyo loan. Mjenzi tayari ameshapatikana kampuni ya Estim...
  3. M

    Magari ya Rizwan

    Wanajf. Hapa niko mpakani Namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za Rwizan zimetoka Nairobi kujengewa tank za mafuta. Swali utajiri huu ameutoa wapi?
  4. M

    Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

    Matokeo ya bangata vipi wakuu
  5. M

    James Millya chunga kauli zako

    Panya wapo wengi nani asiejua? Tena kakosea angesema fuko
  6. M

    Baada ya kikao na IGP Mwema, Dr. Slaa Alonga

    Kama ilivyotokea malia asili, bandari na utalii, Saidi Mwema akae pembeni apishe uchunguzi ufanyike.
  7. M

    RPC Morogoro akana polisi kutumia risasi za moto

    Picha za polisi na bunduki smg ziko Kama ushahidi
  8. M

    51% ya wabunge wa JMT hawana shahada [Degree]

    Kaka hata makinda boss wao Hana degree
  9. M

    Tanzania: U.S. Tycoon to Finance New Serengeti Airport

    Hao Mawalla wanaongoza kuuza mbuga zetu kwa wageni
  10. M

    Tathmini: M4C Fundraising Dar wapi hapakuwa sawa na nini Kifanyike

    Zitto kakosa mvuto, so he has to slow down as chadema frontliner until he resolve his corruption allegation.
  11. M

    M4C Dar es Salaam - ushari kwa CHADEMA

    Take time to read it, it's a seriours matter it's all about the experience we have had in Naura before. Shouldn't happen again.
  12. M

    M4C Dar es Salaam - ushari kwa CHADEMA

    Pamoja na kuwa nimeshawaambia viongozi, pia naomba niweke hapa. Wakati tunazindua M4C Arusha moja ya challenges ilikuwa mitandao Kwenda down na Watu walishindwa kuchangia, hivyo basi safari hii tujitahidi isitokee sabotage ya akina yeyote. Ombeni special numbers za 2 digits Vodacom na...
  13. M

    Wakuu natafuta kazi. Nina BBA marketing ya Kenya Methodist university na Msc ENTER

    Nina bachelor ya business in marketing ya Kenya Methodist university na Msc entrepreneurship ya ESAMI. Niko mtaani tu Wazee. Hii ya sensa wananizingua waalimu.
  14. M

    Lowassa: Rais Kikwete ni jasiri, mwadilifu

    Halo nimesema waanzishe centers za kutunza hao Ngombe w a mbegu. Maana ukame ukija watakufa. Na itakuwa hasara sio kwa wamasai tu na walipa kodi wote
  15. M

    TRA na Ukaguzi wa 'fire stickers'

    WAKUU HIVI MNAJUA SASA HIVI UKIENDA KU RENEW ROAD LICENCE NI LAZIMA ULIPIE NA FIRE STIKA? HATAKAMA HAIJAISHA NI LAZIMA, NA KAMA UMECHELEWA KULIPIA ROAD LICENCE UNACHAJIWA PENALT YA FIRE WAKATI HAIJAISHA! Mmh
  16. M

    Route za treni za Mwakyembe ndani ya jiji la Dar: TRL vs TAZARA

    Good lakini je, zina hali gani hizo behewa? Au ni zile za tazara zenye kunguni na cha war
Back
Top Bottom