Search results

  1. Kamanda

    Mtanzania apora Sh. bilioni 400 za Aga Khan

    Shilingi bilioni 400 zakombwa Benki ya Barclays na Mtanzania ambaye bado hajakamatwa. Ni wizi ulioshirikisha watu wengi wakiwamo watendaji wa benki.
  2. Kamanda

    Tetesi: Tsh Bilioni 425 za Mwekezaji zadaiwa kuzuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao

    Wakuu, Nimesoma hii habari kwa masikitiko. Kama ni ya kweli, ni kweli tumedhamiria kuwa na wawekezaji wa kigeni Tanzania au ni maigizo tu? Maamuzi haya yanaathiri sana FDIs kwa nchi yetu na tunawapa nafasi majirani kutupiga bao. Hebu soma mwenyewe: Mizengwe: Bilioni 425 za Mwekezaji zazuiliwa...
  3. Kamanda

    Uchaguzi 2020 Maji ya shingo Kawe? Gwajima akutana na Maaskofu 71 wa Makanisa ya Kiroho kuomba uungwaji mkono

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amewakutanisha maaskofu 71 wa makanisa ya “kiroho” jijini Dar es Salaam akiomba msaada wao ili ashinde ubunge. Maaskofu hao walikutana Alhamisi iliyopita katika hoteli ya Picolo, iliyoko Kawe jijini Dar es Salaam. Soma zaidi hapa >...
  4. Kamanda

    Uchaguzi 2020 Going into the 2020 Tanzania polls: What are the stakes?

    Wanajamvi, Tumsome huyu hapa. Amefanya uchambuzi wake kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka huu, 2020. Anaeleza kuhusu nafasi ya wapigakura na nguvu ya vyama vikuu vinavyonyukana majukwaani kuongoza nchi na wananchi. Hii hapa link: Uchaguzi 2020 - Going into the 2020 Tanzania polls: What are the stakes?
  5. Kamanda

    Kesi ya Tundu Lissu: Serikali yawawekea ngumu Wadhamini kujiondoa

    Serikali imeamua kula matapishi yake baada ya leo kubadili msimamo wake kumkamata Tundu Lissu atakaporejea nchini. Katika mahakama ya Kisutu, Serikali kupitia wakili wake mwandamizi, Simon Wankyo imeieleza mahakama itupilie mbali maombi ya wadhamini wake, Robert Katula na Ibrahim Ahmed...
  6. Kamanda

    JF Exclusive: Mauritius Leaks name Tanzania companies in tax avoidance

    Important note: KPMG have many units, but the one special for offshore lines is called DEALS, is comprising experts in tax avoidance
  7. Kamanda

    JF Exclusive: Mauritius Leaks name Tanzania companies in tax avoidance

    Kweli umesema, hivi Citizen na Mwananchi wanafanya nini kuhusu Azory? Kama wamelala namna hii. Wameacha kumsaka na kazi hiyo inafanywa na kukomaliwa na wazungu. "Tanzania nakulilia"
  8. Kamanda

    JF Exclusive: Mauritius Leaks name Tanzania companies in tax avoidance

    Kazi nyingine ya uhakika ya JF. Nawakubali sana. Mungu awaliende, Naamini mna wahariri makini, ingawa majina yao hatuyaoni humu, wako na majina bandia. JF ni pekee pa kujidai, hakuna maelezo wala ikulu ya kukukaba koo. Ngoja nisubiri majina ya wengine. Aminia wanangu
  9. Kamanda

    JF Exclusive: Mauritius Leaks name Tanzania companies in tax avoidance

    Hakika. Pesa yetu imejaa huko. Hata majuzi mmoja wa wapigaji kahamia huko.
  10. Kamanda

    Mungu amenisikia. Sasa Magufuli bingwa wa mitandao ya kijamii

    Nilishtuka sana kusikia Rais Magufuli akisema kuwa anatamani siku moja mitandao ya kijamaa isiwepo Tanzania (duniani?). Alisema hivyo kwa kuwa aliamini inamzuia kufanya kazi zake za kuinyoosha nchi. Kwa kauli yake, nilifunga na kuomba kwa siku 40 ili Mungu asisikie kilio chake. Nashukuru Mungu...
  11. Kamanda

