Search results

  1. L

    Kenya Election 2007: Outcomes

    Kwa tanzania hii inawezekana pia kupat wabunge ila electoral system yetu iko mikononi mwa serikali siyo kama hii ya kenya. Unakumbuka mwaka 1995 upinzani ulikuwa uchikue viti vyote vya Dar ila tume ilipoona vile ikaamuliwa kufuta matokeo yote. Tufanye kazi ya kuifanya tume yetu iwe huru...
  2. L

    UK issues travel ban on Mwiraria, Biwott and others

    By Standard Team Cabinet minister Mr David Mwiraria and the immediate former Keiyo South MP, Mr Nicholas Biwott, have been barred from traveling to the United Kingdom. Also barred are the Charterhouse Bank managing director, Mr Sanjay Kumar Ramniklal, and his brother, Mr Manoj Ramniklal...
  3. L

    Waziri apiga marufuku vimini au tight maofisini!

    GHASIA ASILETE GHASIA HAPA, kama nikusimamia sheria mbona anakuwa selective, kwani sheria ya rushwa haipo, sheria ya kulipabeli za maji haipo au hazijui. mavazi ya heshima ni yapi? mfano yeye kuficha uso kwenye hijabu ajui kwa wengine anakuwa tayari amekiuka maadili, maana yeye kama ofisa wa...
  4. L

    Ndege ya Lowassa inayopaa, na abiria walioachwa wameduwaa!

    AIBU AIBU, ndugu wana JF siku moja nilikuwa nimesafiri kwenda katika vijiji vya wilaya ya mpwapwa wakati kodi ya kichwa (maendeleo)haijafutwa nikawa niko nafanya mahojiano ya kiutafiti na wanakijiji mara nikawaona wote wamekosa raha ghafla na wengine wakawa wameanza kukimbia nikadhani kuna...
  5. L

    Kingunge ataka Suluhu na Upinzani?

    Kingunge ni msanii tu, huo anaouita uzalendo ni nini hasa, kwa miaka mingi uzalendo kwa watawala wetu umekuwa ni kuwaogopa kuwapigia magoti na kuwasifu. kinyume cha hayo wewe si mzalendo. Na ni uzalendo wa jinsi hii ulioifanya nchi ikafika mahali ilipo. kingunge angekuwa mzalendo angekubali...
Back
Top Bottom