Search results

  1. K

    Vipi Unatongoza

    wapo vijana wazuri, mtafute mzee wa durban atakupa trick za kuwanasa hao viumbe, inahitaji uwe na mazoezi ya kutosha
  2. K

    Chenge, StarTV na Utaalam wa kisasa

    Nashukuru kwa mada hii. Napenda kuwakilisha kama ifuatavyo. Kwa kiasi kidogo cha uwezo wangu wa kielimu ninakautaaramu kadogo ka masawala ya ujenzi wa Jengo letu la Bunge. Kwa leo napenda kuwakilisha sehemu moja tu ya hilo jengo inayohusiana na maswala ya Usalama wa kisayansi. Kwa wale...
  3. K

    Mwekezaji aling'akia Bunge

    Kwa wale ambao mmeisoma hii habari katika gazeti la Majira napenda kuwapa ukweli wa hii Hoteli. Ni kuwa kuwa kuna mgodi wa dhahabu unaondeshwa ki-siri na mmiliki wa hii hotel. Itakuwa kuna mkono wa mkubwa ndani ya serikali. Sijui hata kama hii hotel huwa inafanya kazi za hotel maana ada zake...
  4. K

    Nyani Ngabu Kafa!!!!

    Mwe waangalifu member wezangu, mnawekwa kwenye mtego. Kuna watu wanatafutwa hapo. Kama mnavyokumbuka mwezi wa pili baadhi ya member wa JamboForum walikamatwa na Jeshi la polisi Dar es salaam. Katika njia za kijasusi za kupata information hii ni mojawapo. Kuwa makini!!!!!! nina kaufahamu...
  5. K

    Tumechoka na maneno yenu, tunataka kuona vitendo

    Hivi BUBU, unajua kuwa ARI MPYA, KASI MPYA, NGUVU MPYA NA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA hiyo slogan ni ya miaka 20? Sasa hivi 2005-2010 ndo kipindi cha hali mpya, 2010-2015 ndo tutaingia Kasi mpya, 2015-2020 itakuwa Nguvu mpya na Maisha bora kwa kila Mtanzania ni kuanzia 2020-2025. Nadhani hapo...
Back
Top Bottom