    Tunamuonea kumuonesha huyu mtoto. Hausiki na dawa za kulevya

    Nimetembelea 'site' mbalimbali na kuona namna maadili ya utu na hata taratibu za kuandika habari zikikiukwa, hasa kuhusu haki na thamani ya watoto wadogo. Tangu jana habari ya kukamatwa na kuhukumiwa kunyongwa kwa wazazi wa mtoto huyu zimesambaa mno katika vyombo vya habari na majukwaa ya...
  12. Kamanda

    FIU kifanye ujajusi wa kiuchumi

    Tanzania ina vitengo viiingiii ya kufuatilia masuala ya usalama. Vipo karibu kila mahali na watendaji wake siyo lazima wajulikane. Miongoni mwa vitengo hivyo ni kile kinachoitwa Financial Intelligence Unit (FIU), ambacho nadhani kiko chini ya Wizara ya Fedha na Mipango. Pamoja na kwamba...
  13. Kamanda

    Rais Magufuli sasa yatosha. Wape wepesi masikini

    Kamanda anawasmea wengine, yeye ana nafuu kwa kuwa anafuga mbuzi na kuku mjini. Ila Pure Gunner, hali mbaya, Baba Jesca amekaza mno na vyuma havionekani kulainika soon.
  14. Kamanda

    Rais Magufuli sasa yatosha. Wape wepesi masikini

    Nafurahi kwamba Rais John Magufuli amekuwa akieleza ugumu wa kuwa kiongozi wa nchi, tena yenye watu wengi masikini wanaofikia milioni 50. Idadi hii siyo ndogo, hapa nazungumzia midomo milioni 50 inayohitaji kula, vichwa mamilioni vinavyohitaji kujazwa elimu na milii yenye idadi hiyohiyo...
  15. Kamanda

    Wamiliki wa Gazeti la MwanaHalisi watakiwa kujieleza kwa kukiuka maadili ya uandishi wa habari

    Leo serikali kupitia kwa msemaji wake mkuu, mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO, itatangaza kulifungia gazeti la kila wiki la Mwanahalisi. Habari za uhakika zilizopatikana jana usiku zinaeleza kuwa gazeti hilo liyafungwa kwa sababu zinazoelezwa na serikali - "kuendelea kuandika habari za...
  16. Kamanda

    LAPF hawaaminiki. Tushtuke

    Wajameni, Sio mara moja wala mbili, nimewatahadharisha juu ya hawa LAPF, ni walaghai mno, nimegundua madudu yao meengii na wanashindwa kabisa kujipanga kutumia fedha za wanachama wao. Nimeshuhudia walivyokuwa wakiwasumbua wateja wao kuwalipa mafao na hata wahudumu wao sio wastaarabu...
  17. Kamanda

    LAPF hatarini kuwatosa wanachama

    Hapa ni wizi mtupu. Ni jipu, lazima serikali iwe makini
  18. Kamanda

    LAPF hatarini kuwatosa wanachama

    Gazeti la juzijuzi, nimeliacha kwa ofc, nadhani ni mawio au nipashe, sikumbuki vyema. Ngoja kesho naweza kucheki na kuweka hapa.
  19. Kamanda

    LAPF hatarini kuwatosa wanachama

    Uwii LAPF mtatuuuaaaa Jamani jamani, ngoja niwape hii. Ukweli huu tusiupuuze. Wanyamakua wana msemo kwamba mdharau mwiba, guu huota tende. msidharau kabisa hii. Hali ni mbaya. Someni hii cutting... Kuna hatari kubwa hatua zisipochukuliwa. Rais Magufuli hebu tuokoe baba yetu. Tutakosa mwana...
  20. Kamanda

    LAPF hatarini kuwatosa wanachama

    Nimesikia na kusoma malalamiko mengi sana, tena kwa muda mrefu sasa, kuhusu mfuko wa pensheni wa LAPF. Kinachoonekana kulalamikiwa na ndiyo ukweli, baada ya kuwa nimethibitisha, ni hatari kwa mfuko huo, kupoteza nguvu yake kiuchumi na kifedha baada ya kuamua kugeuka benki. Ndiyo, mfuko...
Back
Top Bottom